WHAT💔⁉️The guy reveals the deepest secret about the al-shabaab bandits💔🔥🔥What a scenario😭😭🔥💔‼️⁉️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Join this channel to get access to perks:
    / @truektvnetwork

ความคิดเห็น • 198

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 3 หลายเดือนก่อน +22

    DCI nakupenda Tu bure Kwa kazi yako poa

    • @faithnasimiyu7455
      @faithnasimiyu7455 3 หลายเดือนก่อน +1

      Imagn ata nguvu ya Bibi kumwacha sijui anatowa wapi

  • @Victor-dh9xm
    @Victor-dh9xm 3 หลายเดือนก่อน +8

    Jay tuko nyuma yako with prayers,,,lazima Kenya ibaki na Amani

  • @benjaminmurunga9086
    @benjaminmurunga9086 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sincerely speaking DCI is doing great job and should be taken back to his work yawa anyway we salute you guys for work well done

  • @peninahwemali2021
    @peninahwemali2021 3 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂 hadijah you nail it

    • @Asha-yn4bu
      @Asha-yn4bu 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nope he is

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 3 หลายเดือนก่อน +4

    Waaa jey sasa ujipange wezake wasikukujie❤

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hee jaman hii dunia imekwisha mtuy kavaa kanzu na yupo kajiingiza kwa mambo kam haya duuh

  • @Sarah-iw6cg
    @Sarah-iw6cg 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂wah ii planet iko na mambo ,,,chukueni iyo 300k nyuma ya camera at least itasaidia 😢

    • @Lzzlzz-k3m
      @Lzzlzz-k3m 3 หลายเดือนก่อน

      Then watu waendelee kufa😢😢

    • @Sarah-iw6cg
      @Sarah-iw6cg 3 หลายเดือนก่อน

      @@Lzzlzz-k3m wakichukua si ati ataachiliwa ,atakua Hana za kueda kuhongana Dani

  • @jynk9451
    @jynk9451 3 หลายเดือนก่อน

    Waaa😅😢. Mungu saidia Kenya. The attitude with these young people,they think everyone can be purchased

  • @DianaMuhonja-oi9co
    @DianaMuhonja-oi9co 3 หลายเดือนก่อน

    Good job director jay and dci

  • @nicholasmuli8418
    @nicholasmuli8418 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hio gaidi ikienda cell itatoka ,karao gani atakataa 300k.i think mshike wote then risasi ya kichwa

  • @carolwaithaka2223
    @carolwaithaka2223 3 หลายเดือนก่อน

    Director Jay be careful na wale unadeal na wao sasa umeletewe alshabab wah noma kumbe kenya imeficha mambo mingi sana chini ya maji

  • @maureenkathambi7988
    @maureenkathambi7988 3 หลายเดือนก่อน

    But hii Kenya hakuna haki cz huyu jamaa angekuwa amefungwa forever

  • @fauziasaid6036
    @fauziasaid6036 3 หลายเดือนก่อน +1

    I'm 14:10 Hawa nimagaidi hakuna Dini yakuuwa kunajisi namaovu Yote hawawanadanganya watu kwapesa niushenzi wako nao washikwe wrote plz

  • @josphatnzomo1543
    @josphatnzomo1543 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jay watu Kama Hawa sio wakuleta studio

  • @stellakwamboka6260
    @stellakwamboka6260 3 หลายเดือนก่อน

    Wooooooiiiiii😮 uyu ni kevo dunia kwesha....

  • @stellamutegi9036
    @stellamutegi9036 3 หลายเดือนก่อน

    Master wao ashikwe mwenye alikua hanawatuma kuipua

  • @marthaayuma7065
    @marthaayuma7065 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu amearibia waislamu Jina.

  • @fatumamazul4411
    @fatumamazul4411 3 หลายเดือนก่อน

    J huyo nigaidi hakuna gaidi Muslim hawana dhalilisha dini zawatu hataukimtoa hizonguo hufungwi na sheria

  • @marianomajokatemSouthSudan
    @marianomajokatemSouthSudan 3 หลายเดือนก่อน

    Some messages bro

  • @mae-k7s
    @mae-k7s 3 หลายเดือนก่อน

    LADY YOUR COMPLAINING NOW AND YOUR EVEN WEARING THE DRESS& AND SHOES HE BOUGHT FOR YOU GIRL

  • @Bushman5444
    @Bushman5444 3 หลายเดือนก่อน

    Huu jamaa akili si timamu

  • @iremwa776
    @iremwa776 3 หลายเดือนก่อน

    Atajilipua na alipue mataa yote, this is a bandit, afinywe na awekwe ndani!

  • @fauziasaid6036
    @fauziasaid6036 3 หลายเดือนก่อน

    19:21 Wana tutukansha tuonekane soote niwabaya hii sidini niugaidi Hana uislamu Wowote

  • @wilberforcemalubia6344
    @wilberforcemalubia6344 2 หลายเดือนก่อน

    Hii kitu sio ukweli nikipindi acha kutupima bana

  • @irenekatua718
    @irenekatua718 3 หลายเดือนก่อน +1

    Weeeh 'J ' utatuletea udaku mingu bro😂.
    Alshabab ndio wanatuangaishanga huku Mombasani. Pia nashangaa sasa wamesimamisha DCI MPOA HIVI JOB WAMEBAKI NA WALE WAKUSHOOT GEN-Z? GOD HAVE MERCY ON OUR NATION. GUY'S CONGRATS

  • @ashaabdo960
    @ashaabdo960 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kwa dini ya ki Islam kama kulipua watu alafu mbinguni uta pewa wanawake 7 hiyo ni dini yao si uislamu

    • @AysherHassan-ws8ed
      @AysherHassan-ws8ed 3 หลายเดือนก่อน

      Ukweli huo kutuchafulia Jina la dini

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 3 หลายเดือนก่อน +1

    HAWA AKIKA KUTOELEWA QURAN NI VIBAYA ALLAH YUPI ULIPA MAOVU NKT WAUWAJI NYINYI IN THE NAME OF ISLAM

  • @deborakadhengi5771
    @deborakadhengi5771 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu niaende ndani atlist watu wa Lamu wapone😢😢😢😢

  • @Mwawanag
    @Mwawanag 3 หลายเดือนก่อน

    Jay wewe unajua alishabaab kweli!!!umejiweka kwa shida pamoja na familia yako yote

  • @Lzzlzz-k3m
    @Lzzlzz-k3m 3 หลายเดือนก่อน

    Wapi waislamu wenye usema usiaibishe waislamu😂huyu hata ni guy si muaji tu,i honour Only God Mambo ya religion hapana

  • @bibianamulei7090
    @bibianamulei7090 3 หลายเดือนก่อน

    Weeeeee wewewwweweeeeee

  • @zenjibar64
    @zenjibar64 3 หลายเดือนก่อน

    Unamtowaje mavazi yake ? Wacheni ubaguzi nyinyi .

  • @geofreymulei5695
    @geofreymulei5695 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wah😅 huyu mrembo hapewe KAZI ya Karao hako poa nmemnice

  • @mwaurakamau8548
    @mwaurakamau8548 3 หลายเดือนก่อน

    Finya yeye makende....

  • @FaridahFaridahjomo
    @FaridahFaridahjomo 3 หลายเดือนก่อน

    Malaya😂😂😂😂

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu 3 หลายเดือนก่อน

    Leave ushago so what

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน

    Kaustanzi kaa TZ HAKO SUBKHANA LLAH

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 3 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza speed ya huyo kanzu ndo utajua wa nchi ganii 🖕🖕

  • @khamisjelle4547
    @khamisjelle4547 3 หลายเดือนก่อน

    Wanatumia Dini ya kiislamu na jina la Allah vbaya.Dini ya kiislamu inasema kuua watu innocent ni haramu so wanatumia Dini vbaya hawa😢

    • @Lzzlzz-k3m
      @Lzzlzz-k3m 3 หลายเดือนก่อน

      Wasaudi si waislamu,but why coz uua watu kama wanyama

    • @AysherHassan-ws8ed
      @AysherHassan-ws8ed 3 หลายเดือนก่อน

      Those are SHEA Muslims wenye Hua we sunn Muslims we don't

    • @Lzzlzz-k3m
      @Lzzlzz-k3m 3 หลายเดือนก่อน

      @@AysherHassan-ws8ed you better made your heart pure if you are the christian or Muslim cos God is interested with your heart not religion,see the embarrassment in the religion name now

  • @victoriawayua4514
    @victoriawayua4514 3 หลายเดือนก่อน

    Mwana kilipuzi

  • @irinewachira6589
    @irinewachira6589 3 หลายเดือนก่อน

    Wah....nani kadanganya watu ukiua watu kwa kujilipua unaenda direct heaven where 7 virgins wanakungoja....this is Nonsense

    • @sarahngige1589
      @sarahngige1589 3 หลายเดือนก่อน +2

      Shakahora in a different way

    • @irinewachira6589
      @irinewachira6589 3 หลายเดือนก่อน

      @@sarahngige1589 I swear

  • @dancanomwenga6955
    @dancanomwenga6955 3 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 3 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa 🇹🇿 hata asingepata nafasi kuojiwa live

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 3 หลายเดือนก่อน

      Kenya wana huruma 😂😂

  • @marydavid9635
    @marydavid9635 3 หลายเดือนก่อน +45

    Dunia simama mimi ni shuke ...likes tukisonga 😮

  • @damarisnjerunjeru399
    @damarisnjerunjeru399 3 หลายเดือนก่อน +14

    May God bless this DCI

  • @Sha254ke
    @Sha254ke 3 หลายเดือนก่อน +19

    And ako happy analipua watu...this world surely...Mungu saidia watu wako

  • @mutiealex4771
    @mutiealex4771 3 หลายเดือนก่อน +10

    Jay you have done a very big mistake kupeleka hio ghaidi kwa studio

    • @gracekamau8244
      @gracekamau8244 3 หลายเดือนก่อน +6

      Don't fear death even where u r hujui adui also remember death has no escape the death which occurred kijabe nobody was aware ni mungu tu atatuzingira.

    • @marynabwile4086
      @marynabwile4086 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaa hiyo ni big mistake

    • @wahesh254
      @wahesh254 3 หลายเดือนก่อน +1

      True

    • @zipporahkirigwy6783
      @zipporahkirigwy6783 3 หลายเดือนก่อน

      Na ILE ilikua Westgate Westland , walionyehwa na nani. Fearing death aaih....God knows everything.

  • @jeremiahronoh81
    @jeremiahronoh81 3 หลายเดือนก่อน +9

    This person is a dreadful even to enviroment. Dci pls do something to save lifes of innocient souls

    • @Asha-yn4bu
      @Asha-yn4bu 3 หลายเดือนก่อน

      As Muslim woman I agree. This is gang using religion

  • @VirginiaMwongeli-fs4jm
    @VirginiaMwongeli-fs4jm 3 หลายเดือนก่อน +5

    Msichana 🏃🏃🏃apo akuna mapenzi usijaribu kurudi uyo Mjiga aiiiiiiiyaaaaaa 😢😢😢

  • @HamadMbark
    @HamadMbark 3 หลายเดือนก่อน +5

    Alafu kama ni alshababu angekuwa hapo sai angekuwa police wacheni kutubeba ufala

  • @NyokaDeGal
    @NyokaDeGal 3 หลายเดือนก่อน +17

    Kitu napendea huyu kijana ni muwazi tokea mwanzonii

  • @mercymbakuli4819
    @mercymbakuli4819 3 หลายเดือนก่อน +29

    Huyu jamaa jay mnafaa mumpeane Kwa kambi ya Jeshi na sio polisi,it's a terror case,polisi wataachilia hii mutu na bond

    • @BariisSamatar
      @BariisSamatar 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ma police ni bure xana

    • @leitichjob985
      @leitichjob985 3 หลายเดือนก่อน +1

      Police wakipewa kitu kidogo that is it.

    • @FelixMacharia-y3w
      @FelixMacharia-y3w 3 หลายเดือนก่อน +1

      By the way ni ukweli anafaa apeanwe kwa kabi ya jeshi,,kwa makarao atawapea hongo na atatoka

  • @priscahChweya-xy5lv
    @priscahChweya-xy5lv 3 หลายเดือนก่อน +6

    DCI nakupenda tu bure❤

  • @PriscahKavetsa
    @PriscahKavetsa 3 หลายเดือนก่อน +6

    Jay kabla upeleke Dci kwa Job nje unauliza yeye kama amekula food please

    • @maryj_Ke
      @maryj_Ke 3 หลายเดือนก่อน +1

      I hope he will consider this comment, jay please do so

    • @janetsyuki3550
      @janetsyuki3550 3 หลายเดือนก่อน

      🤔🤔🤔

    • @AysherHassan-ws8ed
      @AysherHassan-ws8ed 3 หลายเดือนก่อน

      I second you please please

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo nimazito 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @wesleytonui9794
    @wesleytonui9794 3 หลายเดือนก่อน +5

    Pls pls Jay, DCI and all your team... kindly pls... don't accept bribe with expense of innocent blood to be shed!;!!!

    • @zipporahkirigwy6783
      @zipporahkirigwy6783 3 หลายเดือนก่อน

      Of course they can't take the bribe as long as Jay is there.. God forbid.

  • @gladysmueni2534
    @gladysmueni2534 3 หลายเดือนก่อน +4

    Director J.read the messages.we are listening 🎧, might be through this we can safe our families in those areas,wasije wakalipuliwa.Pls expose them

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu dem ni mrembo woi uliangukia mkono mbaya

    • @kennethkatanakabui2664
      @kennethkatanakabui2664 3 หลายเดือนก่อน

      Wasichana wengi wana tamaa ya pesa ndio maana wa naingia kwenye shida kila wakati.

    • @SurprisedBirdBath-qh2nn
      @SurprisedBirdBath-qh2nn 3 หลายเดือนก่อน

      Juu ya tamaa ya pesa

  • @ElizabethNafunamakhanu
    @ElizabethNafunamakhanu 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jay keep up good work like like

  • @jerryshah4880
    @jerryshah4880 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hand over this guy to antiterorist unit,atahudumiwa hapo

  • @GodfreyMolel
    @GodfreyMolel 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kito nakuambia usomage message halaf forward kwa cm nyingine kabla hujasoma hadharani ili kuhifadhi ushahidi

  • @rackelturner6727
    @rackelturner6727 3 หลายเดือนก่อน +3

    Toa hiyo kanzu ni ya kuheshimiwa

  • @Morinodhiambo-b5p
    @Morinodhiambo-b5p 3 หลายเดือนก่อน +2

    J huyu nugu chunga sana atolewe hapo mukifunika uso sababu ninaona akirudi au kutumana team yake waje kulipia hapo ama ni mimi ninafikiria vibaya

  • @wahesh254
    @wahesh254 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jay hii case huezi handle ungempeana mbele na kumbuka kàma madamu and governor walikushinda hii nayo itakulemea zaidi

  • @alexsaidi3940
    @alexsaidi3940 3 หลายเดือนก่อน +2

    An terrorist unit sio police cz akifika kwa Kambi ataongea zote

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wajinga wachache ndio wanaochafua dini ya waislam.swali langu ni alshaabab ina uhusiano gani na dini?hawawezi kujitenga na dini au wakaanzisha dini yao wasichafue hawa wengine?

    • @shhjab3621
      @shhjab3621 3 หลายเดือนก่อน

      😢 kweli

  • @juliahkamau7169
    @juliahkamau7169 2 หลายเดือนก่อน

    DCI na JAY congrate

  • @AysherHassan-ws8ed
    @AysherHassan-ws8ed 3 หลายเดือนก่อน

    Sitawai tamani life styles ya watu 😢😢😢😢😢😢😢

  • @annlovergal
    @annlovergal 3 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😅😅 mofa ulikataa 50k😅😅 ushikwa shikwe😅 nice work mofaaa 😂 ed team jay our dci❤❤pigeni like tukieda😅

  • @marthaayuma7065
    @marthaayuma7065 2 หลายเดือนก่อน

    Pia Sisi wanawake tuache kuwapeleka mbio waume zetu.please ndio unafanya wanaume wafanya kazi sio nzuri.😢😢😢😢😢😢

  • @graceg.g5199
    @graceg.g5199 3 หลายเดือนก่อน

    Mukimwachilia atawalipua nyinyi kwanza

  • @janetsyuki3550
    @janetsyuki3550 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa dj umeanzana na Alshababu? Wewe ndie mkubwa kushinda Dedan kimathi? Sasa umengeza studio yako mahali pa kulete magaidi? Hurumii yourself na family yako?kitakuramba peke yako

  • @WetendeMaher
    @WetendeMaher 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani nyinyi mnafikiri al shabanu ni ugaidi?Al shababu is arabu name vijana in English guys

    • @NofelaJaco
      @NofelaJaco 3 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe fala sana😏

  • @quintinaC
    @quintinaC 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ataje kundi lote linalohusiana na alshabab

  • @preezychebet
    @preezychebet 2 หลายเดือนก่อน

    Wasichana tafuta pesa yenu huyu msichana ni mjinga amezoea ready made wacha kimurambee

  • @safiaahmed995
    @safiaahmed995 2 หลายเดือนก่อน

    Ashikwe na kundi lake lote hadi sheikh mwenye mpango.
    This is God's doing. He has saved many souls.

  • @fatumamazul4411
    @fatumamazul4411 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo sio muislamu Kwanza NI mzinzi atoe hiyo nguo nguo siomungu Bali nguonikama nguo zinginetu za kujistiri 😢siokmuslim huyo toahizo nguo

  • @janewaithes5183
    @janewaithes5183 3 หลายเดือนก่อน

    Hii Kenya ukiwa na Pesa huenda popote,huyu dame mbona sasa kiherehere,atulie

  • @hannahwangari8402
    @hannahwangari8402 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mm nauliza aje...wakishalipua watu wanafaidika na nini..iyo pesa wanaliowa inatoka wapi...ama pia mi mmbo na cult wadau

    • @FloridahAkeyo
      @FloridahAkeyo 3 หลายเดือนก่อน

      I think so

    • @NyokaDeGal
      @NyokaDeGal 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ndo raha yao

    • @Themiss760
      @Themiss760 3 หลายเดือนก่อน

      Unalipwa ukiua "kafiri"

  • @janewaithes5183
    @janewaithes5183 3 หลายเดือนก่อน

    Hii Kenya ukiwa na Pesa huenda popote

  • @charity4908
    @charity4908 3 หลายเดือนก่อน +1

    How foolish they are told 17 virgins waiting for them paradise.

  • @IbrahimAbadallah-nb5dq
    @IbrahimAbadallah-nb5dq 3 หลายเดือนก่อน

    Allah hanatakua na huruma na mtu mwenye anamushirikisha na kintu chochote ,allah hanamusamaha namutu mwenye kujiuu , huyo kijana alidanganyw eti akijiuu ataenda mbingini

  • @aplokimo405
    @aplokimo405 3 หลายเดือนก่อน

    Dci arudi laxi haraka

  • @shhjab3621
    @shhjab3621 3 หลายเดือนก่อน

    Eeeee nikama mgeni Kwa hii kazi maana hajielewi. Wakuu hebu pia angalieni simu ya msichana pengine munaweza pata 123 .ni maoni tu

  • @cutebrown4017
    @cutebrown4017 3 หลายเดือนก่อน

    Sura peke yake inaogopesha wanawake tuna nguvu ati kuna mwenye anaringa na yeye ati my love my heart

  • @magretnjeri8322
    @magretnjeri8322 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu msichana maybe alifuhiswa na pesa

  • @millicentrabera
    @millicentrabera 3 หลายเดือนก่อน

    Ety Allah

  • @phylismwihaki4706
    @phylismwihaki4706 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anatumika na hao watu and u are still young....

  • @Moseszaji
    @Moseszaji 3 หลายเดือนก่อน

    This is acting watch

  • @marianomajokatemSouthSudan
    @marianomajokatemSouthSudan 3 หลายเดือนก่อน

    She is not your wife anymore i will married her right

  • @thomasjoseph2547
    @thomasjoseph2547 3 หลายเดือนก่อน

    ATPU case

  • @rizzieangote36
    @rizzieangote36 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwasaidia nyinyi mimesaidia mayatima weee

  • @jossymwambe7889
    @jossymwambe7889 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu kutoka kitale kufika nrb ni abdallah😅😅

    • @AysherHassan-ws8ed
      @AysherHassan-ws8ed 3 หลายเดือนก่อน

      Kienyeji kutoka kitale kipsongoo😂😂😂😂

    • @AysherHassan-ws8ed
      @AysherHassan-ws8ed 3 หลายเดือนก่อน

      ATI anaiga uislamu😂😂

  • @SusanNaliaka-u3v
    @SusanNaliaka-u3v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Weuh jay be carefully pls🙏🙏🙏

  • @RuthShauri
    @RuthShauri 3 หลายเดือนก่อน +6

    Naona jay akiwa next Walai cos kuna wenzake wanamuowatch so utatafutwa walai😂na hakuna hapo kujitetea

    • @marynabwile4086
      @marynabwile4086 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa tena amemleta studio hii ni hatari sana wanaweza lipua hapo hii sii rahisi aki

    • @wahesh254
      @wahesh254 3 หลายเดือนก่อน

      Facts

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna pepo ya kuuwa watu wasiyokuwa na makosa usiharibu uislamu 😢😢😢

    • @shhjab3621
      @shhjab3621 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli hawa watu wanaharibu majina ya waislamu.hata haeleweki mara anaitwa Kwa Bibi wafula.kwa KAZI ni Abi.na huujui uislamu wewe kabisaa

    • @fauzenkassim8424
      @fauzenkassim8424 3 หลายเดือนก่อน

      @@shhjab3621 wallah tena

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu 3 หลายเดือนก่อน +1

    I love DCI ❤️

    • @carolyewa4711
      @carolyewa4711 3 หลายเดือนก่อน

      Can they be serious 4 once

  • @micahkariuki1322
    @micahkariuki1322 3 หลายเดือนก่อน

    Na hio simu asirudishiwe please..that's a state property and enough evidence

  • @ppatop
    @ppatop 3 หลายเดือนก่อน

    This guy is aliar you cant use same groups name to counter their operations unless you're supporting them or being member

  • @aishaismail5626
    @aishaismail5626 3 หลายเดือนก่อน

    Hawo wanaharibu ulslamu ,hakuna kuuwa Kwa islamu alshsabaab stupidity

  • @bonarerichristine9974
    @bonarerichristine9974 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂Nahurumia mtu namsave baby face....hata si type yangu😂😂😂😂😂