Naombe mueleze huo unga una kazi gani? Kila anayeulizwa hanajibu la kuridhisha, mnasema bei tuu. Au wenye maduka ya hizo catalytic converters wanahamasisha wizi . Maabara catalytic converters zilizopo Madukani mwao haziuziki ??
Asee imenikuta iyo .......yaan mlio mkubwa na tulipo angalia mtung tukakuta kama umechomelewa na ndan kuna mapande meusii mno na fundi mpya ananiambia wametoa unga wa gari yangu na wameweka used ambao haununuliki sokon.tuwe makin
Yaani unakuta mtu anacoment hata mia hana, lakini amekazana kukosoa watu wa magari, Watanzania tunaferi wapi? Wenye magari washajua anachomaanisha sasa wewe ndg hata baiskeli huna unataka na wewe uonekane unashaur mambo ya magari jamani!!!
Nipeni like zangu jomani leo na mimi nimekuwa wa kwanza kucoment
Sio mtaalamu huyo kuma tuu mfunga redio za magari hajui kitu... Acha kiherehere hujui kitu sio kila gari itawasha chek injini.
asante
umeiba content kwa snashtz
Kitamboo sana tumekula hizo Kama IT njia ya dar tunduru zinapunyuliwa masega
Hiyo kweli kabisa
Sasa hapo ndo akili za kinyani zinapojidhihirisha kwa wenye tamaa, hawaelewi kwa kufanya hivyo watu watadhurika afya kwa moshi wa magari
Naombe mueleze huo unga una kazi gani? Kila anayeulizwa hanajibu la kuridhisha, mnasema bei tuu.
Au wenye maduka ya hizo catalytic converters wanahamasisha wizi . Maabara catalytic converters zilizopo Madukani mwao haziuziki ??
tupate mtu mwenye taaluma hiyo hiyo ni wa saund sa hapo hatuongelei radio tupate fundi gereg
Hyo inaitwa mafra na kilo 25. Bhn xio laki achen uong
Eeeeh!!!! Platinum yule wa mama diamond au mwingine? Huyu kijana mtundu keshaanza kukaa kwenye maeksosi ya magari!!!!!!!!!????????
TUMIA APPLICATION HII KUPATA GB 10 BUREEE part 2 th-cam.com/video/pujOBxuqL3I/w-d-xo.html
WE NEED YOURE SUPPOR
Huo unga unatumika kwa matumizi yapi?
Kwenye gari huo unga kazi yake nini?
Asee imenikuta iyo .......yaan mlio mkubwa na tulipo angalia mtung tukakuta kama umechomelewa na ndan kuna mapande meusii mno na fundi mpya ananiambia wametoa unga wa gari yangu na wameweka used ambao haununuliki sokon.tuwe makin
jan tumemkamata fund akitoa hicho kidude na bei yake ni laki tano yuko police kwa ss
Hivi ni kweli ?
ni kwel
Yaani unakuta mtu anacoment hata mia hana, lakini amekazana kukosoa watu wa magari, Watanzania tunaferi wapi? Wenye magari washajua anachomaanisha sasa wewe ndg hata baiskeli huna unataka na wewe uonekane unashaur mambo ya magari jamani!!!
😂😁🤣
Weeee!... Eti platinum uongo mtupu... Ata kama shule zetu za kuunga.. Lakini we know how exhaust system work... Please don't misleads
du kwel katuuza ...promo izi
Mwana kafanana na boss wake mpaka sauti duuh
Tafuta mtaalam atuelezee ilitujuwe kaz yake nn huyo hapo hajui kitu
HATIMAYE BABALEVO AFUKUZWA KAZI WASAFI FM🤣💥🔥🔥
Link 👇👇👇
th-cam.com/video/m915JRu4XCs/w-d-xo.html