“MABEYO NAKUSHUKURU SANA, LEO NITAKUPA KAZI INGINE UKAFANYE” MANENO YA RAIS SAMIA KWA MABEYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama Samia unapiga mwingi sana na kuna watu baadhi yetu unawatesa sana kwa kazi nzuri unayoifanya na utu wako uongozi wenye hekma na busara Allah akusimamie na mahasidi wanaekuchukia bila sababu, Amin.

    • @myself4128
      @myself4128 2 ปีที่แล้ว

      Hujui siasa na hujitambui!!

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 ปีที่แล้ว

      @@myself4128 haaa haaaaa nilikuwa nawachokonoa mujitokeze mahasidi nyie na kweli umejitokeza na endelea kuteseka haaaaa haaaaaa Mama Samia Oyeeeeee 5 tena bila ubishi tena kwa kishindo

    • @willeleornad7079
      @willeleornad7079 2 ปีที่แล้ว +1

      @@abuumuhammad7133 kuma wewe nyie ndio maselfish wa dunia ndio maana unafurahi cos saivi umeachiwa uhuru wa kupata Mavi tumboni,kumbka nchi inaharibika mtaani vitu bei Maisha magumu wachache ndio mnafurahia ,tunamkumbka sana rais wetu mtukufu Magufuri mtetezi wa wengi wavuja jasho

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 ปีที่แล้ว

      @@willeleornad7079 tofauti tusi lakawaida sana hili na ndo maana unadhiki na ndo maana unalalamikia maisha wakati maisha yapo sawa tu Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ameiweka Nchi sehemu yake kabisa hivyo miaka 5 tena kisha tunamtafuta muungwana tena kama yeye ili tuendeleze Amani Uhuru haki katika Nchi yetu.

  • @petermusa4745
    @petermusa4745 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU ibariki nchiyangu Tanzania, maana duniani hakuna mkamilifu hakika rais wetu nchi ikosawa japo changamoto huwa hazikosi nakatika uongozi huwezi kuwaridhisha watu wote, hongera mh rais wetu kwauongozi wako.

  • @latifahassan123
    @latifahassan123 2 ปีที่แล้ว

    Allaha akuzidishie umri na afya njema raisi wetu kipenzi

  • @janetorotich6046
    @janetorotich6046 2 ปีที่แล้ว +3

    East Africa is going to vanish in your hands! It’s gonna be so shameful for you the first woman president in east Africa and this is how you treat your poor people? Kick 🦵 them out of there father’s land?

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 2 ปีที่แล้ว

    Tanzania raha Sana

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @dorrymasota6574
    @dorrymasota6574 2 ปีที่แล้ว

    Kweny bomba

  • @johnmunyoro4428
    @johnmunyoro4428 2 ปีที่แล้ว +1

    Wapeni vijana kaz. Nao waaze maisha sasa mzee tajiri Anapew kaz nyingine ya nini?

  • @deevon3364
    @deevon3364 2 ปีที่แล้ว +1

    Akunaga kustafu

  • @nemeskimbe376
    @nemeskimbe376 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna waegine wa kupewa hizo kazi?vijana wapo mitaani wanalalama sahizi huyu wa kupumzika unampa kazi ambayo mtu aliyeweka vyeti vyake kabatini angeweza kuifanya aisee hii ndio Tanzania