+Mohd Hamad ..mimi sijambo ila taarifa nilizosoma kwa wanaotoa comments wanaandika R.I.P.ila kama yupo hai nimefurahi mungu ampe afya njema, nampenda sana.ni mimi mpenzi wa old songs, nipo uswis.27.06.18.
Anderson Soly Kila munu ave na kwao namba 3 meaning kila mtu ana kwao ambako asili ipo. Anajaribu kusisitiza jamii hasa watu wa mikoan wanaohamia mijini kutafuta maisha kutosahau au kuikana asili (nyumban) kwao punde wanapofanikiwa kimaisha.
Kutoka NairobKenya wamakonde tujuanee. tumekuja hukukutafuta tu chondechonde mukapata.Jamani KUKAYA Mungu akupe kauli thabitii kipenzii.
Chonde chonde tukapata tunaluvalile kukaya
Kukaya kwa mbone niko Kenya pia
Mimi nipo mozambique ila nawapenda sana wamakonde kwetu molo mozambique kutafuta tu
Watani zangu nyimbo izi Alizoimba hasilimia 75 Alila tongoranga nazikubari sn then zinaelimisha jamii
Nyimbo ambayo haichuji masikioni mwangu!! R.I.P Tongolanga
Haa hivi huyu jamaa amefariki
Naomba kwa anayejua kwa kimakonde aandike.naupenda kuuimba ila sijui hayo anasema
Naupenda sana huu wimbo Mungu mlaze mahala pema,,kusini daima damu yangu
Najivunia Kuwa mmakonde
Oyaaa makondeko
Wamakonde tuko pamoja tz
mmakonde mm wa newala,raha kama yoote now in geita Ku hustle
Tongolanga alikuwa anajua kugani sana, vizuri havidumu Apumzike kwa Amani 🙏🏾
jamaa anasauti nzuri...miaka mingi sana
R i p tongolanga
Kila munu avee na kwao 2020 like jangu apano jamaa
Wimbo unanifanyia nikumbuke home
Tunakukumbuka kaka yetu
Mbele yako nyuma yetu.
Makonde blood.
Do! ama kweli hujafa hujaumbika jamaa alikuwa anaweza
lnarirahii wa iinarirahii rajuni mwenyezi mungu akupunguziye hazabu ya kaburi daaa😭😭😭😭😭
Muhibu Juma kumbe ameshakufa?daaaaah
R.I.P TONGOLANGA KAKA.
Kali ssna kitambo,,,,,usisahau nymbn unaambiwa
mtwara moja
acha tu nakukumbuka sana tongolanga nipo simiyu ila nasikiliza siwez acha asili
Proud to be konde boy
mwihu kabisa
Home man #mchichira homeland
mungu.akulaze.peponi.amina
ishala nakuelewa vizuli sana mungu akulaze mahali pema
August 2020
Pumzika kwa amani,ulitoa mchango mkubwa sana,utakumbukwa daima.28.02.19.
Kumbe kafariki uyu msanii duunilikua sifaham nikijiuliza uyu atoinyimbo nyingine
Mimi. Mmwela nachingwea nampendasana uyu alijahaliwapia sauti mzuli sana
Safi
Nime kupata vizur sana mtwara kukaya
Kaka tongolanga tutaendelea kukukumbuka daima
Te amomeu irmao conterraneo, forca, ❤❤❤❤😍😍😘😘
Yani sijui anachoimba ila naivutia isia mpk nalia sauti ilivyo tamu nipo kwa ajili ya hamonaize
Jaman sjui wimbo lakin naupenda
Kila munu awena kwao
Mchichira moja hiyo hakuna kama wewe mungu akusamehe ya dunia
Sauti nzuriii sana,ujumbe safi mnoooo,tukumbuke nyumbani ,wimbo unaburudisha na kufundisha sana!!
nakubaliiiiii
safiii
Msifanye kama wengine kuficha asili yenu
Mungu akulaze mahali pepa marehemu tongolanga tunakukumbuka sana
Kumbe alishatangulia mbele ya haki?
Jamaa alikuwa noma,mbele yake nyuma yetu!
Love You Konde Boy
Viva va makhonde
Isungu kuhangalala
Uyu. Kaka alihamasisha wamakonde alafu alikuana sautimzuli
Mipa kuchilambo kuntongwele
Naipenda tyu lkn sijui hata maana yake
2020 naicheki
Kila mtu anakwao alikozaliwa
❤❤❤❤
Foram grandes senhores nos tempos
wimbo mzuri sana, hivi huyu muimbaji kiongozi bado yupo hai ?05.05.18.
Mariam Fritsi yupo hujambo
+Mohd Hamad ..mimi sijambo ila taarifa nilizosoma kwa wanaotoa comments wanaandika R.I.P.ila kama yupo hai nimefurahi mungu ampe afya njema, nampenda sana.ni mimi mpenzi wa old songs, nipo uswis.27.06.18.
Mariam Fritsi amefari mwaka sasa
Field Masha Alilah Tongolanga alifariki mwaka jana
Tunalivalile kukaja mundigwa
r I p tongolanga aiseee
🇲🇿🇹🇿🇰🇪🇲🇿
2po wengi
Mambo
R.I.P TONGOLANGA
Tunakukumbuka tongolanga
Yohana Matimbwi umeona mumewang tunamkumbuka sanaa
R.I.P TONGOLANGA BROO
Yan hata sijui anaimba nn lakini hii nyimbo naipenda sana kiukweli
Anderson Soly Kila munu ave na kwao namba 3 meaning kila mtu ana kwao ambako asili ipo. Anajaribu kusisitiza jamii hasa watu wa mikoan wanaohamia mijini kutafuta maisha kutosahau au kuikana asili (nyumban) kwao punde wanapofanikiwa kimaisha.
Hivi huyu jamaa kumbe alifariki jamani lini
makonde uko vzul
Tongolanga upo kweli tunakukumbuka jaman
Chondechonde mukapata munalivalile kukaya big up cna
I'm proud to be Makonde trible,asante mama
I'm proud to be Makonde trible,asante mama
Descanse em paz Tonkolanga
hamornize umenileta
duuuh nimemcc kurud nyumban
Emanuel lukumay
mkipata msisahau nyumbani
Nasikiliza ngoma za nyumban nip dar na amani ngonyani
Kukaaja kumwidumbi nastenje likola namakongo
kaliiiiiiiiiiiiiiiiii
vzr
Makonde moja
Wamakonde wenzangu mupo
xafi xana
Mambo ya kihome boy
Mungu akupe mwanga wa milele
Mia
R.I.P
mamã
Pumzika kwa amani