WANAFUNZI WA UDOM WAFARIKI KWA AJALI DODOMA, DAKTARI ATHIBITISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 58

  • @stanleyevanda797
    @stanleyevanda797 2 ปีที่แล้ว +15

    Poleni sana wafiwa wote kwa kweli inaumiza sana ila kikubwa ndugu zangu tujue tuko katika dunia ambayo shetani anatumia kila njia kutuangamiza kwa hiyo salama yetu ni kumkubali YESU kristo kuwa Bwana na mwokozi na kuamua kuokoka na kuacha dhambi na kumtumikia YESU

  • @mrjohn4446
    @mrjohn4446 2 ปีที่แล้ว +17

    Roho ya mauti inatembea Tanzania tuzidi kusali na kumuomba mungu, wa Tanzania wote tufunge nakusali kwa Imani zetu wote Kila mmoja amuombe mungu, hili sio jambo lakawaida lakupuuzia nchi hii inamuhitaji mungu sana kwakila hatua moja

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 ปีที่แล้ว +9

    Mwenyeezi mungu awape shifaa ya haraka wapone kwa haraka 🤲🙏

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Mirlad Ayo kwa kutuhabarisha.

  • @prophetsayitv1541
    @prophetsayitv1541 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Mirlad Ayo kwa kutuhabarisha.l

  • @priscargodwel3794
    @priscargodwel3794 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu awapumzishe Kwa amani

  • @deskorydominick3218
    @deskorydominick3218 2 ปีที่แล้ว +7

    Majeruhi Mungu awaponye 🙏

  • @crepinakatundu1831
    @crepinakatundu1831 2 ปีที่แล้ว +5

    R.I.P Marehemu.Poleni Wafiwa.Amina.

  • @lucypaul3102
    @lucypaul3102 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭👌jamani Tanzanian sahivi ajali zimekuwa nyingi mno

  • @Tee-King
    @Tee-King 2 ปีที่แล้ว +4

    Jaman me sio mwana habar lakn angalau ungeweka idad ya vifo na majelui kwenye kichwa cha habar mana tunatishana.

  • @raiye5621
    @raiye5621 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni ndgu jamaa na marafik 💞💞💞

  • @hasnaybyser1972
    @hasnaybyser1972 2 ปีที่แล้ว +6

    innah lilah wahina lilah rajuun

  • @mwanaidithabiti3731
    @mwanaidithabiti3731 2 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana family ya kingazi nawengine wote

  • @mkudembeteni7667
    @mkudembeteni7667 2 ปีที่แล้ว +2

    Acheni Kuku furu kwahiyo wanafunzi wa chuo ndiyo watu muhimu wenye roho muhimu special!!! Asante docter huja bagua maelezo Kwa wa athirika...

    • @AfricainTv
      @AfricainTv 2 ปีที่แล้ว

      Mh nahc unachuki binafsi na wanachuo, Nani kasema hivo?

    • @AfricainTv
      @AfricainTv 2 ปีที่แล้ว

      Ameongea vizur mbona na kasema wanachuo ili kufikisha taharifa hii hata kwa wazaz sabab akisema watu watat bila kuhusisha vyeo vyao taharifa inakuwa bado haijakamilika hata angekiwa mtoto wa shule ya msingi kapata ajari bado wangesema "mwanafunzi/wanafunzi wa shule ya msingi... Wapata ajariwalipotoka...." hiyo ni kanuni ya uandishi wa habari Kaka sema nahisi unakinyongo na wanachuo tu hakuna kingine hapo

    • @redemption8064
      @redemption8064 2 ปีที่แล้ว

      Mungu tu jamani

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 2 ปีที่แล้ว

      inaonekana wew elimu yako haukufika chuo, kwan ujui kama wao ni special?

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว +2

    Inalilai walnalilai rajiuni poleni sana ndungu

  • @williamkeko9244
    @williamkeko9244 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana wanachuo ,ndg ,jamaa na marafiki Rip

  • @redemption8064
    @redemption8064 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana .Mungu awe pamoja nasi jamani

  • @farmvillage1401
    @farmvillage1401 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wafiwa

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 2 ปีที่แล้ว +1

    Yan Bajaj Moja Watu 9

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainailaih rajiun poleni sana

  • @mlangiralameck9158
    @mlangiralameck9158 2 ปีที่แล้ว +3

    Wapumzike Kwa Amani, na pole Kwa familia ndugu jamaa na marafiki

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 2 ปีที่แล้ว

    Poleni duh
    Ina maana wote hao walipakiwa
    Kwenye bajaji

  • @ndembwamponda7674
    @ndembwamponda7674 2 ปีที่แล้ว +2

    Inasikitisha sana.

  • @glorychengula1927
    @glorychengula1927 2 ปีที่แล้ว

    Ukisoma mandiko matakatifu juu ya uongozi wa juu, kama mfalme hakuna na kibari kwa mungu taifa lilikuwa linapatwa nà majanga mengi kama haya unayoyaona tz na kiyasikia njaa, mauwaji na mambo mengi, tumekuwa wanafiki mbele za mungu lakini huo ni udhihirisho maana yanenwayo sirini mungu huyafunuwa wazi mwenye kufaham na afahamu.

    • @ELBURLIZHOLDINGSLIMITED
      @ELBURLIZHOLDINGSLIMITED 2 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo kiongozi yupi Hana kibali toka kwa Mungu?? Mawazo na Maneno yako ni ya upotoshaji tyuu

  • @angelmoses7039
    @angelmoses7039 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awapunguzie hazabu ya kabli

  • @tayyahshuaybu1346
    @tayyahshuaybu1346 2 ปีที่แล้ว +3

    Innalillahi wainnailayh rajiuun

  • @chutney1173
    @chutney1173 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah very sad may them rest easy!

  • @roseallen7198
    @roseallen7198 2 ปีที่แล้ว

    Rest in peace pole nyingi kwa familiaa😭😭😭

  • @mussabalisangwayo9844
    @mussabalisangwayo9844 2 ปีที่แล้ว

    Maumivu Sana

  • @ziadakisanga1011
    @ziadakisanga1011 2 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainnalillah rajiuun

  • @mariamnyenye7823
    @mariamnyenye7823 2 ปีที่แล้ว +2

    R I p na tamaa tuache bajaji Moja watu nane

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P poleni wafiwa

  • @tiffahdangote7548
    @tiffahdangote7548 2 ปีที่แล้ว +2

    Too sad!

  • @deskorydominick3218
    @deskorydominick3218 2 ปีที่แล้ว +2

    RIP 😢😢

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 2 ปีที่แล้ว

    Usipoingia mitandaoni siku moja tu unakuta ajali kibao zimetokea

  • @patriciasongano572
    @patriciasongano572 2 ปีที่แล้ว +1

    Wapumzike kwa amani

  • @zaituniabubakar9751
    @zaituniabubakar9751 2 ปีที่แล้ว

    Inalilah wainailah rajoun 😭

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 2 ปีที่แล้ว

    Dr kabisa unasema tuliweza kumpoteza majeruhi mmoja? kwaivo mmekusudia kumpoteza? Kiswahili kinaenda wapi ? Unaelewa maana ya tuliweza

  • @godfreyfedrick4514
    @godfreyfedrick4514 2 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh

  • @gee5837
    @gee5837 2 ปีที่แล้ว +2

    RIP

  • @ridhiwanikhalifa9036
    @ridhiwanikhalifa9036 2 ปีที่แล้ว +2

    sasa ng'ong 'ona hapo ajali inatokeaje mbona hamna kikwazo

  • @jafarichima4891
    @jafarichima4891 2 ปีที่แล้ว +1

    Rip

  • @emmanuelmatowo2434
    @emmanuelmatowo2434 2 ปีที่แล้ว +1

    rip