Harmo usijimalize, sisi tumekaa paleee. Tunasubiri hatma yenu. Mapenzi ya kwenye Mtandao pia huishia kwenye Mtandao. Acha tunywe Mtori, nyama tutazikuta chini. Orodha yako Harmo tunayo ndeefu, ulisema mengi na wengine ukawavisha Pete za Uchumba, mwisho chalii. Wadada tamaa zinawaponza, wanadhalilishwa kila uchao lkn hawajifunzi tu!!.
❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
Gari amepewa kwa muda tu akiachwa anapokonywa yaani wabongo bado hamjamjua hamo