MASWALI MANNE YA MEMBE KWA RAIS MAGUFULI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025
- Mgombea urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bernard Membe amewataka wananchi wa Kilwa Masoko kumuuliza maswali manne mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli atakapofika eneo hilo. Ametaka wafanye hivyo kwa kuwa Dk Magufuli ndiye anayetetea kiti hicho alichokishikilia kwa miaka mitano
Skutegemea km Membe ungejidhalilisha kwa kiasi hiki😏😏
Benard Membe uspotoshe uma wa Watanzania. Tunayafahamu sana madudu ulofanya wakati uko waziri wa mambo ya nje. Na ukija Mwanza Wilaya ya Magu lazima nikutwange swali. Mwacheni Magufuli afanye kazi kwa masrahi ya waTanzania. CCM Hoyeeeeeeeeeeee!
Piga keleleeeeee kwa sulual yake😂😂😂😂😂mvuto huna membe bora usikilize taarabu kuliko utopolo
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
bora ata mzee wa ubwabwa ana mvuto kuliko membe
Hahah
Jamani aibu hiii jamani Zito okoa jahazi sema. Sera....kumpinga JPM kwa alicho fanya siyo haki ...kama ni uraisi naona hapa ni galasha🙄
Mimi nasema membe amepote wanao ungana na Mimi laki
Mheshimiwa jipange bado Sana hoja zako hazina mashiko wewe ulikuwa waziri wa mambo ya nchi za nje ulifanya nini usipotoshe
Kumbe kampen sio mchezo aisee,inahitaji utimamu wa akili sn vinginevyo unakuwa mwehu mfano ni huyu mzee membe
Hahahaha!! Daaa!! Umenifurahisha sana mzee na coment yako.
🙊
Huyu ndo bwege Zaid ya lisu
Wazee wengine wakisitaafu hivi huwa wanakosa kazi za kufanya ?..Yaani membe umejiaibisha sana hata bwege anakuzidi..
Wewe ulifanya nini ulipokuwa waziri..Yaani wewe utavua kila samaki na unategemea kura kweli mzee wangu...Pole sana ...
Hongereni ACT.
Yani membe chadema mnakaz sana ccm hoyeeeeee
JPM namba 1
Daah membe hiyo suruali kakuvalisha. Disaina gani🤪😁😁😁
Zitto ni mtu makini sana...kweli hichi ndio alichokitaka????a total disgrace!!
yaani katika mgombea wa hovyo wa urais membe unangoza yaani wewe ni garasa
Garasaaa baba ako
@@jrpatrickngulugulu6927 bwege wewe unashabikia kisicho na tija😁😁😁
Ulitaka awe ccm ndio umsifie .
@@teddymhagama611 mtaniua mm
so sad yani 😂
Zito okoa jahazi,mzee bado hatumuelewi vzr
Kua mkweli kaka sio hatumuelewi vzur sema kutoka moyon kua haeleweki maana hana cha kuwaambia wananchi coz wengi wanamjua kua ni mbinafsi sana
Rais wa londo wewe mwehu umitumikia serkl yako miaka mingapi
Mwana mpotevu rudi nyumbani,baba hachukiwi 🤣🤣🤣🤣,sasa ukiwa vua samaki wadogo utaingia wewe baharini uwe samaki,maana si wataishaa🤔🤔🤔🤔,rudi tu home usijifedheheshe,uongozi ni matendo sio maneno yenu hayo.
Miaka yote umekuwa waziri wa mambo ya nje hata barabara unasema aulizwe Magufuli, kweli wewe na boya
membe ni ndege au nakosea
Suruali ya Gaddafi membe umeifunga hadi imepitiliza😁😁uliikwapua Libya,,eti unataka kuwa rais,,,,,wa wapi,😳
Safii sana
Kiukweli unajidhalilisha mzee baba. Kwa Magufuli umekwama tafuta kiki ingine
Nimeiangalia zaidi ya mara tano ili nicheke
Kwahiyo kila mtu ni magufuli
Yan huyu anajichoresha dah
Suluwali Gan hii
Mti wenye matunda mazuri ndiyo hupigwa mawe sana Magufuri baba lao wanamsafishia njia ya kurudi vizuri ikulu na huyo ACT ameenda kuuwa chama huyo.
@@janekikoti2179 sahihii,, awezi kuuwa ACT kwakuwa ktk uanzishaji wake mkono wake upo.
Huyu ndo kiazi kabisa,badala uelezee watu utakachowafanyia ukichaguliwa kuwa raisi(daydreaming)unauliza maswali mtu ambae hayupo hapo ulipo.Twambie sera zako;kwa nini wewe unafaa tukuchague kuwa rais kuliko wengine,ulipokuwa waziri ni mambo gani ya kukumbukwa ulilifanyia Taifa na ni yapi unataraji kuyafanya,kwa nini ulikosa nidham mpaka ukafukuzwa ccm,zile tuhuma za libya kuwa ulikwapua mihela ya Gadafi,kama ni za uongo elezea ukweli wake,msimamo wako kuhusu ushoga ni nini(lisu na chadema wameshatangaza kuunga mkono).Je wewe ni asset au liability ACT? wenzako walitoka ccm kwa ajili ya kusaka madaraka kama wewe walipokosa walirejea ccm,je wewe hutafuata nyayo zao?
Wakubwa kwa wadogo alafu baada ya mwez mmoja watavua nn maana watamaliza sasa
Yaan huyu mzee aendeenda kuwa mzee wa kanisa tu
Eti sitachoma motooo nyavuzeni yani anavyo ongea adinacheka haaa huwezi kuwa Rais tunanamchagua Lisu
Mm nko busy na hyo suruali ya membe IPO makin sana
hata mateja huwaga smart!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha ukuda Magufuli anajenga nchi huko kwako ilani inakuja kufuta uchafu ulioufanya ukiwa waziri.
Kama kampen ni hivi hata mm siasa naweza
We si ulikuwa mbunge huko lakini Pia waziri wa Mambo ya nje? Umefanya nini kipindi chote hicho au ndo ulikuwa unafurahia kufuja kodi.zetu watz kwenda ughaibuni Kula bata na ukasahau kama Kuna kwenu?
Sikutegemea kama mzee kama wewe huna akili uko na ujinga TANZANIA hatuwezi kushawishiwa kwa ujinga kama huo we jiandae kweda ukalime au ukanywe gongo
Hata huyu anajua walpo tekwa walipo
Mmmh hiyo suluale nyuma balaaa
bado kufunga likada tu , imempwelepweta😁😁😁
@@teddymhagama611 Ahahahaa anapoteza pesa za bure tyu
Kumbe nawew umemhona sela ndogo
@@jesusalpholed4811 Aaah wanajisumbua tyu
Mzee amechoka kukaa kijiweni akinywa kahawa, ati anataka ikulu 🤨🤨🤨🤨
Hii suruali si ya rais wa nchi jamani tuache utani🙄🙄🙄
😂😂😂
Wewe ulikua serikalini kwa muda mrefu na umekuwa waziri mudamrefu umetengeneza barabara ngapi?
Huyu hana hoja jiuzulu tu amuunge mkono Maguu from 🇰🇪
Mzee membe ujapendeza umevaa litisheti libayaaaaaaaaaaaa suluali imejikunja matakoni utafikilia unamke muhuni tuuuuuu
😂😂😂😂😃😃😃😃NACHEKA LAKIN NAOGOPAAAAA
Wakujifariji jifarijini tu ila kwa hakika sijaona hoja ambazo zinaweza kumtikisa magu kwa magu mitano tena kama kawa hutaki ww tu na ubishi wako twende sawa no jazba?
Iyo suruari inaonekana ni yamtumba eti alafu simuelewi anacho ongea asemi atafanya nini?
Katumwa huyo membe kibaraka wa ccm. Alafu iyo suruari aimtoshi uko nyuma imekuwa pana hahaaaa Lisu oyeeeee
Kapungua nguo zinapwaya mungu wangu ukujiangalia kwenye kioo kweli vyuma vimebana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Magufuli oyeee
Oyeeeeeeeee
Mzee unamshauli wakukuambia unaongea nini jamani msaidieni uyuu anasela yeye anaongea mipasho tuuuu
Umekonda mwenyewe unatafuta kura ushibe
Magufuli arudi chato tano basi.roundi hii hatudanganyiki tena.
Hyu mzee nachanganyikiwa na kakonda mpka nguo zinakosa ushirikiano na kiuno
😂😂😂😂ww boc wake zitto uyo
😅😅😅😅
Hta kma lkni wanajichosha tuu yaani ukimsoma lugha za kimwili yeye mwenyewe anajitambua kma he wasting time
😁😀😀😀😀😀🤣🤣🤣Hatari sana
Hahahahahahahahahaha!
COMEDIAN
MAGUFULI BABA LAO 🇹🇿 kwa maendeleo ya Watanzania
Mzee chizi kabisa
Hivi kikwete alimpaje uwaziri huyu jamaa
Raia wa Canada huyo
kumbe kuna Mbelgili, Mcanada
An huyu jamaa hafanani na hata udiwani, ivi nyie Lindi vijijini mulimpaje huyu kua mbunge
Hafanani kwa kuwa sasa hivi yupo chama pinzani ?.halijakupendeza hilo ulitaka awe ccm .
Mimi naishi sumbawanga yako hayana tija mbona hujahoji kwanini balabala kibondo kasulu haijaisha nahuko nimasasi au Lindi, balabala ya matai kasesya mpakani nazambia haijaisha je nahuko nilindi au mtwala siasa zaukanda taifa kama latanzania lenye umoja mshikamano asiri yake nifamilia moja hufai kuaraisi wainchi hii
Yeah ni kwel uyo jamaa ni mroho sana ukifika kwao Rondo Chiponda utafurahi alivyopeleka huduma muhimu lakin fika Rondo nyingine za jirani utalia namna zilivyo kutokana na hilo huyo hana sifa ya kua hata balozi wa nyumba kumi kwa sasa,
@@sawamutukula4940 wa Tanzania tusipokuwa makini punde tu ukabila utatamalaki
Unganeni na chademaa
Mzee bado hajatoka mkoani kwao??Haya mikoa mingine vipi baba
Uyo jamaa km vile anafanya mzaa
Hizo propaganda tuu mzee wanguu hatukusom tupe seraa zakuelewwka
Nani kaona mkanda nje
Siasa za ukanda - ubaguzi
Suruali ya Membe Ni kivutio Cha utalii
Hahahahahahahahahaha
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waso haya wanamji wao
Watavua kila kitu kwa uvivu haram hatar sana
Sasa hivi vibaraka na vikaragosi vya Ulaya Membe na Lissu wataweza kutishia Tingatinga? Magufuli hoyeee!!!
Bora na Lowasa alieleweka..wa Tanzania si kama wale enzi zenu za deal..Mzee bora ukatishe kampeni tu ..Wafadhiri wako waambie umeshindwa kazi uteme pesa..Msiba angejaza kweli watu...
Hilo swali gumu
mzeeeee kweli umechoka mbaka suruali tu oversize pole nafasi unayoitaka utaishia kuisikia radio hiyoo nafasi tumwachie mwenyenayo tuuuuu!!!!!
Uwumbaba cmpendi
Mmmmm
Tunamuuliza pia kwanini hatuendi kazini na bata?mzee umechoka wewe
Hivi wanashangilia au wanakuzomeaa! Cdhan kama una furaha bwan membe sema 2 ni maji umexhyavulia nguo
Mh, unajidhalilisha sana hata hyo suruali uliovaa inaendana na hoja zako dhaifa unazoongea pole sana.
Yeye si alikuwa waziri amefanya nini huko??
Membe umependeza jamaa!
😆😆😆😆😆😆
Wajinga ndio waliwao sasa taratibu zifuatwe zipi kama umeweka ruksa umechoka mzeeeee
Apa ni ziro kabisa
Uyu mzee cjamuelewa yy alifanya nn au amechanganyikiwa
Kibabu katika ubora wake wakungangania madaraka. Hata ulaya watu wanapotea.hilo ni swali la dunia.magufuri siyo mungu kibabu unakosea. Magu ni mwanadamu.
Suruali ya Membe kubwa kuliko Kiuno.
Mathew ungani Mungu anakuona ase
Membe naona hilo nyomi LA watu umetisha duuuuh !!! Hill nyomi n watu million ngapi? Mmmmh kalale unenepe
Hiyo suruali cjui mke wake hakumshauri avae nyingine inayo mtosha 😂😂😂😂
@@iddynyaihere5424 pigo za kimakonde
Huyu mzee wa kumpima mkojo
Ndomaana nasema atamimi nikisema nigombee urais alafu nimponde magufuli jembe lazima nitapigiwa makofi kwakua nabiii atambuliki katika kijijichake
Membe mifuko ya suruali ya nyuma inataka kuungana amevurugwa kiufundi upo!
duhhh!!😁😁😁
Membe huna mvuto kabisa
Washangilia suruali ilivyo na malinda kama sketi
Membe siasa imekukataa ndo maana watabili wamesema utapata asilimia 9
Kweli hoja Kama izo mnafikili mnaweza kumtikisa magufuli nyie Aya tuta ona mwisho wa kampeni
Issue siyo kumtikisa magufuli!!! Maake sio mashindano kati ya mtu na mtu!! Kuuza sera wanachana na wananchi wakazielewa! Ingekuwa ni mtu na mtu ! Magufulu uwezo mdogosana kwenye uelewa wa mambo ya siasa, uchumi, katiba , sheria na uongozi, na kujenga hoja!!lakn kwa kuwa siasa zetu ni za kushabiki?? Mwenye mashabiki wengi na mwenye dola lazima atashinda kwa kiasi kikubwa!
@@raphaelsamwel2640 wew ndo wale hewa usituletee uhewa hapa jpm ni genius wa kufikirika na kufanya kwa vitendo wew unataka sheria ya nin wakat watu tunataka economics nyamaza sugua bench saw
@@jalalybabilas4213 genius wa kufikirika""??? Mnataka Economics??? Duh!! Unajielewa kweli?? Siongei na mapimbi halisi!!! Ndo maana kumbe!!!
@@raphaelsamwel2640 mmm ulikua ccm wajibu hilo swali wee unjua wape jibu .
@@jalalybabilas4213 hacha kumdhalilisha Rais
Ila siasa wakati mwingine ni kama comedy
Umeona ,jamaa kawa km comedian
Ni bora ya hashimu Lungwe anayesema tutakula pilau
@@majaliwamsigwa3974 😂😂😂Kweli kabsa ndg yangu afadhali mwenye hotspot ya pilau membe amekuwa comedy na watu wakolofi wanajidai kama wanamshangilia kumbe wanamzomea