MGOMO wa MADEREVA wa MALORI ya TZ kwenda ZAMBIA, WAONGEA kwa UCHUNGU - "TUNATESWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @anangisyejoseph925
    @anangisyejoseph925 3 ปีที่แล้ว +2

    Serikali ifanye mpango wa bara bara ya sumbawanga kutokea mpaka congo hawa ni ndugu zet wanaonyanyaswa wajue

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 ปีที่แล้ว

    Viongo WA Tanzania wachoka Kaz rushwa kuskiriza watu hawawez

  • @jadenjames4441
    @jadenjames4441 2 ปีที่แล้ว

    Wazambia Wana roho mbaya sana hasa Askari wa uhamiaj

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 ปีที่แล้ว

    Nyie nao mmeregea kweli wapigeni ngumi tu

  • @futurekavugha983
    @futurekavugha983 2 ปีที่แล้ว

    Uyo mkuu wa wilaya je anajua kilio cha madereva kimeanza lini maana kila siku tuwape nafasi

  • @barakakingwaso8761
    @barakakingwaso8761 3 ปีที่แล้ว

    Hawana msaada hoo kujikuta wanazijua sheria kuliko utu

  • @axmadadan6654
    @axmadadan6654 2 ปีที่แล้ว

    ndugu zangu madereva hapa kuna. ishu ya Kwanza DC. wa nakonde na Yule wa kwetu Lao nI moja salsa nyiyi unampeleka mahakamani nyani wakati hakimu ni ngedere mnapoteza muda wenu madereva. wasaliti pia wapo

  • @saimonimzopola9244
    @saimonimzopola9244 3 ปีที่แล้ว

    Mm nazani huyu DC hajitambui kwaiyo yy toka siku zote tunalalamika alikua anasubili mpka selikali ya Zambia iingie awam nyingine ndo wakae kikao angekua na ndugu yake dereva anakuja Zambia asinge tamka maneno hayo . dawa yao ilikua wasipate huduma zetu hata siku 4 uone kama hawajajilekisha .

  • @hassanbuba7458
    @hassanbuba7458 3 ปีที่แล้ว

    Madereva wa Tanzania wananyanyaswa Sana nnchini Zambia

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 3 ปีที่แล้ว

    Sasa ndio watanzania wateseke

  • @rajabmasoud3137
    @rajabmasoud3137 3 ปีที่แล้ว

    Zambia manyanyaso yamezid kwa kweli

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 2 ปีที่แล้ว

    Ww acha hizo unataka mda gan ninyi wazee wa kupuuza sana madai yetu

  • @Frazztraveller
    @Frazztraveller 3 ปีที่แล้ว

    Madereva wa tanzania wanateseka sana

  • @munirahmed7753
    @munirahmed7753 3 ปีที่แล้ว

    Hawa madereva kila siku mgomo ni wao tu ovyoooooooo

    • @salimsaidjr.3894
      @salimsaidjr.3894 3 ปีที่แล้ว

      Shida iko wapi nibora wagome2 mpaka muafaka upatikane zambia wana loho mbaya? hususani Askali wao

    • @barakakingwaso8761
      @barakakingwaso8761 3 ปีที่แล้ว

      We ulitaka agome Nan we Nan kwanza ni dereva au mganga wa kienyeji

    • @zangutialiy5694
      @zangutialiy5694 2 ปีที่แล้ว +1

      We ni pumbavu kaa kimya kazi za wanaume usiwe unaingilia ushazoea kazi za saloon kazi ya udereva ni yawanaume hivyo tuliza matako yako

    • @axmadadan6654
      @axmadadan6654 2 ปีที่แล้ว +1

      @@zangutialiy5694 mm. naona dog ana akili kuliko ww. stupid udereva. tulianza kabla mama yako. kutobwa mbwa ww

    • @axmadadan6654
      @axmadadan6654 2 ปีที่แล้ว +1

      @@barakakingwaso8761 mm ni bwana wa mama. yako