Wow hii ndio sifa Kwa yesu..inaingia mpaka ndani ya roho.. barikiwa na hiyo team yako...thumbs up guys..you have made the mijikenda proud...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
praise God natafuta song inayo sema utawale mungu wangu utawale wewe ni mfalume mwema. sijui kama nani aliimba but naona nihuyu msanii pliz kama iko si muibwage hapa niipate
Kwa Yesu Kuna amani🙏🙏🙏 be blessed dama
Mungu azidi kukuinua mamaa unanibariki sn
Amen barikiwa sana dadangu
Loice unanibariki sana huvoyere sino huanzao muziki nifike mahali umefka God bless you maaaa
Amen. Msijalini Dada zangu mutafikia malengo yenu kwa jina LA yesu tuwe na imani na bidii tutafika sote
Kumbe wimboo huu mtamu ni wako dada loice,ooooh,am blessed
Amen 🙏
❤❤❤ napenda sana hii nyimbo loi
We dada umebarikiwa Sana I say.... Usitsoke kunena, thuwa kunena ga Mulungu....
#Usogohe
Amen. Asante kaka kai
Niabarikiwe sana
@@LEAHLIZO amina thanks
Wow! God bless you my sister
@@BentanoraChao Aamen 🙏
Kwa jeso kunafahiza..Ameen
Wimbo safi xn keep it up loice be blessed
Wow hii ndio sifa Kwa yesu..inaingia mpaka ndani ya roho.. barikiwa na hiyo team yako...thumbs up guys..you have made the mijikenda proud...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
Amen kweli kabisa kwa yesu Kuna faida keep it up
Jeri kwa Jesu kunafahiza barikiwa Dede unabariki moyo WANGU,mungu zaidi kukuinua pamoja
Amen ndugu yangu asante hata nawe ubarikiwe
Njoo Kwa Yesu Kuna pendeza❣️
Nyota imengaaa nice song Dama God bless u so much for the work u did in kisii
Amen
Kwa Jeso ni raha.. Barikiwa sanaaaaa 🙏
God bless you my sister na mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi unaubariki moyo wangu sana
Hicho nkipaji daa god bless you
Barikiwa dadaaa
Amina Kwa Mungu kuna Mema .Glory to Jehovah. Barikiwa Sana
Amen thanks
Barikiwa dama.....kunahama sana kwa jesu asena gaa 🙏🙏🙏
Amen siz Christine asante ubarikiwa pia kwa support yako
Nena. Dedee barikiwaa shomu ... powerful message
Amen barikiwa sana the talent of new life church😙😙😙
Amen amen thanks
Amina kwa Jesu kunafaiza barikiwa 🙏 dede
Amina
Amen.
Njoo uone kwa yesu kuna faida
Eee karibu tena
Amen Dada ubarikiwe sana kwakazi njema
Amen
Umwimbaji mzuri ❤❤
praise God natafuta song inayo sema utawale mungu wangu utawale wewe ni mfalume mwema. sijui kama nani aliimba but naona nihuyu msanii pliz kama iko si muibwage hapa niipate
Great talent dada. Barikiwa sana
Amen
Good song ,from kisii ev.isaac tuned in
Amen thanks
Barikiwa Sana Mtumishi
Amen
MUNGU akubarki sana dadangu❤❤❤
Ameeeeeeen barikiwa sana dada ❣💘🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki Kwa kazi nzuri dada
Mungu wa mbinguni akuzidishie. Haki unani bariki
Kaziiii nzurii sanaaa ,be blessed 🙏🙏🙏
Wonderful God bless you with all honey blessings 4 your spng
Blessed music. ❤
Pongez dada ubarkiwe❤❤
Wow! hiyo Sauti iko leel ingine...... barikiwa sana.
Amen glory be to God
Barikiwa sana dadangu.
Amen thank you my dear broo
Dada unasauti....sichoki kusikiza nyimbo zako zinanibariki saaana moyo wangu...mungu akulindie hata na zaidi...amen
Amen siz na uzidi kubarikiwa kwa jina la Yesu
Wow!! This is wonderful wifi yangu, ni Lillian huyu dadake baba Joel nilifanya kazi pale salon kwako Mtwapa its long, am blessed with the song
Amen
Good job Dada, yani tunahitaji wasanii Kama wewe
Amen my dear kwa neema tu ya Mungu asante
Kazi mbidzo sana ii. Ukalahi loice kala ukimalwa unapatikana
Wira Muzdo mijikenda hoyeeee nahamirwa Sana haswa dadaa❤️
Hoyeee amina Dada asante
Mungu azidi kukuenua mamaa wanibariki sana❤❤❤❤🙏🙏
Wow njioni muoni Kuna faida kwa Yesu more 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪 be blessed
Nadza nilole 🔥🔥
Kunafahiza kwa Jesu. God bless you for such a wonderful song carrying a strong message.❤❤❤🎉
Barikiwa mtumishi am blessed it have touched my soul
Amen
napenda kuona wadada wa nyumbani wakifanya kazi nzuri
Hongera Mtumishi unajua sana
Thanks and amina
I love this song Sana msena Mulungu Na akuhase zyomu
Amina
Long time sister.nyimbo zako huwa za ni bariki sana
Surely u bless my hat keep it up
Amen
Loi ukilambo, Mungu azidi kukuinua, amen
I love your song's ma'am You're such a great artist keep up
Amen 🙏
Nyimbo iko sawa sana ubarikiwa pamoja n wenzako
Amen 🙏
sifa kwake mwokozi,Mungu akuinue zaidi❤
I found you today and I can attest that you're blessed
Mijikenda🔥🔥🔥💯
I don't understand the language but am really blessed all the way from tiktok ❣️❣️🙏❣️
Vinafahiza kwa Jesu. Haswa mwenehu.
Amina
Kwa Jesu Kuna faida,I have tasted it,more blessings my sister.
Amen thanks dear
Uuuuuiiiii 💃💃💃💃💃💃
Great ministry 👍
More and more mum
Barikiwa haki Mungu azid kukuinua
Jeso wakudza bule ukifa mdambi ni ujingao. Ubarkiwe na kuimba dada
Waeza niandikie lyrics za hii song@@michaelnzai52
Mungu akubariki kwa kipawa alichokipa
Mungu azidi kukuinua na akutie nguvu am blessed with your songs aky
Amen asante
Best of luck mummy,
Amen thanks
Lugha ghani hii jamani, wimbo mzuri kweli.
Ngiriama
mungu wabiguni Azidi kukutuza daa
Be blessed dadangu
uko juu loice😂😂❤
Wah dada nymbo yk ntamu ntman niishike kuimba
barikiwa sana loice mwenzangu
Mungu bariki huyu mama kwa kipawa ulichombariki nacho
Amen asante
Mungu akubariki dada mm nmgiryama lkn cjui kuimba kigirya nyombo zako zna nitia moyo ubarikiwe cn mtumixhi
Amen keep it up thanks
Amen.. keep going ijn
Emen
Amina barikiwa siz🙏🙏🙏🙏
Nice song. Keep up gal....
Amen
Be blessed mummy
Amen
Kwa yesu kwapendeza kweli bless you mum
Amen thanks
More grace my sister... Hii ni ya baraka ✈️✈️✈️
Amen my video grafa
Amen,Uzima tele
Yes nice song am blessed
Congratulation LOICE
Thanks dear
Amina daa kazi mbidzo haswa
Amina dede
Barikiwa sanaaaa
Mairago mwenehu ganafahiza Sana barikiwa Sana
Amen 🙏
Am a kamba but the song is just woow, barikiwa
Amen
Wow,,,great music
🙏
Waziiiii @ raj
Amen, aim higher, I like this. 💕💕🎶🎶
Amen glory to God 🙏
In the house, all things comes to a chance when comes to worship, keep on top.
Amen 🙏
Mulungu akuhase sana dada
Safiiiii