Eeeish, Bonny ako na akili kumbe, ni wangapi wanachezea pesa ya wanagulf huku nje lakini bònny alikua anafanya venye wanaelewana na lonah. BONNY ni tosha .ni uchawi tu ilikua imemgeuza
Me nimependa bonny Sana kama c uyu mchawi arishika bonny na uchawi bonny n mtu arikua anapenda BB yake na anajua kuweka siri Sana imagine ata wazazi awajui kama bonny ako naixi vitu zote ata mchawi ameshangaa, alafu kuna kitu nimesikia akisema eti Mali n katikati yes kama n shamba ya kina bonny uko nyumbani akuna shida nikatikati kama n Ile nyumba Mzee waesabiane mabati BT hii Mali ya lonah n yake peke yake na mtoi wale ata Mzee ataipata kupitia Ronah hili rimama lijase likuje saodia rioshe hamamu pia litafute Mali yakeata nimeona wakifitana na Baba bonny kuenda nyuma na awakujua mama ronah anatoka nyuma Yao mutariria kwa choo nyinyi ronah abaki na Mali yake
Hata kama anamoenda, shamba ninya Lonah na binny. Ata akipeana ni Pesa ya Lonah imefanya kazi ya kununua ngombe. Huyu mze inlove ya ushawi warudie ushawi waharibu Bonny tena.
Sasa hizo tamaa zitafikisha pabaya kwani Mzee sini akonashamba ampee bibimdogo hio shamba niyamwanake kama unaona arabuni watu wameketi tuu panda ndenge ukatafute
Huyu baba Bonn kwani anataka mali ya Lona na sio ya kijana yake Ako na tamaa sana na mali ya wenyewe dactari usikubari mali ya Lona iede na mutu mwingine plz
Tafadhali daktari unganisha lona n bonny na uwatengeneze wasirogwe
Angel b mpe hongera huyu kijana na tunakuomba umwambie huyu dactari atoe huyu muchawi na amurudishe bonny kwa lonnay❤❤
HapA naona warutiane na bony siku hizi hakuna mwanamume kamili unaeza tuma pesa akuwekee wapi makofi ya bonny manze ni uchawi tu
👏👏👏🙌🏻
Bonnie you are 1 in a million, a man with Brain, good job Bonnie and congratulations 🎉🎉🎉
Uyu alikua mzuri n juu ya wachawi ,lonah akae na mzee wake
Wewe baba bonny Wacha tamaa good job 👏👏 bro
Good job bonny mungu atakutendea jisi mtarundiana na lonah
Mama lona tafadhali wacha lona aishi na bwanake,huyo kijana ako na maendeleo ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ndio
@@SarahWanyonyi-zx7crwalai uyu mama lona atachukua shamba n mtoto n bonny ndio ameshugulika ata kama dow ni ya mtoto wake asifanyè ivo😢
Kabisaaa
True lakini vile namwona si mmama mpaya
Hongera sana Bonny,naomba mungu awalejeshe pamoja❤
😢😢😢😢😢😢aki c warudiane jamani kazi safi sana bonny uyu mchawi c atolewe kwa hii boma sually I hate this girl 👧 🤣
Wow amazing congratulations bonny good job
Baba bonny ako na roho mbayaa😂😂😂 mzee kufa katika jina la yesu kristo
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Lona mahali ako amsamehe boni aki na waendelee kuishi❤
Daktari atengeneze lona na bonny warudiane kijana alifanya kazi poa
Wueeeeee bonny 👏👏👏👏akili ukonayo sana ehhh
@@PriscillaEth but shida uyu Dem yke mchawi
Eeeish, Bonny ako na akili kumbe, ni wangapi wanachezea pesa ya wanagulf huku nje lakini bònny alikua anafanya venye wanaelewana na lonah. BONNY ni tosha .ni uchawi tu ilikua imemgeuza
Let them lona and boni stay together,l think he is a good guy it's only that witch entered in his life
I agree 💯 with you
Well spoken ❤❤
I agree 💯👍🎉
Lonah na Bonny warudiane Bonny NI mume na nusu ni wanaume kidogo Sana hufanya hya maendeleo kma hya, bonny huyu mchawi ndo alikuwa yuamsumbua
Aky Bonny mungu akubariki i wish ningepata mume ka bonny namutumia pesa ananunua ng'ombe kama izi
Kwan uyu mzee anakaa kijwa ngumu bonny ww peana mali ikutoke usamehewe bibi yko akirudi mtapendana
Huyu bwana ako sawa ata kama alikuwa ameo amefanya kazi nzuri lonah endarea na ndoa yako mmako asione mali akualipie
Mchawi aenda😊😊
This guy is the best 🥰🥰
Bony pokes sawadi yako 🎉🎉🎉🎉🎉
Wow I like that I love that really appreciate doctor I like it❤❤
na Mali di ya boni Mali ni ya Bibi mkubwa Sahi Bibi mdogo na babake anataka waunganishe
Hapa tumeanza kuona mioyo ya wivuuuuuuu😂😂😂😂😂
Please take care Hapa kuna kifoooooo kwa ajili ya hii maliiiiii
Lonah samehea bwana yako na maisha yaendelee,huyu mchawi ndie aliharibu bwana yako
Uyu baba simuon poa anaona mali yaenda uyu mzee na uyu mwanamke hawako na huraha😢😢roho mbayaa
Wacha mama Lohan don't say anything about BONNIE, but let them stay together with this boy
Exactly
Dackitali cunga baba bonny nauwomuchawi😢😢😢
Tupitiane please 🙏🏽
Hata akinukua yote c ni ya msichana wake .bonny hakuwa na job na pesa c zake ndo akupe share
Ata kama gaith iyo sio poa walai amemulindia amefanya kitu aliambiwa alafu shamba n ya lona alafu mama yake ajenge lona akirudi atakaa wapi n bwanake
Lonna semehee bwana yako Ako hard working nivile ilitumiwa uchawi na huyu muchawi munawesa eda Pele sana mujikana pamoja muwe family yako na bonn
Mm siamini bonie kwani hizi ng'ombe nani alikuwa anachunga iwapo wazazi na bibi mdogo hawajwi
Congratulations 👏 bony
Waoo, Bonny amenifurahisha sana.. hope mtoto yuko sawa sister ya Angie B
Sio km yule ngombe wa Maureen
@@tabbyjoshepat9835😂😂😂😂analialia kaa mtoto,,iiiiiii wananichapia kwetu😂😂😢
Bonny congratulations 🎉
Huyu mxee na mchawi wanaeza aribia lona maisha akiwa penye ako dtr achunguze hio kitu
Ss mbona huyo mzee anaongea kisirisiri😅😅😅saidia hoye
i love you bonny❤❤😂😂
Good job 👍
Babake bonny haoni vizuri
Huyo mchawi anaboo arudi kwa baba watoto wake
Sasa baba bony ety Ako na uzuni juu shamba inapeanwa😂yawa
Uyu Mzee nae anaumwa na nn yuatafua kutukabwa uyu mzee
Baba bonny tamaa imeingia😢😢😢
Nitutoto twa ngombe😂😂😂 I laugh when I heard that.
It's not about children, this is first wife's investment.
Me nimependa bonny Sana kama c uyu mchawi arishika bonny na uchawi bonny n mtu arikua anapenda BB yake na anajua kuweka siri Sana imagine ata wazazi awajui kama bonny ako naixi vitu zote ata mchawi ameshangaa, alafu kuna kitu nimesikia akisema eti Mali n katikati yes kama n shamba ya kina bonny uko nyumbani akuna shida nikatikati kama n Ile nyumba Mzee waesabiane mabati BT hii Mali ya lonah n yake peke yake na mtoi wale ata Mzee ataipata kupitia Ronah hili rimama lijase likuje saodia rioshe hamamu pia litafute Mali yakeata nimeona wakifitana na Baba bonny kuenda nyuma na awakujua mama ronah anatoka nyuma Yao mutariria kwa choo nyinyi ronah abaki na Mali yake
Wacha ni wait mwenge Ngombe akikuja
Bonny ni ako roho safi uchawi tu ya uyo bibi yake mdogo...lona please usiwaje boni please
Wow Bony good job
Hapa ni lona amsamehe tu ju. Mambo na uchawi😊
Bonny simama na Mali ni lonah😅😅😅hii ni pesa ya gulf lonah n bonny warundiane n huyu mchawi afukuzwe n daktari n hasahau bonny kabisa
Hawa wazazi wa Bonie siwaoni vizuri
Huyo mchawi alitaka kuua huyo kijana avhukue hiyo mali uote
Congratulations bonnie
Muchawi alikua anataka kunyakua maliyawenyewe
Huo ujinga asifanye juu Vitu sizake na watka apewe nni Tena
Hata kama anamoenda, shamba ninya Lonah na binny. Ata akipeana ni Pesa ya Lonah imefanya kazi ya kununua ngombe. Huyu mze inlove ya ushawi warudie ushawi waharibu Bonny tena.
haws awangekua hapa wanaribu
Kipindi mzuri,uigizani mzuri kabisa
Guys tupitianeni please 😢😢😢❤❤
Baba bony ana tams
Sasa hizo tamaa zitafikisha pabaya kwani
Mzee sini akonashamba ampee bibimdogo hio shamba niyamwanake kama unaona arabuni watu wameketi tuu panda ndenge ukatafute
Swali langu ni,,nani huchunga hizi ng'onbe,anwei wacha tungoje
Mm lona acahuyu kijana arundian narona
Baba bony haeleweki
❤❤❤❤❤❤ Good 👍
Hakuna mwanaume nmeeshimu kama bonny ju amefanya kitu y maana xna, eli warudiane na lonah, daktari fanya kazi apo hao watu wake pamoja walee mtoi
Congratulations
Baba bonny and bonny second they're up something
huyu shosho wa bonny hanatka kulia😅😅
Huku ni wapi kuzuri kiasi hiki nikanunue shamba?
Tekitari fanyia hile kitu baba ya bonny na na huyo kajinga ya mchawi
Bonnie mwanaume tosha
Nowender from the start bonny alikuwa na rungu kwa shigo hadi nikajiuliza kwani rungu ni ya kazi gani? Kumbe ni mchungaji
Hii ni mwanaume Lona asimuache nikulogwa alilogwa
Share ya kutoka wapi
Good job hata kama ameoa but hajakula doo zote
Ss huko mutu anaeza Jenga akapata rent kweli, ama mutapanda mimea
Bonny warudine na Ronah mchawi awende
muke mdogo ulikua unalima hapo
Mbona. Babawaboni. Anazungumuza. Nabibi. Mudogo.
They have something fiche
Umeona😂😂😂
kwani huyu babake bonny hakili ayeke ni poa kweli
Kumbe bonny alifanya kazi Safi kama hii ni Ukweli
Kweli baba bony anatamaa xana
😂😂😂
The first message said the woman run away from her husband to come eat longs money so she can go back to her house
Lonah amsamehe tu Bonny ju kwa,kweli amefanya kazi poa,,ni huyo mchawi tu ndio alimchanganya akili.
Hawa watu ni kabila gan
Huyu baba Bonn kwani anataka mali ya Lona na sio ya kijana yake Ako na tamaa sana na mali ya wenyewe dactari usikubari mali ya Lona iede na mutu mwingine plz
❤❤❤❤❤
Naomba unisaidie number ya dakitari
Thy guy was investing properly
🙏🙏🙏🙏😍😍😍😍
Nasilala wapi
Kama Bony hanaongea hukweli juu ya shamba na hizo ngombe wacha warudia na Lonah
Kama nh kweri ni zake ata lona akuje sasa wakae na bwanake mama lona asipewe
Baba bony akae na mchawi wake lonah akae na bony
Fact huyu mwanaume ako na akili ni uchawi ndio ilimufanya hivyo