Huyu hapa Mapishi rahisi & mziwanda bakers wako vizuri sana wanaongoza kwa mapishi na kwa maelekezo mazuri zaidi hawa ndo nimewachagua wapishi wazuri mno Mungu awabariki nawapenda.
Aroma Of Zanzibar & Beyond pale chief anapotoa comment kweny kaz yako, uwiii...feel gratefull💕💕💕 Hongera Mom Aroma of zanzibar kwa moyo wako wa kipekee, Mapish rahc hongera pia you did it well Maa shaa allah
MaashaAllah, upo vizuri Sana my dear, yaani hata mwenye kichwa kigumu kama mimi ni rahisi kuelewa, Allah akulipe kheir nyingi na akujaalia mafanikio hapa duniani na kesho Akhera, InshaAlah, Aamiin.
Ahhh 2 good!! Ty my dear friend Mapishi Rahisi for ur kind explaination A 2 Z of the Beef Birriani recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
🤗Mashaallah dada ila, kumbuka kuwa pia, kuku kama vile umesema ni nyama, basi hiyo yako nyama pia imetoka kwa mnyama ambaye hukumtaja. Plz tutofautishie, nyama ya mbuzi, ng'ombe, kondoo au ya ngamia? Shukran dear🙏🏼
Maashallah yaani nimependa sana upishi wako maana nyama na vitunguu vote ni kilo moja moja ...watu wengine wanatupoteza sana...
Masha Allah shukran mamy biriani nzuri inavutia jee ukifanya ya kuku viungo ni hivo hivo ulivotumia kwenye nyama
Huyu hapa Mapishi rahisi & mziwanda bakers wako vizuri sana wanaongoza kwa mapishi na kwa maelekezo mazuri zaidi hawa ndo nimewachagua wapishi wazuri mno Mungu awabariki nawapenda.
Yaani hapa mtu asipoelewa ni kwa kupenda kwake.....MashaAllah....uko poa🎉
Mashallah biriani mzuri
Kwa mapishi rahisi na kwa Aroma of Zanzibar tunapata mafunzo kamili ❤
Thanks dear❤❤❤
Aroma Of Zanzibar & Beyond pale chief anapotoa comment kweny kaz yako, uwiii...feel gratefull💕💕💕
Hongera Mom Aroma of zanzibar kwa moyo wako wa kipekee, Mapish rahc hongera pia you did it well Maa shaa allah
Wow, this must be the best Biriyani recipe. Thanks for sharing 👍
Thanks😊❤❤❤
Biryani nzuri sana Masha'Allah 😋👌
Perfect l like the way you explain everything...ata kama mtu ni mgumu wa kuelewa hakika ataelewa ❤
Mashaa Allah ni rahisi na ni nzuri hongera habbitty
Napenda sana utaratibu wako mashaallah waloloo am adnan pia nafwata upishi wako asante jazzaka lah khayrin
Mashallah naomb kuuliza .mtindi wa kuvimbik unfaa ama lzima nipte wa special
Mashallah mashallah my dada mungu akuzidishie mapish iyo biriyani imenda shule kwa mtazamo tu
asant madam uk vizur san mashallah mung akubarik
Masha Allah nkupnda xna dada mungu akupe maisha marefu
Ma shaa Allah simple.and easy to follow..Allahu baarik!
Habibty kwako nimejufunza kupika maandazi chapati pudding na biriani Allah akulipe Kheri ❤️
Nimeipenda, simple and looks mwah
MaashaAllah, upo vizuri Sana my dear, yaani hata mwenye kichwa kigumu kama mimi ni rahisi kuelewa, Allah akulipe kheir nyingi na akujaalia mafanikio hapa duniani na kesho Akhera, InshaAlah, Aamiin.
Amiin inshaallah
Qq99'
😂😂😂😂😂 etikichwa kigumu
Kwani lazima kuweka maziwa dada usipo weka je
Naomba kuuliza ata rangi ya kachori inafaaa kupikia birian
Wow dad mungu akup ufaham zaidi utufundishe usk mwem
Mashallah I will do it on eid inshalah
Tried ur recipe n my birian turned out masha Allah😋
Ahhh 2 good!! Ty my dear friend Mapishi Rahisi for ur kind explaination A 2 Z of the Beef Birriani recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
Ahsante sana cjawahi pika bilian ila leo napika Dada
Mashallah ❤tamuu Sana
Mapishi Rahisi na Safi Sana.. nice n precise videos as usual..👍
😊❤❤
A.A Michele upi bira ambayo havunjiki.Asante
Waalaykum salaaam warahmatullah wabarakatuh vizuri dear sis
Nashukuru asante unafungisha vizuri sana
Hizo gloves nazipata wapi? Love your recipes
Marhabaaa, udenda wanidondoka kwa uhondo mtupu
🤗Mashaallah dada ila, kumbuka kuwa pia, kuku kama vile umesema ni nyama, basi hiyo yako nyama pia imetoka kwa mnyama ambaye hukumtaja. Plz tutofautishie, nyama ya mbuzi, ng'ombe, kondoo au ya ngamia? Shukran dear🙏🏼
The best of the best,,,,i love your recipes
Hongera dada,naweza nikatumia maziwaa ya pakti ,mfano Kama maziwaa ya Tanga fresh
Nmepata ujasiri..Weekend hii nautengeza Biri.
MashaAllah dadangu nikupate vipi
Mashaalaah nimejarib nmepika nzur
Mashallah unajua kufahamisha 😊
Assalamu alykum sister u biriyani nice mashalah
Asante nimeelewa SoMo inshallah
Mashallah anaelezea vizuri
Dada mungu akujalie nimeelewa
Mashallah ❤️ I will try to make it 🎉 thank you 🌹
Toka nianze kujifunza yaani ww ndio umeweka kunielewesha hongera
Masha Allah
Napenda your recipes
Masha'allah mungu akujaze khery kipenzi changu😘😘😘
Wow very nice and well explained
Ameen shukran❤
Mashaallah jiko lako safi sana
Vipi kuhusu ss ambao hatutumii maziwa
Rahisi na nzuri kabisa ❤️
Wow always wanted to make this. Thank you 😊 I will make a run for it and give it a try
Did you try? Hope you loved it💕
Mashaallah dada ongera sana
Salam alekum mashaallah mapishi mazuri sana
Nitajaribu dada
Nimewez Ahsante dear
Mashaalaah unaeleza vzr sna
Lovely Kama kawa♥️♥️ Tena nimefurahi zaidi ulivyovua gloves.
Yummy😋😋😋 linavutia kweli👌🏾👌🏾👌🏾
Asante dear❤❤
Simple and clear I like it
Manshallaah 🌷 bilian tamu
Sàlam alekum mashaallah
Nimependa ulivo pika mashallah
Biriyani masala inatumika mda gan
Naweza kutumia nazi instead of yoghurt?
simple and clear mashallah
Nimependa mapishi yako dear,samahani maziwa mala niyepi hayo
marvelous I like that, salty and tasty masha Allah
💖💖
dada naomba unifundishe viungo vya biriani na majina ake
Jazzak Allah kheli
Kumbe rahisi tu nitawapikia wanangu Xmas
Upishi mzuri sana. Je nikitaka kupika vikombe viwili tu vya mchele ratio ya viungo vitakua kiasi gani?
Dada unaweza tuhonyesha iyo rangi ulio weka kwenye wali inahitwaje
Ma shall a ah habibty
It's easy and it's delicious
Mashaallah Mashaallah
Hongera sanaa
Mashallah hongera sana
Mashallah n nzur
Tried your pilau it came out very delicious i will try biryan too in sha Allah
Very nice
I love the recipe ❤❤ mashallah Tabarakalah
Masha Allha shukran my dear
You make my cooking life simple,asante
Kila nkipika pilau kwa recipe yako watu wanaifurahia
I'm glad thank you so much💖
Asante nimeelewa
Ma shall ah😋
Mm amina achu
Dada samahani lakini kwani lazima uweke maziwa kwani usipo weka je
Mtindi una ladha kwenye iyo sisi pia uzito wa sosi
Mashallah nimeipenda
Wow!!I like it
Maashaallah
Dada unaelewexha mpaka mtu anakuelewa et
Naona ni vizuri ukimix utumie mkono mmoja .nyama ni kidogo hio kutumia mikono miwili ukhty.
Kwani ukitoa pongezi kwa mpishi utapata hasara? Jameni huo ndio unaitwa wivu
Ww noma limetoka tamu
So delicious 😋
Salam alekum mashallaah
rangi hapo unatia rangi yyt. auipo rangi special ya biryan
Waow Waow I love it ....😘😘😘
Nice❤🎉
Mashaallaah ❤️❤️❤️
Ma sha Allah always on top ....
Thanks❣
Nice napenda birian pilau
Thanks