MR MONEY_EP15

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 723

  • @elizabethcatherine-jm8fr
    @elizabethcatherine-jm8fr 3 วันที่ผ่านมา +62

    😂😂😂😂walio cheka mwanzo mwisho gonga like hapa kwa kaz nzur 🎉🎉🎉❤ from kenya

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 3 วันที่ผ่านมา +53

    jmn mm ni mgeni na Toka nifatilie hii movie sijapata hata like Moja 😢😢😢na km unapnd hii movie tusaport mweztu 😢🎉🎉

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 วันที่ผ่านมา +134

    Utakayesoma hii coment mungu akubaliki wew na uzao wako na maisha marefu❤🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤝🙏🤲🙏

    • @AdhisJulia
      @AdhisJulia 3 วันที่ผ่านมา +1

      Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

    • @NkurunzizaFidele-r1f
      @NkurunzizaFidele-r1f 3 วันที่ผ่านมา +1

      Amina

    • @saumodzumbo9671
      @saumodzumbo9671 3 วันที่ผ่านมา +1

      Allahuma Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen Ameeeeeeeen yaraabiiilaalamini 🙏🙏🙏

    • @happyDarmaIgiraneza
      @happyDarmaIgiraneza 3 วันที่ผ่านมา +1

      Amena Pia asant Na wewe pia

    • @SnhZjhz
      @SnhZjhz 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ameeeeen

  • @FAIZAWESAAMANI
    @FAIZAWESAAMANI 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Yaani nimependa sana hii movie 😂😂😂so creative 🎉pokeeni maua yenu🥀🌹🌺🌸🌻🌼💠💐🏵️🌷⚜️

  • @hassanzuberi9091
    @hassanzuberi9091 3 วันที่ผ่านมา +20

    Tuzo za mwaka ni za mzee likoma walah 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

    • @shebaarita4102
      @shebaarita4102 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      I myself love likoma na hizo vituko zake🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MillicentMoraashMongeri-s8p
    @MillicentMoraashMongeri-s8p 3 วันที่ผ่านมา +37

    Noma san kp n zebuu like zao Kwa mpigo n norah❤❤❤❤❤❤

  • @lucyatieno1249
    @lucyatieno1249 3 วันที่ผ่านมา +12

    Ushuzi for me😅😅😅😅😅😅mtaacha comedy nyie mwanichekesha saana,,,,na mkishaniua sasa mje Kenya mnizike 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @MlongoChai
    @MlongoChai 3 วันที่ผ่านมา +11

    Nimecheka mie leo had waiguru akaja kuniuliza na cheka nn jaman nawapenda nyote❤❤❤❤

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh 3 วันที่ผ่านมา +17

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yani likoma wajua kunichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka mume wangu kanuna sababu yako

  • @VerahNyanchama-n6h
    @VerahNyanchama-n6h 3 วันที่ผ่านมา +19

    Wow Leo nikajatibu nipewe like jamani from kenya

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 วันที่ผ่านมา

      Ufanye nayo nini like😂

    • @VerahNyanchama-n6h
      @VerahNyanchama-n6h 3 วันที่ผ่านมา

      @@RachelMdao 😂😂 nifeel poa🙈

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 3 วันที่ผ่านมา +8

    Walah mtatuua na kicheko jmn asant kp Mwenyez Mungu awajalie umri mrefu wot na atakaesoma comment hi🙏

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 วันที่ผ่านมา +13

    Ila kwakwl hii movie, aiseeh Mungu awe nanyi muendelee kutufurahsha wapendwa

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 วันที่ผ่านมา +2

      Unacheka😂 hadi watu wanazania unakichaaa ka😅

    • @JullianaEmmanuel-tm5xg
      @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 วันที่ผ่านมา +1

      @@RachelMdao yaaan mmh

  • @RaphaelDeuc-uk1jg
    @RaphaelDeuc-uk1jg 3 วันที่ผ่านมา +286

    Wangap wanakubali movie za Kp bila mzee likoma hazinog kama unakubali kama mm weka like hapo😂😂😂😂.

    • @dangomc_niger
      @dangomc_niger 3 วันที่ผ่านมา +6

      kwenda uko yaani nyie ndoo mnafanya watengeneze mabif yakijinga wee km unamkubali liko msifie kivyake

    • @ndayiragijejeanclaude-rh1zl
      @ndayiragijejeanclaude-rh1zl 3 วันที่ผ่านมา +4

      Ukwel mtupu.ila hata zikinoga unakuta kuna kakito namekosekana😂😂😂

    • @TressTumain
      @TressTumain 3 วันที่ผ่านมา +2

      hahahaha jamn hakuna move inay nochekeahaga kama hii jaman duuh nihatar so pw😂😂😂😂😂

    • @MathayoEliyas
      @MathayoEliyas 3 วันที่ผ่านมา +1

      Muv za kp bila wa2 wawili hainog liko na shetani she

    • @glorymbuya393
      @glorymbuya393 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j 3 วันที่ผ่านมา +6

    😂😂😂😂😂Ila .kp na zebuu.mmenishinda tabia 🙌🙌🙌chukueni maua yenu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @OmmyFamily
    @OmmyFamily 3 วันที่ผ่านมา +13

    Hatimae jmn yn nilikuwa nachungulia Kila wakat kumbe mshapost hongera mzee likoma bila kusahau mauwa yko 🌹❤️♥️🌺💐🥰💕

  • @JjwjjAljweej-s3y
    @JjwjjAljweej-s3y 3 วันที่ผ่านมา +9

    We zebuu umeyaeka nn hyoaji nyinyi watoto mtamuwa baba yenu kwa kweli hii n noma😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @metrinemanyonge6055
    @metrinemanyonge6055 3 วันที่ผ่านมา +9

    😂😂😂😂😂 Hi movie nzuri sana nimecheka kweli

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 3 วันที่ผ่านมา +9

    Shei shei naomba jina la hiyo sipry,,,maana nahisi itakuwa nzuri sana

    • @Ellybeny
      @Ellybeny วันที่ผ่านมา

      Lavida body mist (ndogo)

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 3 วันที่ผ่านมา +10

    Duuuu uku mbona mnatupa dakka ndogo alafu plan b ni lisaa kabsa 🎉🎉 KP Fanya jambo aisee🎉🎉

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 วันที่ผ่านมา

      Waongeze kwakweli

  • @elizabethamunga9081
    @elizabethamunga9081 3 วันที่ผ่านมา +6

    Yani Leo nimecheka yangu yote kwa kile mlicho fanya. Congratulations guys job well done .Alafu kp na zebu muache kukimbiza mtoto akiomba bia maana kafwata tabia zenu

  • @princessvai6
    @princessvai6 3 วันที่ผ่านมา +11

    Kama wewe mwanayanga na upo Oman piga keleleeeee🎉💃💃💃💃💃💚💛🖤

    • @faudhiahassan7907
      @faudhiahassan7907 3 วันที่ผ่านมา

      💚💚💚💚💚💛💛💛

    • @AsiaMawela
      @AsiaMawela วันที่ผ่านมา

      😅😅😅

  • @VeronicahNyika
    @VeronicahNyika 3 วันที่ผ่านมา +8

    congratulations tupo pamoja hata kwa kusongesha bando tu

  • @ErickJonhfredy
    @ErickJonhfredy 3 วันที่ผ่านมา +4

    Asante Sana likoma og kutuletea kazi nzuri

  • @lindauma982
    @lindauma982 3 วันที่ผ่านมา +8

    Jmn nyie mtu anaeza dhani mtu amejamba huko kwenyu daaah bac Nora amebana pua 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @irinemmasy8387
    @irinemmasy8387 3 วันที่ผ่านมา +8

    Leo nimecheka mpaka machozi dah😂😂 mungu awalinde tim nzima nawapenda 🎉🎉

    • @AbelKakus
      @AbelKakus 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unawifusa na😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅

    • @irinemmasy8387
      @irinemmasy8387 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AbelKakus mmh 🙄

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 3 วันที่ผ่านมา +5

    Nakubali sana mzee likoma😂😊😂😊🎉😊🎉😊😊😢😊😢😊😊😢😊😊😊😂😊😊😂😊😂😊😊😂😊😂😊😂😊

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 วันที่ผ่านมา +1

    Daah kp & zebu kama aki na ukwa mko vzr akili moja nia moja safi utadhani watt kweli mko vzr san

  • @monicahmaradi-ze7ug
    @monicahmaradi-ze7ug 3 วันที่ผ่านมา +6

    Yani watu wamecheck movie nzur bdala waseme chochte chakupongeza ili mtu Avandia comments tu kuomba like duuh hakuna watu wanaonkera kma wenye kukimbilia kuomba likes,ila group kp &Zebuu nawapenda sana kazi zenu ni nzuri na zenye mafunzo mauwa yenu❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Irine-n4c
    @Irine-n4c 3 วันที่ผ่านมา +4

    Nice job guys nawakubali Sana 🎉🎉🎉

  • @robertokibingo
    @robertokibingo 3 วันที่ผ่านมา +6

    Kkkkkk mchuzi pro max mzee likoma já ganhou

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 3 วันที่ผ่านมา +15

    Mm mwana yanga nin furah🎉🎉🎉🎉

    • @MaryTesha-le2ql
      @MaryTesha-le2ql 3 วันที่ผ่านมา

      Hunishindi mimi🤣🤣💚💚💛💛 oyaaa

    • @salmasalam3268
      @salmasalam3268 3 วันที่ผ่านมา

      😅😅🎉🎉🎉🎉​@@MaryTesha-le2ql

    • @DonardChips
      @DonardChips วันที่ผ่านมา +1

      Yanga inakujaje tena kwenye movie acheni bc upuuzi

    • @salmasalam3268
      @salmasalam3268 วันที่ผ่านมา

      @@DonardChips Ebu Toka Apa na hasira zako dear ww u serious peleka kwenye vikao vya family

  • @RuthAmimo-v5f
    @RuthAmimo-v5f 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sawa Mr likoma 🎉

  • @atifosalimo
    @atifosalimo 3 วันที่ผ่านมา +30

    Number 1 nipo apa naomba ata like 10

    • @marleymukangwa8955
      @marleymukangwa8955 3 วันที่ผ่านมา

      Nyie mnakera sana, like za nini sasa! Kila mtu anaomba like, kwanini tusicoment bila kuomba like??? Yaani mnakera kishenzi.

  • @AimeRichardManirancaniye-wv2ez
    @AimeRichardManirancaniye-wv2ez 3 วันที่ผ่านมา +5

    Mbavu zangu mie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @DIanah-q1k
    @DIanah-q1k 3 วันที่ผ่านมา +10

    😅😅watu hawalali❤❤❤❤

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 วันที่ผ่านมา +1

      We utalalaje akati mzee likoma anafurahisha ka😅

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 3 วันที่ผ่านมา +3

    Awa watot washenz nawapend kw kweli ❤❤❤❤ natamni niwe karbu na nyie hakiamung

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 3 วันที่ผ่านมา +8

    Duuu dakika 6 sijacelewa 🇴🇲🇴🇲🇧🇮

  • @Aneth-e1x
    @Aneth-e1x 3 วันที่ผ่านมา +5

    Daah yan leo mmenifurahisha kwely mpak nmecheka kwa saut Hongeren sana kwa Kaz nzur

  • @SophiaPaulo-w4i
    @SophiaPaulo-w4i 3 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera sana kp na zeb nawakubar sana mungu awabarik

  • @Dadaamwazewe
    @Dadaamwazewe 3 วันที่ผ่านมา +5

    Oooooyo leo nimewakilifa team Gulf 😂😂❤❤❤ more love team likoma

  • @charlesomari5244
    @charlesomari5244 3 วันที่ผ่านมา +5

    From Kenya ,nashukuru

  • @ruth-lb4qf
    @ruth-lb4qf 3 วันที่ผ่านมา +3

    Waaa kp na zebu nyie mko na mambo ua yenyu 🎉🎉🎉 kipindi kameflow vizuri nawapongeza sana kp na team yako kwa ujumla

  • @barakatv2575
    @barakatv2575 3 วันที่ผ่านมา +68

    Mimi ni Baraka TV+257 kutoka bujumbura.naomba likes zangu jameniiii🌹🌹❤️❤️❤️

    • @ZiadaNiyinkuru
      @ZiadaNiyinkuru 3 วันที่ผ่านมา

      Waketu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮👌

    • @SalhaMatuwa-m1u
      @SalhaMatuwa-m1u 3 วันที่ผ่านมา

      Very good 😊😊😊😊

    • @Mary-q5d5c
      @Mary-q5d5c 3 วันที่ผ่านมา

      Chukua

    • @joankwamboka5566
      @joankwamboka5566 3 วันที่ผ่านมา

      Ulipea nani

  • @Thumamtotonteater-bm3ho
    @Thumamtotonteater-bm3ho 3 วันที่ผ่านมา +7

    Jaman uongo zambi nacheka mpk najisahau😂😂😂😂😂

  • @azizaumutoni7773
    @azizaumutoni7773 3 วันที่ผ่านมา +3

    Muongeze dakika jamani kwasababu mnakawia sana

  • @blessingscreator318
    @blessingscreator318 3 วันที่ผ่านมา +5

    Wow nimewahi Leo love you all guys

  • @InnocentchutyPommes
    @InnocentchutyPommes 3 วันที่ผ่านมา +3

    Haaaaaaani hakuna épisode kama hiii iii imenifurahisha sana courage sana timi zeb n'a kp

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa heshima na taadhima shey shey kusanya kilicho chako usepe😂😂😂

  • @JudithNekesa-j2r
    @JudithNekesa-j2r 3 วันที่ผ่านมา +4

    Walking style ya mzee likoma inaweza mbaya

  • @Mummywamulumewe
    @Mummywamulumewe 3 วันที่ผ่านมา +4

    Wooow 😯🎉🎉🎉🎉 jmni mm wa mwisho 🎉🎉🎉😂😂😂😂

  • @aishermlongo
    @aishermlongo 3 วันที่ผ่านมา +2

    hello ❤❤❤🎉🎉 from Kenya nimewakilisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo 3 วันที่ผ่านมา +3

    🤣🤣🤣kp na zebu mutaniua na mbavu jamani 😂😂😂😂hongereni kwa comedy😂😂🎉🎉🎉❤❤

  • @AnnHawaa
    @AnnHawaa 3 วันที่ผ่านมา +5

    Umbaya ubwela😂😂😂😂kp na zbu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Malin2001
    @Malin2001 3 วันที่ผ่านมา +4

    Zebuu na kp mutaniuwa mjue😂😂😂😂😂😂

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nimecheka mpaka naumwa na mbavu zebuu na kp kazi mnayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @HatungimanaFabrice-e1k
    @HatungimanaFabrice-e1k 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hii itakuj kwaa bora sanaa kep nazebuuu nawaprnda sanaaaaa❤❤❤❤❤❤ nawafatiria sanaaa

  • @BintiMweluhanga
    @BintiMweluhanga 3 วันที่ผ่านมา +3

    😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaah ila KP na zebuu mnanikosh sana❤❤❤❤🎉🎉

  • @ميريالشمري-ح9ب
    @ميريالشمري-ح9ب 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mkojuu kwakweli kwakucekesha nimeceka yanguyote😂😂😂😂

  • @TeamBabajoan
    @TeamBabajoan 3 วันที่ผ่านมา +5

    This round Kp i salute you 👍

  • @ZaidiaKhassim-x4x
    @ZaidiaKhassim-x4x 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hiiii ya leoni hatar san maua🎉🎉🎉 yako mtunzi

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 วันที่ผ่านมา +2

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @linetokari
    @linetokari 3 วันที่ผ่านมา +1

    Aki leo mmeniweza kuliko siku zote team mr. Kila mtu anaweza part yake🎉🎉🎉🎉🎉 from Kenya

  • @Judithkadzo
    @Judithkadzo 3 วันที่ผ่านมา +4

    🎉🎉🎉🎉aki zebuu na kp chukuweni mauwa yenu❤❤❤

  • @AminaMjema-t9y
    @AminaMjema-t9y 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ha ha ha Nimecheka Sana kp na zebu ndo nikakumbuka mtoto enu aliposema p for p didi

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi poa please kp and zebuuu ❤❤❤❤pokea.Alaf enda plan B

  • @FrankinaAntonioAntonio
    @FrankinaAntonioAntonio 3 วันที่ผ่านมา +8

    Léo nimekuwa wa Kwanza naombeni likes zangu from Mozambique 🎉🎉🎉

  • @SelemanMnembuke
    @SelemanMnembuke 3 วันที่ผ่านมา +2

    Haaaa jamani hiii mumezidi kutoa fupi sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sharifanassorochete4112
    @sharifanassorochete4112 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nimecheka sana Leo mzee likoma kawekewa upupu😂😂😂😂😂

  • @josephineatieno7516
    @josephineatieno7516 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana bwana mdogo kp na madam director zebuu❤much love from kenya

  • @JanethEmmanuel-mr5le
    @JanethEmmanuel-mr5le 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hahahahahaha jamani mbavu me cna kwakwel so kufuraha hii jamani duh🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @halimajay606
    @halimajay606 3 วันที่ผ่านมา +1

    Zube na kp akili zao moja + baba hatr 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉😊 nàwapenda bure

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ata kama nikuwashwa likoma 😂😂😂 ndio ugaregare sakafuni ivo😊...polee ila mnakosha aisee🎉🎉🎉

  • @JosephDiwani
    @JosephDiwani 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nafatilia nkiwa Kenya, ila KP kipaji unacho bro duh hii ni Kali Yaan ya mwaka, ikiisha iungsnisheni iwe bonge Moja la movie

  • @Mathieueee
    @Mathieueee 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ivi Vitoto vinajuwa kuchez move kabisa😅😅😅😅

  • @hassanzuberi9091
    @hassanzuberi9091 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee likoma 😂😂😂😂😂😂😂 na wanaweeeee😅😅😅,chukua maua yako bana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr 3 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri sana kp n zbb

  • @Zeinabmea
    @Zeinabmea 3 วันที่ผ่านมา +7

    Mzee likoma utakuja niuwa siku moja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 3 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂anafanya siku moja tuje tufukuzww na mwenye nyumba j ya kucheka sana😂

  • @jellymagoha
    @jellymagoha 3 วันที่ผ่านมา +2

    Shey shey picha ndo kwanza linaanza mtoto kauta mtoto kautaka😂😂

  • @RechoBecky
    @RechoBecky 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nawakubali sana yaani mpo poa

  • @AnnaLabson
    @AnnaLabson 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi nzuri sana brother ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @victormaranga1
    @victormaranga1 3 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂😂 apo kwa kuwashwa noma 😂

  • @neemachilwa3134
    @neemachilwa3134 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nawapenda team kp❤❤❤❤

  • @webnet5652
    @webnet5652 วันที่ผ่านมา +1

    Zebuu na keep mnafuraisha san❤❤❤

  • @johnkizengamadika-k2k
    @johnkizengamadika-k2k 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee likoma mungu awalinde kabisa , nakusoma vizuri sana kutoka Congo RDC

  • @adarieldamumoja
    @adarieldamumoja 3 วันที่ผ่านมา +3

    😂 hii clips nime enjoy sana 🎉

  • @Abdo-o8j
    @Abdo-o8j 3 วันที่ผ่านมา +5

    Nimekua wakwanza mnafanya kazi nzuri Sana mungu awafikishe mbali one love

  • @samwemajuhacium9614
    @samwemajuhacium9614 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee likoma babalao❤ maajabu! From Binti nyoka ndo najua kumbe bongo wapo wababe congratulations all guys ❤😅😂

  • @OmarAli-vj9kg
    @OmarAli-vj9kg 3 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu akubariki wewe

  • @athmansadiki6341
    @athmansadiki6341 3 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana hii movie ni Bomba sana zd na kp mumetisha sana. Mama mwenye nyumba kachomoka ndoa imemshinda chezea wewe❤❤❤

  • @SoniaJoseph-f5m
    @SoniaJoseph-f5m 3 วันที่ผ่านมา +14

    Mr money 💴

  • @ramaally6796
    @ramaally6796 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kolo kafungwa halafu kp na zebuu ft likoma wameachia kitu Cha Moto..
    Nimecheka Sana.
    Kibwengo..
    Mapopoma..

  • @LillianKaijunga-cp1jv
    @LillianKaijunga-cp1jv 3 วันที่ผ่านมา +4

    Weee mzeee likoma 🎉🎉😅😅😅

  • @JjwjjAljweej-s3y
    @JjwjjAljweej-s3y 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni sana kwa kazi zenu nzuri❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 n kadzo kutoka kenya

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 3 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani musicheleweshe ichi kitu nikizur sana yani nacheka hadi mikojo yanitoka

  • @AbdullrahmaniMohammed
    @AbdullrahmaniMohammed 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nawakubal san ❤❤❤❤

  • @LilyBeauty-d1t
    @LilyBeauty-d1t 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hii EP nimeipenda

  • @jazminewatanzi1854
    @jazminewatanzi1854 3 วันที่ผ่านมา +3

    Sheila unataka usitaki utaondoka 🤣🤣🤣team zebu and Kp mpo

  • @Francine99Francine
    @Francine99Francine 3 วันที่ผ่านมา

    Nawapenda sana yaani munanifurahisha kepi na zébu Nora na rikoma na shey Shey ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Nawapenda sana

  • @zuberpaulo90
    @zuberpaulo90 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mfuzi wa dragon

  • @Goddy-o7l
    @Goddy-o7l 2 วันที่ผ่านมา

    nawapongeza kwa kazi kali kutoka hapa kenya maeneo ya kitala❤❤