Allah atusamehe kwa mambo ambayo bila kuzingatia au bila kujua inakua ni mazoea katika mazingira yetu...japo kuwa wengi hatujui ,tujitahidi kusoma na kufuatilia vipindi vinavyotupawelekeo na mafunzo ya Dini yetu..❤❤❤❤❤
Japo kuwa tusiwe wagumu sana kwa jamii yetu ,hadi imwelekeze kudanganya tuwe ni wenye kusaidia ili ukweli upendwe na tuufanyie kazi ,kabisaa yafaa tuwe makini sana...
Mazungumzo mazuri ,kazi njema Mahdi TV🥰🥰
I plead the 5th😅
Watu wa Wallahi left right centre..tumefikiwa finally🤣
MashaAllah..I was really looking forward to this ❤. Its very insightful 💡
Allah atujalie kuwa ni wenye kuzingati mafunzo ya Dini yetu...haswa kwa matendo..❤❤❤.
Mtu anaapa hata akienda kujisaidia..aka! mazoea yana tabu kweli😅😅
Allah atusamehe kwa mambo ambayo bila kuzingatia au bila kujua inakua ni mazoea katika mazingira yetu...japo kuwa wengi hatujui ,tujitahidi kusoma na kufuatilia vipindi vinavyotupawelekeo na mafunzo ya Dini yetu..❤❤❤❤❤
Shukran Shekh kwa nukta nzuri ulizozigusia na kuzifafanua .....Jazakumullah khair .
Tupambane na nafsi ,kabisaa Shekh wetu Shukran sana kwa maelezo yanayotupa mwelekeo mzuri....
Japo kuwa tusiwe wagumu sana kwa jamii yetu ,hadi imwelekeze kudanganya tuwe ni wenye kusaidia ili ukweli upendwe na tuufanyie kazi ,kabisaa yafaa tuwe makini sana...
Kweli April fool ,Subhanallah inaipa nguvu uongo na kuzoeleka na kuona kama jambo la kawaida..❤
Uongo unabadilika unakua ni DHULMA...