MKE KIPOFU 03

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 130

  • @NasraKingazi
    @NasraKingazi 3 หลายเดือนก่อน

    Zuuuu kosa lake nikumuamin kend bila kukaa natahadhali pind alivyoona tiali ashajiwekea uadui kat yake na kend angekua nimtu wakuukaa kwatahadhali ata ingebid akaenda kupangiwa mbali wakaish mabli ikiwezekana pia yule dada wa zuuuh ninamlaumu kitu kimoja yy anaangaria ubishoo namuonekano haazingatiii alichoagizwa namtu mzima sio vzr jaman Asante kwa Kaz nnzr

  • @fatmamcha6350
    @fatmamcha6350 ปีที่แล้ว +1

    Move zur jamani maashaallah ❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @عايشهعلي-و5ع
    @عايشهعلي-و5ع 11 หลายเดือนก่อน

    Ongena mungu hatakusaidia shaa allah kwa lila hatuwa 🎉🎉🎉

  • @kenyafilm9670
    @kenyafilm9670 2 ปีที่แล้ว +13

    Wa pili jamani naombeni like zangu na Mimi

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว +1

      Hongera na ww

  • @kharidikibakulikibakuli9223
    @kharidikibakulikibakuli9223 2 ปีที่แล้ว +4

    Mmejitaidi Sana Mzee kutuletea muendelezo mzr Sana big up my brother

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Thanks sana my Brother

  • @hlimaa5182
    @hlimaa5182 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ogena waniliza kiukweli ila ukweli utaenda kubaunika nikupe pongezi sehemu yako waitendea haki.

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana ❤️

  • @kevenkeven7381
    @kevenkeven7381 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂yanihubaba kanifuraisha jisi anavyo tizama mwanae😂😂🇧🇮🇧🇮

  • @nakshymrembo2874
    @nakshymrembo2874 ปีที่แล้ว +2

    Ningekuwa mimi kitambo nimalize hii part ya upofu nitakuwa nikekonda manake mimi huwa nazibeba hisia kweli kweli sio maigizo tu ila jamani hongereni.... Tunawasuport Sana sisi wakenya 🤗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      Asante sana tunawapenda Mnooooo Wakenya ❤️❤️❤️❤️

  • @mwanabayadola5476
    @mwanabayadola5476 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukran BuSti TV vipindi vyenu vitamu natokea kenya 🇰🇪🥰🥰🥰

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana kutoka Kenya, Tunathamini Mchango wako. Usiache kutazama movie zetu nyingine

  • @barkyabdallah170
    @barkyabdallah170 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ogena mungu yupo

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

  • @amoitveronica7573
    @amoitveronica7573 ปีที่แล้ว +2

    The father is killing me 😂😂 but when Jesus says yes

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      no one to say no

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 ปีที่แล้ว +1

    Duh shangaz kumbe mbya sana

  • @SakinaAlly-ek6gw
    @SakinaAlly-ek6gw 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama nilikuwa nampend kwenye muv flan Hiv alikua hapendw na mwanae kumbe hafai hv hata Kwa kulumagia

  • @يعدالسبيعي
    @يعدالسبيعي 2 ปีที่แล้ว +2

    Katika movie zote hii nimeipenda arafu pia inamafunzo

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana 🙏🙏🙏

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 ปีที่แล้ว +1

    Hutafanikiwa na hilo lengo lako mungu atakuumbuwa vibaya mungu anaona wewe ndie utaumbuka wewe na mamako hata hivyo muna roho ya uchawi mola atalipa malipo yote

  • @salmusalmu8845
    @salmusalmu8845 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaz nzur sana 👌

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      🥰🥰🥰🥰

  • @zuchumamy8875
    @zuchumamy8875 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mumezid kufunza jamii

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      ❣️❣️❣️ Mashaallah ❤️❤️

  • @zuleikhaissa684
    @zuleikhaissa684 2 ปีที่แล้ว +2

    Musitucheleweshee muendelezo jaman mpaka tunasahau tupeni kila siku movie nzur sana

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Sisi tunataka Sapot yenu tu, sasa video kama haijatazamwa ni ngumu Kupost muendelezo

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว +1

      Mjitahid kushare na kucomment muendelezo hautachelewa

  • @jescayohana5711
    @jescayohana5711 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman ongena nakuonea hadi uluma ila vumilia 2 mungu yupo pamoja naw ! Nahao ndugu zako loo mbay haijengi

  • @kharidikibakulikibakuli9223
    @kharidikibakulikibakuli9223 2 ปีที่แล้ว +3

    Duuuh mpo fire 🔥🔥

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥

  • @MonaMona-ut6sl
    @MonaMona-ut6sl ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      ❤️❤️❤️

  • @princessmniga9811
    @princessmniga9811 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah ogena pole kwa kila linalokukuta lkn tambua kila linalokutokea Lina sababu

  • @vipvip-zv7xv
    @vipvip-zv7xv 2 ปีที่แล้ว +2

    Ogena pole sna,ila yapo yanatokea katik hii dunia

  • @nasranasra361
    @nasranasra361 ปีที่แล้ว +1

    Nzuli sana

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว +2

    Ungempiga mbata 1 tu huyo boya
    Ety niipikie😂😂

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mama wacha kuongopea wacha unafiki huyo ni muovu na mungu atakulaani na hutafanikiwa kwa lengo lako utaumbuka Tu!

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      😭😭😭

  • @princessmniga9811
    @princessmniga9811 2 ปีที่แล้ว +1

    Good job hongera kwa viongoz

  • @Melinajohn330
    @Melinajohn330 ปีที่แล้ว +1

    Ogena ni mweusi lakini mzuri alafu umejariwa shepu

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥

  • @mori6489
    @mori6489 ปีที่แล้ว +1

    Movie nzuri Sana mashallah

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      Asante sana 🙏

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu yuko pamoja na wewe ogema hakuna zaidi yake

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @wahidadaudi4945
    @wahidadaudi4945 ปีที่แล้ว +1

    Mara hiiii pili sijamuona jomni 🥰🤭

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      Pili hayupo humu

  • @annamamaalpha8295
    @annamamaalpha8295 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri sana kweli

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @mwanamisirama1836
    @mwanamisirama1836 2 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah 🥰 mungu awabariki

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Inshallah

  • @melvinniceanyango2919
    @melvinniceanyango2919 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ulaani,unapo tesa mwana mfiwa@

  • @zuleikhaissa684
    @zuleikhaissa684 2 ปีที่แล้ว +5

    Wa mwanzo leo

  • @twaybachellah914
    @twaybachellah914 2 ปีที่แล้ว +3

    Movie nzuri hadi raha tena nimekuta zipo mfurulizo basi mpk nimesahau ku like part 1 na 2😂😂... Ngoja nimalizie kwanza part 4 afu ntarudi nyuma kulike za mwanzo... #diamondplatnumz #mbosso #wasafimedia #zuchu #fyp #viral #TH-camvideo #busattv

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asanteee sana tukujue We Team Wema au Team Ogena?

    • @twaybachellah914
      @twaybachellah914 2 ปีที่แล้ว +1

      @@busatitv team ogena hapa na anko wake chela.. 😂🔥🔥🔥🔥

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zuleikhaissa684
    @zuleikhaissa684 2 ปีที่แล้ว +3

    Asanten sana Allah awabarik mzidi kutuletea vitu vizur😍

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว +1

      Inshallah

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 ปีที่แล้ว +1

    mwish wa ubaya sio mbali

  • @everlyneouma-ss5zc
    @everlyneouma-ss5zc 2 หลายเดือนก่อน

    Mjomba anavyoangalia😅😅

  • @fatmasalim8869
    @fatmasalim8869 ปีที่แล้ว

    Uyo bba ilo jicho hehe

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @essambader4075
    @essambader4075 2 ปีที่แล้ว

    Ongereni sana kwa kazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sanaa

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 ปีที่แล้ว +2

    Daar hii movie kubwa kuliko bidii na kazi

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Hahaha sawaaa

  • @Melinajohn330
    @Melinajohn330 ปีที่แล้ว +1

    Mama wa roho mbaya uzuri was sula ila

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 2 ปีที่แล้ว +7

    Riziki yamtu ina chelewe chwa ila inafika tu Kama tuko pamoja gonga lik

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Tupo pamoja sana

  • @sofiyabakari9730
    @sofiyabakari9730 ปีที่แล้ว +1

    Mjomba anajitaid kumtetea
    Ila hana saut kwa mke

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว

      Mjomba kafunikwa

  • @mirajikurwa4233
    @mirajikurwa4233 2 ปีที่แล้ว

    Ongereni sana

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @elizabethmwafongo7829
    @elizabethmwafongo7829 ปีที่แล้ว +2

    Teem ugena mkuje apaa

    • @busatitv
      @busatitv  ปีที่แล้ว +1

      Team Ogena

  • @nicerjoseph2904
    @nicerjoseph2904 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee kamba 3 ilo jicho unalompiga wema jmn😂😂😂

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Hahaha kashindwa kuelewa

    • @mwaminashosi5781
      @mwaminashosi5781 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi pia Hilo jicho limenicheleaha sana wallahhy hongera 😁😀😁

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nicerjoseph2904
    @nicerjoseph2904 2 ปีที่แล้ว +1

    Mrs tajili😂😂😂😂😂

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @dmerody7092
    @dmerody7092 2 ปีที่แล้ว +4

    Jamani ogena

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Anasikitisha

  • @halimambega8414
    @halimambega8414 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana

  • @zebanga8373
    @zebanga8373 2 ปีที่แล้ว +1

    Top Directar

  • @omaryjames529
    @omaryjames529 2 ปีที่แล้ว +2

    D noma

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila likuepukalo lina kweri na ww

  • @falidamwasenga6398
    @falidamwasenga6398 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndio wachawi

  • @neemakarisa4167
    @neemakarisa4167 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama ww na mwanao mwisho wenu unakuja

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Tena Mwisho wao unakuja kweli

  • @falidamwasenga6398
    @falidamwasenga6398 2 ปีที่แล้ว +1

    Ilahaya yapo

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa

  • @mwanalimagamunda4985
    @mwanalimagamunda4985 2 ปีที่แล้ว +1

    Muendelezo tafadhali

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Mwendelezo unakuja

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii kaswida yaitwaje jmn

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Huo ni wimbo unaitwa Kidawa

  • @juliuskishimba7115
    @juliuskishimba7115 2 ปีที่แล้ว +2

    D noma

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว +1

      Asanteee

    • @leshminaswalehe8435
      @leshminaswalehe8435 2 ปีที่แล้ว +1

      @@busatitv nzuri San kaz mwenderezo wake part 4

    • @busatitv
      @busatitv  2 ปีที่แล้ว

      Part 4 Kesho