Katavi Mkoa wa kilimo na utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya awamu ya tano.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Tangu Uhuru wa Tanzania 1961 mpaka sasa Kilimo ndio Sekta inaongoza kwa kuajili watu wengi kwa zaidi ya 65% na kuchangia 25% katika pato la Taifa Nchini , kwa mujibu wa takwimu hizo ni wazi unapofanya mapinduzi ya kilimo kuanzia ngazi ya vijiji unakuwa umetengeneza ajira na kupunguza tatizo la uhaba wa ajira sanjari na umasikini kwa wakulima waliowengi nchini ,Ni Mkoa wa Katavi wenye Mapinduzi ya Kilimo uzalishaji wa tija na ziada kwa mazao ya chakula na biashara umepelekea mazao matatu ya kimkakati Ufuta, Alizeti na Karanga kuingia katika mfumo wa stakabadhi ghalani huku mazao ya Pamba , Korosho yakiongeza wigo wa Fursa kwa wakulima.

ความคิดเห็น • 1

  • @Science-Media-Africa
    @Science-Media-Africa 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Josephine kwa Makala nzuri, Pongezi nyingi kwa Viongozi wa Mkoa wa Katavi kwa kuchapa kazi. Tanzania inasonga mbele.