Mbachao Mastar: CHOYO - Michael Gondo, Martin White (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2018
- Mbachao Mastar: CHOYO Full Movie (Michael Gondo, Martin White) Kipupwe Movies
CAST: Michael Gondo, Martin White, Jacob Mkweche, Mussa Kitale, Rehema Abdallah
STORY/SCRIPT: Athuman Mtinda
EDITOR: Salun Mboggo
DIRECTOR: Athuma Mtinda
PRODUCER: Juma Mtawila
Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs
Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment
Wangapi wameona Africha movies na sio African movies 😂😂😂😂😁😁😁😀😀😀😂
Aiseee nyie jamaa nawakubali sanaaa na mnaweza mukiendelea kushirikiana pamoja,Ringo makintosh mkweche ww ni nomaaa
Tin White Nampenda sana nakukubali sana brother sijui kwanini
movie imetulia kazen muinue Sana'a ya bongo
Lingo mwanaume aombi jembe kweli bwana unayumbisha nchi😁😁😁😁💪
Wamama watu Wazima mnataka nini kujichubua ivo jmn mnatutisha uzee hauepukiki
mkenya ambaye upenda filamu za tz,huwa na mawaidha na vichekezo..filamu ya choyo hii safi. Tanzania ibarikiwe na kazi yake nzuri..
Mm ni mkenya napenda sana bongo movie comedy ya tz tiny white na ringo
Caleb Kithingo poa
Caleb Kithingo pamoja Caleb
Mko pow
Caleb Kithingo
Mawa kubal sana bike wanataka lessen duh iyo noma
Yoooo nihatali kabisa huyu jamaaa simtuuu
Nambii
Movie nzuli sana aiseeee
Dah!!! Jamaa amemaind kisa ndala
Aise move nzr sanaaaaa!!! 👏👏👏
Salma Obed
ringo big up sa
Nawakubali sana mazee like kwao pls 😂😂
Kali sana👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻
Ni nzuri sana nimependa mashauri yenu bwana ringi and kitale
pilauuuuuuuuuuu duuu htr tin umetisha baba sio kwa pilau😸😸😸😸😸
Haaaaaaaaaa pilau jmn tin we hatariiii Sana
Pilau ttz 😂😂
Attu Patric mmmm
Movie nzuri tujitaidi kidogo ubunifu
Mafunzo kwa wengi kweli lakini siyo wote wanafahmu. Ahsanteni.
Love ringo
@@rajabukheri8962 Hello.
Respect saana Ringo & tin white.
Yaaarabiiii nyama ilkuwa kilo mojaa 😁😁😁 mbavu zangu jmnnnn👌
Salma Obed FRANK
Ndo maana MUNGU WETU alituwekea tumbo mbele ili tusiusahau Pilau tamu sana
Salma Obed
SAFI SANA
ringo tini kitale majuto hongera tumefulah
Aaaaaaiiiiii huu uchoyo upooo WallAh khaaa na roho mbya 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Hili Tin boya kweli ahahahahaha!!Eti pilau nahata nayama ntachemsha nanikienda Ulaya simletei hata vikatuni
Aise hii flm imepata vichwa mchungwa dah lkn ringo anatisha
Kaka kitare nakukubal sana kaka
nawakubali Sana wakali wanguuu
Nc
Anabania kunya sio uchoyo huu nimkali 😁😁😁😁🔥🔥🔥
Mambo naomba unicheki plsss 0784680716
@@tinimike4746 +966505659268
Daa uyo jamaa noma master Choyo 😂😂😂😂 sijawai ona 🙌
Anatisha huyo jamaa
hi
Aaaaaaa
Hujawai ona nn?
Nimecheka WallAh khaaa wee mchoyo hatar unakomoa
we mmama unatia kinyaa umejichubua umekua km mguu wa kuku wa kukaanga afu haujaiva vzr mh
Tyna Benson usimzalau mama wamenziyo akijichubuwa niyeye wewe haya kuhusu tizama muvi usimjaji mtu na uwamuzi wake
endeleeni kutupatia kazi nzuri wakuu
Nimeielewa kichiz
Top
Noma sana, nmeipenda bure hii movie
Parabéns Bongo Movie e comédia Tanzaniano, gostei do jogo kkkkkkk #Kitale,Ringo, Tin White, estão de parabéns meus!
😂😂😂😂 Yan nyny shda sanaaaa
Hongela Sana kitale
Good movie
Maduu Peter nakubali sanaaa
Movie safi sana
Siri ya giningi
Sir I ya b
Huyo dada na gondwe hapo anaongea Kama anaongea na simu high pitch...sema muv nzuri
😅😅😅😅😅😅mgojwa ana chagua mgongo 😆😆😆ee tin umenichekesha sana venye umembeba mgojwa 🥰🥰🥰🥰🥰
Napenda Ringo kazy yako na tini wt
Noma Sana...Wanangu wa faida
Hahahaha duh noma kwel ndala hy jamaa xx huo sio uchoyo mbona ss wachoyo hatupo hvyo hahahahaha
dahh nmechelewa xana kuiona
move kali inafundisha saana wakuu
Uko choon aaa kumbe nimechanganikiwa
vvqMathew Shedrack
Nice movie 🍿
Tena uache uchoyoooo nawashukuru kinakitale na ringo kwamsukumo wao kwakakayako
Simletei ata vikatuni 🤩🤩🤩 dah tiny white noma
Alipoteza vitamim A-z!
una kabia chooo una uruma mwana
Haha kama ume xkia kiangaz gonga like
Talabora mchoyo duh
Ukubwa ni kuumwa na kujua kutuliza maumivu
Noma sana ninyi jamaa duuuh
noma sana
Lingo mchoyo na muongo yupi bora
Ringo Ulienda kuazma mpini au jembe
Nice movies
Nimeipenda hii movie nilihisi kutokwa kutokwa machozi lkn vichesho navyo vikatawala duuh tuache uchoyo tupendane
yaan nawpenda mpaka naskia raha sana
Movie nzuri sn pongezi kwenu
pilau ww tin mkali sana,
Oyaaaaa nan kavaa ndala zangu
Nikabizi moyo wako wote namapenzi yote😂😂😂😂😂😂😂😂
Kweri munawza kbx
hongereni sana jamaa zetu
Duh kumbe ana roho mbaya😂😂 kitale
Iko vizuri,
Nataka mgongo wakaka😂😂😂😂😂😂😂
Mambo
Hai
Duuuh pilau tinwhite
movie iko pw sana
Abdul Iss
Kwani lingo anaugua kusinzia😂😂😂😂
😍😍😍nakubali xn
Nc
movie nzuri
Ila uyo mama aloomba choo amejichubua loh
Yaani mpaka kero
tini kamchota mgonjwa kama koleo ninachota mchanga .
kazi nzuri
Pilau jamani nikikumbuka naumia sanaa
Good
😍😍😍
Wee nomaaaaaaa
Safii na salama
M2 anaweza kuwa mhuni lkn ana moyo wa huruma,
hahaaaah" nmemeza vidonge vyot 7 ili kesho nikanyw pombe" vzur
Nic
Hahahahaaaa yaan unachagua mgongo akat unaumwa!! Et nataka mgongo wa kakaaa!!
damond
Huu uchoyo ni shidaa jamaniiiii jamaaa nimchoyoo sijawai ona🤣🤣🤣 alafu watu waiv awafi mapemaaa daah😹😹😹
Mmmmh nikwer awaf mapem😅😅😅😅😅
Du mahani kama hawa hata kwetu wapo
Noma
Hiyo kali
Vizuri sana yani nyiye mtanimaliza sana
Mwisho wa ubaya aibu usmfanyie mwenzio ubaya maana hujui kesho yako# nmepata funzo kubwa sana kwenye hii MV keep it up brothers
Mshipa wa aibu...😂😂😂2020
Happy
Hahahaha du inafunzo zur
*_Pilawu noma kabisa_*
it's good
Kali sanaaa
Ubaya ubaya2 hamna kulipan mema kweny ubay