Watoto wenu wanasoma, na watoto wetu hawasomi kwa sababu ya miguka,n na mawazimu ni wengi sana huju mombasa, wacheni ujinga tafuteni kazi zingine si lazima miguka...
Maombi yangu Mungu anayajibu,pana mmoja alikua amenisinya na huo mogokaa nanilimuambia mimi naomba Mungu mpaka uache mogokaa,dalili ndio hiyo mambo imechemka😂😂😂
Alichofanya gavana kuban mgokaa sio sawa kabisa hasa ukiangalia bangi, bugizi na unga umejaa mombasa vijana wamekua mateja na yeye anaangalia kwanini asi ban unga,bugizi pamoja bangi. Hivi mgokaa unaeza fanya mtu akawa teja kweli, gavana aache kuangalia pande moja kwasababu ana cheo cheo ni cha mda tu ila utu ni wa milele.
Wapi likes za riggy ka-chawa-gwa baada ya kufunga bar na mnazi joints?? Funny he left out mugukaa/ "Narcotic/ kileo" Now he has been delt a big punch fitted with the nackle under his tribal under belly. Alimwaga ugali sasa swaha-mad ame mwaga mbog "Watu" "kura" wao Wote walale njaa. Naskia pia rift valley yapiga marufuku miraa na mugukaa... Sio uchawi, ni maombi...The drama continues.. ka-chawa-gua was set up n fell for.... the "noble"..... coincidentally xstian trap. Watu waache pombe... Pia waache miraa na mugukaa. Sote tuwe sawa.. kibiashara...
Fanyeni biashara nyingine wacheni kujitetea. Corona ilipoingia wengi walipoteza kazi kwani walikufa wote ama walitafuta njia nyingine na maisha yanaendelea.
Where are North Eastern Governors....let them stop Miraa and Mugukaa...Acheni Miraa pandeni mahindi...matunda na vitu zingine....Miraa na Mugukaa ni drugs hata hazikubaliwi UK, EUROPE, UARABUNI....Except labda tu Yemen na Somalia...na hizo pia zita haramishwa karibuni
I might be wrong, but more research needs to be done on this muguka thing. It might be in the cocoa leaves species which is grown in parts of south America like Colombia and other countries. Because this muguka thing is very addictive just like cocaine.
Hongera sana Governor Abduswamad
Hongera governor wetu
Hakuna kuuza mogokaa Hongera Havana wangu
Hongera governor WETU ukataze kabisa MUGOKAA Mombasa imeharibu sana
Hongera sana gavana
Hongera sana gavana nimekuelewa niko Tanzania chukua mauwa yako 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hongera Kwa Gavana Maua Kwa wingi Mombasa Ipone milele 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Safii
Na pongeze sana abdisamt
Kazi mzuri governor
Wauzie watoto wao meru
Governor swamad mashallah mungu atakulpa , waathirika mubadilinkazi acheni ushetani alaah
Rudini meru mkalime mahindi hongera Governor wa mombasa
Razima wa toto wetu wapate amani , congratulation my governor .
Great job 👏 Governor. MashaAllah
Hongera
Nimependa hivyo governor wang
Wakatafute kaz halali nyengine..Hongera Gavana
Watoto wenu wanasoma, na watoto wetu hawasomi kwa sababu ya miguka,n na mawazimu ni wengi sana huju mombasa, wacheni ujinga tafuteni kazi zingine si lazima miguka...
Hatutaki mugukaa Mombasa
Go back to Nairobi. Governor’s own Mombasa but not urs
Good job may God bless you let them change the job
WANAWEZA UZIA HUKO MERU WASIPATE HASARA
😮😢yes uzeni kungine.
Wauze huko kwao meru na family zao watafune pia
Muguka si ya wameru acheni kuropokwa
Ao wauzaji wote si wa Mombasa
Exactly
Drugs to coast and north Eastern but money goes to meru and kembu
We will stop in North Eastern
Well done governor
Wauzie kwao
Maombi yangu Mungu anayajibu,pana mmoja alikua amenisinya na huo mogokaa nanilimuambia mimi naomba Mungu mpaka uache mogokaa,dalili ndio hiyo mambo imechemka😂😂😂
Nilazima basi mutuuzie nyasi si mukauze kwenu
Tumekataa hiyo nyasi na manani Hatutaki
😂😂😂
"You said hustler atawale"we don't expect you people from mount Kenya to be crying💪
Kwa nin vitu vyote vibaya wauze pwani waende uko uko kwao Meru inafaa county zote za pwani vijana sai vipanga tu usalam mdogo
Sio lazima kila vituko Mombasa.ulevi wooote mombasa.maana huku ndio kuna vijana wajinga.hatutaki mugo gaa😢
Wapeleke kwao meru
Watuletee mazao mengine kamq
Mihogo
Mananasi
Biashara ni nyingi sio lazima waltuletee mogokaa
Wanalia kwa kuharibu watoto wa wenzao wao wakilipia school fees watoto wao wakipta maisha mazuri!!
Great thinker,that's the point.
Wauzie watu wa kwao.
Unaokoa familia mingi governor kusema ukweli Ivo Ivo usilegeze
Kwa nn musiende kuzia muguka kwenu bara. Coz bara hamjakatazwa kuuza muguka Kwan lazma Mombasa. Pumbavu
Nendeni mukauze kwenu wapimbavu nendeni mukauze kwenu mufanye watoto wetu wa kwenu wawe mazombi watoto wenu wanaenda university
Wauze maharage ya nazi kwa mahamri.lakini migoka hapana
Wakakupikia hayo maharagwe ya nazi na mahamri yaeza kushinda kula😅😅😅😅
Tafuta kazi nyengine. Hata gikombaa kunabomolewa na watajipanga tu😂😂
Alichofanya gavana kuban mgokaa sio sawa kabisa hasa ukiangalia bangi, bugizi na unga umejaa mombasa vijana wamekua mateja na yeye anaangalia kwanini asi ban unga,bugizi pamoja bangi. Hivi mgokaa unaeza fanya mtu akawa teja kweli, gavana aache kuangalia pande moja kwasababu ana cheo cheo ni cha mda tu ila utu ni wa milele.
Chakula cha mbuzimtu kikome kabisa ama wakale spinach na sukuma bichi
Also ban miraa mr governor
Mwenyezimngu Atawafunguliyaaa cha halaliii wekeni moyoo weeni kwa mwenyezimngu uzeenii viyazi na kobichii barrakkah kwenuu
Mukesimamisha mukoa kenya siisi madereva tuta fanyanye sstroke
Watajua hawajui 😂uzeni makwenu😂
Hapo sasa 😂😂
Wapi likes za riggy ka-chawa-gwa baada ya kufunga bar na mnazi joints?? Funny he left out mugukaa/ "Narcotic/ kileo" Now he has been delt a big punch fitted with the nackle under his tribal under belly. Alimwaga ugali sasa swaha-mad ame mwaga mbog "Watu" "kura" wao Wote walale njaa. Naskia pia rift valley yapiga marufuku miraa na mugukaa... Sio uchawi, ni maombi...The drama continues.. ka-chawa-gua was set up n fell for.... the "noble"..... coincidentally xstian trap. Watu waache pombe... Pia waache miraa na mugukaa. Sote tuwe sawa.. kibiashara...
Tanzania ni marufuku kutumia kuuza au kuingiza muguka na miraa
Msahau tafuteni kazi nyingine
Shenzi governor funga pia shisha coz you know starehe yako weekend ni shisha so keep off
Hapa hakuna kubembelezana, fagilia hiyo takataka out of coast province
Tafuteni kazi ingine mufanye,wanzanzi wangu😂😂wabara HATUTAKI uchafu huo mombasa yani coast mzima
Na magenge watazidi kuongezeka Mombasa, wengi hawana kazi, wadada muwe very careful na vipochi na simu..... Ndio wameadd fuel to the fire... 😮😮
Fanyeni biashara nyingine wacheni kujitetea. Corona ilipoingia wengi walipoteza kazi kwani walikufa wote ama walitafuta njia nyingine na maisha yanaendelea.
Fanya kazi zingine
Peremende Chocolate nimeipenda iyo Governor hiyo sio lazima wauze Mugokaa
Yes governor iko sahihi sana
Hata watu wa western walilia hasara ya bangi acheni ubinafsi Kenya Ni ya watu wote
Like it mugaka imefanya vijana wengi mafala
Where are North Eastern Governors....let them stop Miraa and Mugukaa...Acheni Miraa pandeni mahindi...matunda na vitu zingine....Miraa na Mugukaa ni drugs hata hazikubaliwi UK, EUROPE, UARABUNI....Except labda tu Yemen na Somalia...na hizo pia zita haramishwa karibuni
Abuu chukiwa maua yako🎉🎉
na dawa za kulevya je?
Simurudi kwenu,kwan mlio nan mpwan akaja huko kufungua biashara ya muhogo
Very good coast has been dumbing site of drugs.for so long.
Kama watu wa Coast hawataki, basi hawataki! Warudi kwao.
Waende counties zao watafute kazi
Kaaeni ivo mtafute kazi ingine ama muame kenya
Tanzania miraa na Mongolia ni marufuku kabisa ukishikwa nisawa na muuza bangi .
Industrial sugar and chemicals in sweets and chocolate are also harmful to kids. Ban them as well
Walime mahindi watu wale cma wajistareheshe na popcorns..Kwani migokaa pekee ndio humea mashamban mwao.
Lie bahari 😂😂😂😂
Nairobi next
Kwanini hawauzi nyanya,mboga,Kabeji na vitu vyengine...wamepawa ardhi ya rotuba mpaka watuuzie gasia ndio waskie Raha?
Kauzeni somalia
Government should ban muguka in the entire country otherwise we will lose a whole generation. supporting this business is total rubbish
You also show maize was destroyed with floods
Nendeni mkauzie kwenu banaa
❤❤❤❤
Good work
Hakuna mcoast hata mmoja fungia kabisa
Funga iyo kitu governor usilegeze
Hakuna hiyooooooo wauze Mahandazi kwa wingi
Wauze, sukuma, mchicha na cabbage waache kusumbua kama hawana mahali kwa kwenda waende shimo la tewa
Miguka ndio nini??
Ipigwe marufuku kabisa
kulia ngoa means kuonea wivu. mtalaki apo uko nje ya context kabisa
stupid decision banning mild stimulant. Ban coffee and tea as well
Mombasa kwanza maliza dawa za kulevya (hard drags)mogoka is just stimulant kama tu majani chai au kahawa
hadi primary kids wamekuwa mbuzi wanatafuna....congratulation governor
Ruudiini. Nyumbani. Wacheni kukaa mombasa. Leteni chakula
Hakuna kuuza muguka wapike wafanye mboga ili wasipate hasara, wacheni ujinga take that shit out of coast province
Wakauze kwao meru
Hatutaki mungokaa rudini meru
😂😂😂😂😂😂,ajabu walihama kwtu
Fanyeni biashara nyengine
endeni mkauze mikundu sabasaba kama mmekosa kazi ya kufanya
Nendeni meru
I might be wrong, but more research needs to be done on this muguka thing. It might be in the cocoa leaves species which is grown in parts of south America like Colombia and other countries. Because this muguka thing is very addictive just like cocaine.
Kuber,heroin and crack is what is destroying the coast.Muguka is the least of their problems.
its turning small kids kuwa mbuzi kutafuna wakienda shule
Uzieni kwenu
😢😢😢😢
Mbna wabara tuu ndo wanalalamika
mndanya mndanya
Warudi nyumbani wakalime viazi wauze.
Rudini nyumbani embu.
Limeni mahindi maharagwe mtuuzie
SOMALI GOVERNMENT SHOULD BAN MIRAA IN SOMALIA, SOMALI MEN START CHEWING FROM 1PM TILL 2AM EVERYDAY UNLIKE IN KENYA THEY CHEW ON WEEKENDS MOSTLY.
Rudini meru muuze huko
Waunze meru. Shame on you meru and embu . Wapee watu wa meru and embu watafune.