Danphord Cosmas ft Zakaria Kayanda - Heshima na utukufu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @evangelistrobinsongospel
    @evangelistrobinsongospel 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Heshima na Utukufu wote ni Vyake Mungu.... 🙏🙏🙏Mungu azidi kuwa Inua Viwango zaidi ya Viwango katika Kumtumikia..

  • @PosianoGilibeti-w8b
    @PosianoGilibeti-w8b 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi Kazi nawakubali vijana wa kazi

  • @silayofulgence
    @silayofulgence 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana kijana wangu hakika upo vizuri Mungu azidi kukupa kipaji cha kuenedeleza tasnia hii ya neno la mungu

  • @clemencemlindima3344
    @clemencemlindima3344 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumisbi wa Mungu kazi Njema , Mungu akawainue zaidi na zaidi

  • @jacksonchongera3398
    @jacksonchongera3398 8 หลายเดือนก่อน +1

    mungu akuinue zaidi akakutambulishe yeye

  • @malakikalimanzila3730
    @malakikalimanzila3730 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri kaka Mungu akutangulie sana utafika mbali sana kaza buti kaka tutazidi kukuombea sana

  • @gilbertfungameza
    @gilbertfungameza 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mbalikiwe Watumishi Yaani Kweli Mpo Vizuli

  • @zakariakayanda9712
    @zakariakayanda9712 8 หลายเดือนก่อน +1

    Heshema na utukufu apewe bwana

    • @danphordcosmas
      @danphordcosmas  8 หลายเดือนก่อน

      Tumpe heshima na utukufu

  • @azormachibya484
    @azormachibya484 8 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NEHEMIAHSHAKINI
    @NEHEMIAHSHAKINI 8 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri,

  • @Mhamath
    @Mhamath 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @zeepicturesbrand8973
    @zeepicturesbrand8973 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kali