SIMBA MWEUSI {BLACK LION} - EPISODE 21 CHUMVINYINGI & KAZOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 177

  • @OmaryMasudi-v6o
    @OmaryMasudi-v6o หลายเดือนก่อน +22

    Daah tunainjoi sana chumvi nyingi gang kwasababu kila kipande kinacho kuja kinakua bora kuliko kilicho pita safi san

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang  หลายเดือนก่อน +3

      Asant sana

    • @ManilaMc-u7j
      @ManilaMc-u7j หลายเดือนก่อน +1

      Gang gang

    • @Lastborn_chard-123
      @Lastborn_chard-123 หลายเดือนก่อน +1

      Endeleeni kuturusha ila mda tunawasubiri sanaaaaaa

    • @jenifajeni9951
      @jenifajeni9951 หลายเดือนก่อน

      ​@@chumvinyingigangmaganga 😂❤❤❤❤❤❤❤😂😂

    • @OmaryRamadan-m8v
      @OmaryRamadan-m8v หลายเดือนก่อน

      😂😂😂huyu mzee wa kula sana nayeye yupo unyama sana😅😅

  • @JemaNkoba
    @JemaNkoba หลายเดือนก่อน +3

    Kazoa on the beat nice job chumvi nyingi

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db หลายเดือนก่อน +5

    Dah nimechelewa ila cyo mbaya kazi yako iko pw sana chumvi nyingi asante sana kakaangu ❤❤tunainjoy

  • @elihoudnsengiyumva2290
    @elihoudnsengiyumva2290 หลายเดือนก่อน +5

    Vizuri sana mkuu Cumvi👍🏼👍🏼🙏🏾🙏🏾

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 หลายเดือนก่อน +13

    KIUKWELI CHUMVINYINGI Gang HONGERNI KWA KUMLETA MAGANGA ...MAGANGA IS THE BEST ONE .......MIMI NI SHABIKI MPYAA WA MAGANGA

  • @AdamOman-n2s
    @AdamOman-n2s หลายเดือนก่อน +5

    Maganga. nampendaga anavoongea akilewa noma🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +5

    Mtt mzuri usikubali kuuza mwili rudi kwa moses utakuwa salama kapiganiye penzi lako moses anakupenda na yule dada atashindwa tu

  • @MawazoRamadhani-m9c
    @MawazoRamadhani-m9c หลายเดือนก่อน +5

    Mzuri sana ❤❤❤❤ 🎉🎉🎉

  • @mirajidrissa9139
    @mirajidrissa9139 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzur chumvi nyingi❤

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he หลายเดือนก่อน +4

    Bazuka munaanda na huyo mudemu safi sana

  • @Ezekielngar
    @Ezekielngar หลายเดือนก่อน +7

    Mwili mdogo sound ya bufa nakukubali sana baba ❤❤🎉

  • @PatrickSimetikapolemba
    @PatrickSimetikapolemba 20 วันที่ผ่านมา

    Félicitation à vous 🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo mke wa kazoa nampenda aise daaaa

  • @SaidiKazungu-f8m
    @SaidiKazungu-f8m หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana team chumvinyingi nawakubali mko vizuri sana big up congratulations 👏.

  • @MichaelShadrack-h7q
    @MichaelShadrack-h7q หลายเดือนก่อน +3

    Nibonge moja lamv ila mnachelewesha sana

  • @ChafimMajaza
    @ChafimMajaza หลายเดือนก่อน +6

    Kazi IPO Leo 😂😂

  • @ommary75
    @ommary75 หลายเดือนก่อน +11

    Imekaaa poa sana

  • @joufflyngmutangaza306
    @joufflyngmutangaza306 หลายเดือนก่อน +3

    Courage 🇨🇩🇨🇩

  • @KhadijaSeif-f9n
    @KhadijaSeif-f9n หลายเดือนก่อน +7

    Sio mby nimewahi kdg big up brother🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +2

    Sijapenda mrembo kuwa na mmasai wako unapendeza kuwa na moses

  • @clichytraveller6897
    @clichytraveller6897 หลายเดือนก่อน +5

    Bwana kazoa huyu hapa

  • @joelnyaga1985
    @joelnyaga1985 หลายเดือนก่อน +3

    asante Chana 😂😂

  • @dtv6734
    @dtv6734 หลายเดือนก่อน +2

    Kungwi, Jipange kupika misosi, Msosi uwe wa kutosha😂😂😂😂😂

  • @YasintaKanyopa
    @YasintaKanyopa หลายเดือนก่อน +3

    Nimefurah kumuona Mr chauroho 😂😂😂😂😂😂

  • @HazardBoy-h4w
    @HazardBoy-h4w หลายเดือนก่อน +6

    Kaz Kwa wakat nic job

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha หลายเดือนก่อน +6

    Kungwii❤❤❤❤❤

  • @NacirMendez-j5c
    @NacirMendez-j5c หลายเดือนก่อน +5

    Mhhh hilo beg la kuweka kwenye buti 😮😮😮😮
    Kitu kizitooooo

  • @lilianeponda4167
    @lilianeponda4167 หลายเดือนก่อน +2

    Chumvi nimependa sana ulivyo igiza u serious yaani umependeza umeitendea hakika kumbe unaweza kuwa serious.

  • @bonventrychevai5183
    @bonventrychevai5183 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa Mashemeji ni balaa, lazima uwe na hofu😂😂

  • @MazanzaOfficial
    @MazanzaOfficial หลายเดือนก่อน +2

    Kazi Ipo Njema Sana Aiseee Mnastahili Pongezi

  • @JaqlineExavery
    @JaqlineExavery หลายเดือนก่อน +7

    Kazi nzuri sana chumvi nyingi

  • @wazirishabani
    @wazirishabani หลายเดือนก่อน +2

    nakubali sana kaka

  • @YassinAlly-p2i
    @YassinAlly-p2i หลายเดือนก่อน +11

    Mapema tu Wa kwanza nipeni like zangu😂

  • @Fatuma-e8z
    @Fatuma-e8z หลายเดือนก่อน +3

    Hongereni sana 👏👏👏

  • @TwalhaSelemani
    @TwalhaSelemani หลายเดือนก่อน +8

    Wa kwanza mm bro

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +4

    Chapombe nakukubali

  • @MwambaCristien-d6u
    @MwambaCristien-d6u หลายเดือนก่อน +8

    Twende mbele katika hatua nyingine

  • @PatrickPeter-ce9zn
    @PatrickPeter-ce9zn หลายเดือนก่อน +3

    Mnazingua movie mpaka inaisha chumvi nyingi ndo anaonekana

  • @RamsyOg
    @RamsyOg หลายเดือนก่อน +9

    Chumvi mbona iyi picha munakawiya kutua picha iyi part moja kwa siku si vizur iyi picha naipenda mujitaiti bas kwa week mutohe part ata 20

  • @OmarySaidy-lf3jy
    @OmarySaidy-lf3jy หลายเดือนก่อน +10

    🤣🤣🤣 eti una TN NAMBA

  • @HhBbh-tn5uh
    @HhBbh-tn5uh หลายเดือนก่อน +2

    Hodi naingia nipeni zangu😂😂😂😂

  • @ixha706
    @ixha706 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja chumvi nyingi gang nawapenda🙌❤️❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @SalmaBendera-cm1xh
    @SalmaBendera-cm1xh หลายเดือนก่อน +9

    achante chana ,, majina ma juli😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @SalamaFrancis-yg7sr
      @SalamaFrancis-yg7sr หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂

    • @RarityMinnah
      @RarityMinnah หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

    • @zainabalex9810
      @zainabalex9810 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @SaraUlaya-is2ch
      @SaraUlaya-is2ch หลายเดือนก่อน

      Jamani kwani shemeji nikabila Gani nisaiidieni😂😂😂​@@zainabalex9810

  • @One_5_l
    @One_5_l หลายเดือนก่อน +3

    Namuonea huruma bint mijicho

  • @VeronicaIbrahim-wv4dg
    @VeronicaIbrahim-wv4dg หลายเดือนก่อน +17

    Kama unamkubali chumvi nyingi gonga like hapa tujuane

  • @HhBbh-tn5uh
    @HhBbh-tn5uh หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂kanada

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 หลายเดือนก่อน +6

    Jmni mnauakika hudaa sio wetu uyu mbna lafudhi niya FERRY 😂😂😂

  • @MichaelShadrack-h7q
    @MichaelShadrack-h7q หลายเดือนก่อน +4

    Naiomba jina laiyo nyimbo apo mwisho inaitwaje

  • @adow9musictz931
    @adow9musictz931 หลายเดือนก่อน +3

    kazoa yupooooooooooooooooo

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 หลายเดือนก่อน +6

    DADA MUUZA UTAMU ACHANA NAE UYOO DEM WA MOZES HAJITAMBUI KWANZA ANAKOMWE HAWEZI KUPATA WATEJA...😅😅😅😅😅

    • @TausRaj
      @TausRaj หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂😂😂 duuuh

    • @mnyakitz2007
      @mnyakitz2007 หลายเดือนก่อน +2

      @TausRaj 😅😅😅 MAMBO

    • @AnnaAkyoo
      @AnnaAkyoo หลายเดือนก่อน

      Sawaaa🙏🙏🙏

    • @Asumin-i9f
      @Asumin-i9f 29 วันที่ผ่านมา

      we wateja unaoo

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er หลายเดือนก่อน +9

    Bzuka kijana wchuga baba l mababa nyoa hivyo vinywele uanze tna vshaanza kudondoka

  • @LuwonekoLupaya
    @LuwonekoLupaya หลายเดือนก่อน +4

    Ahaya bwana

  • @RemmyOmmy
    @RemmyOmmy หลายเดือนก่อน +6

    Achantee😂

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje หลายเดือนก่อน +5

    Safiiiiii

  • @shanyorg-w3p
    @shanyorg-w3p 27 วันที่ผ่านมา +1

    kungwi nakupenda buree

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px หลายเดือนก่อน +4

    Nyieee chaurohooo

  • @BENCHARLES-ho2ws
    @BENCHARLES-ho2ws หลายเดือนก่อน +5

    Nakubali 🙌✋🖐️

  • @MusaMasika-g2o
    @MusaMasika-g2o หลายเดือนก่อน +4

    Oyoooooooooo mr misosiiii

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢chendu yupo wapi

  • @paaboytz5855
    @paaboytz5855 หลายเดือนก่อน +8

    Wewe jamaa upo very smart sanaa kwenye kupost tena chapu hongera kaka

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang  หลายเดือนก่อน +2

      Asant

    • @paaboytz5855
      @paaboytz5855 หลายเดือนก่อน +1

      @chumvinyingigang sawa kaka endelea kutupa Simba mweusi kwa haraka

  • @OmarAssira
    @OmarAssira หลายเดือนก่อน +12

    Maganga ongeza ubunifu mbona kama unapungua ❤❤❤❤ wangapi tumeona ???

    • @ernestmwakalambo3938
      @ernestmwakalambo3938 หลายเดือนก่อน +3

      Maganga anafanya vzuri sana labda macho yako hayaon vzuri

    • @SaraUlaya-is2ch
      @SaraUlaya-is2ch หลายเดือนก่อน

      Haswa Yuko vzr sana mlevi wangu❤❤❤​@@ernestmwakalambo3938

  • @DolikasiYusufu
    @DolikasiYusufu หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤😂😂😂😂 nawapenda sana

  • @BUTILANJIA
    @BUTILANJIA หลายเดือนก่อน +10

    Chombo kwa hewa 😂

  • @NajmaRamadhan-ig2cw
    @NajmaRamadhan-ig2cw หลายเดือนก่อน +2

    jamani uwe unatuma hata vipande viwili😢

  • @MariaHussein-f5w
    @MariaHussein-f5w หลายเดือนก่อน +1

    Safiii

  • @YasiniJuma-g4n
    @YasiniJuma-g4n หลายเดือนก่อน +2

    Kaka endelea kuwaumiz waty

  • @tvnyaya3981
    @tvnyaya3981 หลายเดือนก่อน +7

    34 nafasi nzul ata shuleeee gonga likeee

  • @poisondaga4984
    @poisondaga4984 หลายเดือนก่อน +5

    Chumvi hakikisha finally ya iki kitu inakua ya kueleweka please 🙏🙏

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI หลายเดือนก่อน +2

    Hapo patam

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 หลายเดือนก่อน +4

    Dah muendelezo 😂😂😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +2

    Ila kwakuwa yeye ndo ulomfata na sasa mshakutana tena ktk shida basi endeleeni tu

  • @SimbaDuyu
    @SimbaDuyu หลายเดือนก่อน +4

    Anatuzngua tu tutahamia kwa clam

    • @TausRaj
      @TausRaj หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂 nenda

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂kazola tin namba tena 😂😂😂😂😂😂suti kubwa hata tembo una

  • @MalcelaOnesmo
    @MalcelaOnesmo หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉chumvi gang

  • @Quarexdemozplaybeatz
    @Quarexdemozplaybeatz หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤😂

  • @EliasNkuba-c3h
    @EliasNkuba-c3h หลายเดือนก่อน +9

    Wa kwanza leo link zangu

  • @BUTILANJIA
    @BUTILANJIA หลายเดือนก่อน +7

    Canada Echiopia😆😆😆

  • @mohdhassansaleh1322
    @mohdhassansaleh1322 หลายเดือนก่อน +4

    Chumvi Kuna wasanii wengi humu hawamo sijuwi nini shda ila naona wachaotaa mbawaa kwa hyo ombi wale wasanii wapya wa ndupe warejeshee Ili mambo yaendelee vyemaa

    • @mbarakmkanyi2224
      @mbarakmkanyi2224 หลายเดือนก่อน +2

      Hyo n kwel but mkuu hatokujibu hlo....nmemuandikia mara kadhaa but cjapata jibu

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang  หลายเดือนก่อน +2

      @@mbarakmkanyi2224jaman wameenda kujipambania

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er หลายเดือนก่อน +6

    Tufkeni adi 1m jmni mbona hivi

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤

  • @IsayaLaison
    @IsayaLaison หลายเดือนก่อน +4

    Simbaaaaaa

  • @HamisiMachinda
    @HamisiMachinda 20 วันที่ผ่านมา

    Namkubal sana chumvi nying 😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki หลายเดือนก่อน +5

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 หลายเดือนก่อน +3

    Kama unamuelewa bazuka weka like apa❤

  • @RaymondLunga
    @RaymondLunga 10 วันที่ผ่านมา

    Kaz nzur chumvi nyingi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BrysonJohn-
    @BrysonJohn- หลายเดือนก่อน +3

    Hongela sana ndugu Yang chumvi nyingi 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fficialally363
    @fficialally363 หลายเดือนก่อน +8

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shabanigwanzura7065
    @shabanigwanzura7065 หลายเดือนก่อน +4

    Mwamba kazoa

  • @ramadhanigau
    @ramadhanigau หลายเดือนก่อน +4

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RichardMathias-r5v
    @RichardMathias-r5v 28 วันที่ผ่านมา

    Chumvi wewe niatali kazinzuli simba mweusi niyakungiawaka iiimweziuu ndio namba moja

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona uyo dada mara anadela mara anagauni

    • @AbuubakarAli-fj6br
      @AbuubakarAli-fj6br หลายเดือนก่อน +1

      Ndio hap inabid wawe makin na kaz

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang  หลายเดือนก่อน +3

      @@AbuubakarAli-fj6brkwahyo habidirishi na kashafika sehem kakaribishwa nabeg likondn kwahyo angebak na nguo alizopigiwa kule mjumban kwel

    • @Tobias_mhina
      @Tobias_mhina หลายเดือนก่อน +1

      ​@@chumvinyingigangHapa broo kweli ume zingua kikubwa ni umakini tu maana ana toka kwa dada mda ngaji ana Dera njiani ana onekana amevaa nguo nyingine Tena Aya ana kutana na msela wake alie mkataa ana anaonekana kavaa Dera Tena Yani apo sini ndio Ina endelea Yani ndio mmeiyunga apo kuweni makini

    • @EstherNawanzi-ds5xg
      @EstherNawanzi-ds5xg หลายเดือนก่อน

      Mdada yup uyo?

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

      ​@@chumvinyingigangyou dada akat anatoka kwa yule dada alitoka na dela ila njiani alikuwa na kigauni cha blue na alivyokutana na chuga akawa na dela

  • @nasorotunda
    @nasorotunda หลายเดือนก่อน +7

    Chumvi unazingua muda mwingi inaisha vipande vyako ni vichache Sasa ndo nn

    • @ButoyiRukiya
      @ButoyiRukiya หลายเดือนก่อน

      Kumbe umewona ilo naweye sijapenda kwakweli

    • @MAMALauma
      @MAMALauma หลายเดือนก่อน

      Ad kero

  • @ahazishingwa2228
    @ahazishingwa2228 หลายเดือนก่อน +4

    Chumvi mbona ujaonana na mkweee nasubili swali lake???

    • @chumvinyingigang
      @chumvinyingigang  หลายเดือนก่อน +3

      Epsod ya leo ndio naonana nae

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 หลายเดือนก่อน +2

    Like ZENU kwa maganga cha pombe😂

  • @SaidAhmed-ny7hf
    @SaidAhmed-ny7hf หลายเดือนก่อน +1

    Hadi kazola cha uroho yumo ndani ya chumvi nyingi hapa movie itanoga

  • @saida6330
    @saida6330 หลายเดือนก่อน +5

    🎉🎉🎉

  • @marynyota6146
    @marynyota6146 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SusanMulongo
    @SusanMulongo หลายเดือนก่อน

    Maganga unanichekesha sana😂😂😂😂👏👏

  • @Zakthepoly
    @Zakthepoly หลายเดือนก่อน

    Kungwi acha shobo...huyo c wakili ameomba mavazi hayo, hana lolote😂 mko sawa sana chumvi gang🎉🎉 shabik mkubwa Kenya 🇰🇪