Wewe unajufge kama nan hata hivo kama ni wivu acha awe nao wamezaliwa wawili tu acha awe na wivu juu ya dada yake maana wao ndio wanajua wametoka wapi sio nyie mliowaona wakiwa wakubwa
@WiselightOfficial n cawa nimekubali lakini 🤔😭🤔😭😭😭 lakini Martha Wacha aombe Mungu msamaa n amurudie kama alikua amemuacha n kama alikua amuudumii mamaake basi cai anafaa kumuudumia Martha shika mungu tu bila mchezo Mungu ashakusamee n umuudumie mummy martha
Sifa ya Mungu anasamehe pia anayemfuata Mungu ni lazima asamehe Ili nae asamehewe ,,msg nzuri Beatrice nimeipendab❤
Ni wivu wake uyo mdogo wake
Mungu amsamehe uyo beatrice
N wivu akonao aacha n Martha amuombe mungu wake nakuombea Martha utashida vita. Vya maneno😢😢😢😢😢😢😢
Wewe unajufge kama nan hata hivo kama ni wivu acha awe nao wamezaliwa wawili tu acha awe na wivu juu ya dada yake maana wao ndio wanajua wametoka wapi sio nyie mliowaona wakiwa wakubwa
@WiselightOfficial n cawa nimekubali lakini 🤔😭🤔😭😭😭 lakini Martha Wacha aombe Mungu msamaa n amurudie kama alikua amemuacha n kama alikua amuudumii mamaake basi cai anafaa kumuudumia Martha shika mungu tu bila mchezo Mungu ashakusamee n umuudumie mummy martha
TUMECHOKA KUSIKIA HABARI ZAKE UPUUZI MTUPU
Kwanini yeye ameshindwa kumsaidia?