Ni Salama Rohoni Mwangu | Tenzi za Rohoni No. 23

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2022
  • Tenzi za rohoni, Wimbo wa tenzi, hymn songs
    Ni Salama rohoni mwangu/It is well with my soul
    Lyrics:
    Nionapo amani kama shwari, ama nionapo shida;
    Kwa mambo yote umenijulisha, ni salama rohoni mwangu.
    Salama, rohoni, ni salama rohoni mwangu!
    Ingawa shetani atanitesa, nitajipa moyo
    kwani Kristo ameona unyonge wangu, amekufa kwa roho yangu.
    Dhambi zangu zote, wala si nusu, zimewekwa msalabani;
    Wala sichukui laana yake, ni salama rohoni mwangu.
    Ee Bwana himiza siku ya kuja, panda itakapolia;
    utakaposhuka sitaogopa, ni salama rohoni mwangu.
  • เพลง

ความคิดเห็น •