Mapishi ya biriani ya samaki tamu sana😋//Fish biryani recipe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 56

  • @joycekileo4147
    @joycekileo4147 4 ปีที่แล้ว +2

    verry de;icious indeed,,i love every food that has samaki

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante tena asante ❤

  • @LeviTreutel-im4op
    @LeviTreutel-im4op 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @samiraali5505
    @samiraali5505 3 ปีที่แล้ว

    Nakupendaga tu yani,mashaAllah mapishi bulbul

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 ปีที่แล้ว

    MaashaaAllah iko yummy

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 4 ปีที่แล้ว

    Masha allah nimepika leo taam

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 4 ปีที่แล้ว

    Masha allah leo nimepika chakula kitamu asante

  • @samiraali5505
    @samiraali5505 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani sshv u are my favorite, mm nishaweka subscribe na kengele ya all kila ukipost pishi nalipata MashaAllah, uko vzr n mapishi yako ni very easy to understand be blsd

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว

      samira ali Asante sana na karibu tena kuwa Mwana familia

  • @khawlathassan7545
    @khawlathassan7545 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa mashaallah

  • @naimamwaibanje156
    @naimamwaibanje156 4 ปีที่แล้ว

    Yummy ,asante sana

  • @khalidsalum1740
    @khalidsalum1740 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha-Allah

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว +1

      Khalid salum shokran

    • @nooor1120
      @nooor1120 4 ปีที่แล้ว

      @@IlhaamMarshed Marshed wa wapi wewe Ilhaam?

  • @zenabakari1642
    @zenabakari1642 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah inapendeza

  • @MunaAdamBegiem
    @MunaAdamBegiem 9 วันที่ผ่านมา

    Asante sana

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 4 ปีที่แล้ว

    Mashalah mapishi Mazuri Sana Dada

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah dd shukraan sn

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @zuenashemdoeshemdoe5077
    @zuenashemdoeshemdoe5077 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sannaa yaani una2mia dkk chache lkn unafahamika,,nimeshaSUB sshv

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว

      ally kutenga Asante kwa kusubscribe naomba gusa na alama ya kengele usipitwe na video mpya nikipost

  • @thuwaibaabdallah6880
    @thuwaibaabdallah6880 4 ปีที่แล้ว

    Asante mpenzi nimkuja kujionea mapishi

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว

      Thuwaiba Abdallah shokran kwa kuangalia. th-cam.com/video/gt0EDVif_D0/w-d-xo.html shawarma ya kuku angalia na hiyo

  • @ruqayaisumaili33
    @ruqayaisumaili33 3 ปีที่แล้ว

    Asante sna nilipika juzi nakwambia ilikuwa Bomba sana kila mtu alijilamba

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  3 ปีที่แล้ว

      Nafurahi kusikia hivyo Asante pia kwa mrejesho

    • @ruqayaisumaili33
      @ruqayaisumaili33 3 ปีที่แล้ว

      @@IlhaamMarshed okay

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana siku hizi ndio pishi langu

  • @SaudaSauda-h9w
    @SaudaSauda-h9w 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @neemawilliam1960
    @neemawilliam1960 4 ปีที่แล้ว

    Nice

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว +1

      Neema William thanks for watching dear

  • @danyhas8947
    @danyhas8947 2 ปีที่แล้ว

    Safi dd

  • @khawlathassan7545
    @khawlathassan7545 3 ปีที่แล้ว

    😋😋😋😋

  • @NgogaPatient-jh8ld
    @NgogaPatient-jh8ld 5 หลายเดือนก่อน

  • @mariambintsaid3814
    @mariambintsaid3814 3 ปีที่แล้ว

    samaki wa aina gani uhkty?

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 ปีที่แล้ว

    Asante my

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว

      Angel Jasson Asante pia kwa kuangalia video

  • @judithakinyi4755
    @judithakinyi4755 3 ปีที่แล้ว +1

    biriani ya samaki haiwekwi mtindi

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 4 ปีที่แล้ว

    Jmniiii😢😢😢wanitamanisha na mwezi wa Ramadan Karim😥😥

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว

      Zuberi Kamote kutamani sio dhambi ndugu 😊 na Asante kwa kuangalia video

  • @mamakhailat5923
    @mamakhailat5923 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa na ni mzuri ilaungekuwa unatuandikia na risp hapo chini hii inatusaidia sisi kujua majina ya viungo na kuvinunua kwa urahisi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว

    Sijaona mtindi hapo

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  ปีที่แล้ว

      Ni biryani kazu hiyo sio lazima mtindi haifanani kama ya rosti mulivyozoea dear

  • @nisilesanga3602
    @nisilesanga3602 4 ปีที่แล้ว

    Tayar nimesubscirb

  • @neemawilliam1960
    @neemawilliam1960 4 ปีที่แล้ว

    Kuchemsha mchele huweki mafuta

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว +1

      Neema William unaweza weka nipendelezo la mpishi tu dear. Asante kwa kuangalia naomba uguse kengele mbele ya neno subscribe uwe una pata habari nikipost video mpya

  • @aminasalamalekumamina6217
    @aminasalamalekumamina6217 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @neemaabdallah3567
    @neemaabdallah3567 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed  4 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kuangalia usisahau ku subscribe kwa Mapishi kila siku

    • @neemaabdallah3567
      @neemaabdallah3567 4 ปีที่แล้ว

      Asante

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว

    Mashaallah