GIGY MONEY ALIVYOJIACHIA na MPENZI WAKE MPYA FULL MALAVIDAVI..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2023
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Jamani gigy muache mtoto wa watu wimbo mzuri sanaa ❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣
Gigy ana jua kucheza jaman. Love u gigy
Nampenda sana Gigy yupo very real aiseee I am in love with Gigy
Very talented broh mjini tyar upo sana 🎉🎉
Gigy kalipwa amlete dogo mjini hamna kitu hapo🙄
Kwel kabisa
Ndio kabisa
Dogo big up kaza umekuja kuwashika obrigado song zuri my boy
Shemela mpya anasauti ya #SamWaukweli marehem Mungu amlaze mahala pema peponi 😥
Anafanana na tecno wa naijeria😂😂😂
Ila anaimba km meja kunta....mpk sauti🥰🥰🥰
Yan kilaa kitu
Goma kali san tena sana dula makabila kumekucha 😂
Nyimbo tamu❤
Big up sana
Nice sooong 👍🏽👍🏽👍🏽
Duuh gigy chonde chonde mtoto wa watuu khaa😂😂
I really Love Giggy she's my type yaani very real
Gigy daaaah hiyo nyimbo kaliiii,
Wimbo mtamu jamani...nimeipenda sana
Jamani nimependaaaaaaaaaaahhh🥰💕
Chudy hapo mwanangu angalia Sana kuwa makini, usije ukashindwa kutoa ngoma Kali
Kwan alikuwa anatoaga izo ngoma kali
Dida yupo hoi 🤣🤣🤣ila gigy money jaman atambemenda mtoto wawatu
🤣🤣🤣🤣
❤❤❤❤
Kiukweli singeli tamu ila sasa hapo kwq Gigy money ndiyo naogopa🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Gigiiiiiiiiiy utambemenda mtoto wa watu weyeeeee😁😁😁😁😁😁😁😁
Gigi umeuwa alafu hana MBAmba Gigy adharan kujiachia hongeraa gigy
Wimbo mzuri kaza
Jamaàaani dogo yuko vizuriiiiii
No hapa si wapenzi... Giggy yupo kazi. Video vixen.. Ndio maana chudy hajajiachia. Gigy ndio kiki na kiki ndio Gigy
🤣🤣🤣🤣🤣Yani Gigy kashajipa mutoto
Vijana wataka wapewe umaarufu tu hakuna mapenzi hapo .
Kiki tu hapo
Hahah kama ulikuwa kwenye akili yangu uyo anampa promo tu mjini akuna kitu apo😅
Goma kali sanaaaaaaaa
😅😅😅kanyimbo kazuli jamani🔥🔥🔥🔥🇷🇼
Akitoboa nae wiki niitwe mbwa nimekaa palee
😂😂😂
😅🤣🤣🤣🤣Hamna kitu hapa kiki tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nafa na kucheka mimi
😄 🤣 😂 😆
Gigy kalapesa bac hakuna mapenz apo
Goma la kitaaa safi sanaaaaaa
Yap njiwa
Anafanana na tekno wa nigeria
Dida kavaa Tinted 😂😂😂
Mbona namsikia meja 🥺🥺
Saut mbona kama mejakunta😳🙄🤔
Dida hoi🤣🤣
Waangaliwe kwa jicho la karibu sana mbwa hawa wakiwa studio wanaweza kulana hapohapo
umeona mbali sanaaaaa😃😃😃😃😃😃😃
Hahahaaaaa!
Gift anaheka heka 😂😂😂😂
Ovyo kabisa😅😅😅
Hee kila mwezi mtu mpya hhhhhhaha
Ila gygy daaagh anatisha wallah 🤣🤣🤣
Meja kama meja hatabaki kuwa nawe utabaki kuwa we sauti kdg km meja lkn meja meja tu
Chudy na Meja wametoka Camp moja Wabishi wa Town ndy maana mnaona wamefanana sauti wote Tandika
Mmekabizi kwa vempaya atanyonywa mafua chalii anajua kuimba ila hapo kwa gigy ndio shida
Hamna kitu gigy style gani ya kucheza
Pongezi ziende kwa menejaa wa Chudylove
Nimependa walivyojiachia ila gigy 😅😅😅
Chudy anamwanae anaitwa alley_atho ni fundi balaa
Nipesa inatembea na jimeka na waso wiso
dogo akimaliza kwa gigy atakula na sofi amelowa apo ndo ílo penz litakufa gigy amuulize kajala yaan life la bongo bana unaona kabs movie itaishia pale
Muimbaji muzuki yeyote kijana wa sasa ambaye Una tegemea Kula na kulala kwa Baba yako halafu mtandaoni mbwembwe nyingi wewe ni mbwa mdoli Tu.i
Hakuna mapenzi hapo ni biashara tuu gigy kashakula pesa yake ya kumpromot kijana!wajanja tu ndo watao elewa
Gigy unajua
Gigy unamleta mujini ao umeripwa mrembo
Wimbo mzuri ila demu shipa
🤣
Idris nae kachachuka
Gigi nakupendaga ila hujatuliya yani wimbo mzuri ila unaruka ruka tu,sijuwi ndo unaweka ualisiya wa jiwa🤨
Dogo hivi hujaambiwa kwamba usinichezee mana wana wake kwa lugha hiyo
Chizi kapata chizi mwezake
Gigi hawezi tembea nahaka kashikaji hapa ni kiki
Gigy kashakula hela yakumpa kiki dogo😊
kwakwel 🤣
Kabisa
Jamani gigy mapesa mkaka watu usije ukamumiz,mmh katakonda ukichaacha,🤣🤣
Mbona kama Jimbo ya meja kunta jaman iyo
Jumalokole yuapi leo bwana umbea
Hili Danga Halina wazaz au ndo kutafta Hera make linanikela had natapk
Apo gigy kalipwa pesa ili amletemjini uyo msanii sio mapenz ayo
Mbona anaimba km meja kunta sasa
Jameni 90% ya wanaume wa kitanzania mbona ni wafupi kama Lionel messi ?dahhh hamunywe maziwa mukuwa watoto?mbona muko bufupi
Msanii mzuri ana kijapi sawa lakini anamcopy sana meja kunta ukisikiza hii nyimbo unamsikia meja wa mamu tupu
Livee
Hatari na nusu
Jamani sikama mond unamsikia harmonise
Kiki
Bada wiki tutaona makorokoro
Kaka ulievaa red mbona unashangaaa
Bodgard wana kazi da!
Upuuzi mtupu