WHOZU : WEMA SEPETU AKINIACHA NAENDA KUJITUPA BAHARINI, NIMEKUFA NIMEOZA KWAKE / SINA TATIZO NA GIGY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 40

  • @dorcasbarazani6001

    Nimependa ginsi unavyomupenda Wema kwa kweli ❤🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪

  • @agwalubifaridah7079

    Whozu and wema❤❤Nawapenda sana

  • @hopefully7090

    Toka umekuwa na wema umependeza

  • @suzanmboya9829

    Wanaume wengi ni waongo wanapotaka kupata kitu lkn whozu upo wazi sana Mungu akubariki mwanangu

  • @shikoshania953

    Siamini huyu ni wozu kawa hivi,katunzwa kawa bonge la handsome😍😍😍❣️

  • @user-ds5tf9xx1d

    Mungu awasimamii muowane nawapenda

  • @suzanmboya9829

    Nakukubali upo wazi sana mtu wng endelea hivyo kuwafunza watu wenye mapenzi ya mkataba unawafunza wengi hongera wema umempata mtu wa muhimu kwenye maisha yako

  • @sophiaemmanuel7999

    Safi sana whozu lazima umtetee umpendae💗

  • @rosenamilia4140

    Woow ,Whozu kumbe ww ni Mchagga wa

  • @user-vx8op6vn1q

    Napenda couple yenu❤

  • @user-qk4lx4hg7g

    Safi sana whonzu huo ndo maamuzi sihihi

  • @shangwefisima3993

    Ila Wema ana nini? Hakuna mtu aliyepita naye akashindwa kukiri kuwWema ni moto 🔥. hongera zake!

  • @ankovictor1564

    Whozu kawa mzuri wema apewe maua yake

  • @user-yb6wh1bk9d

    Weeeeee❤❤❤wemaaaa anayajua mapenzi na mwanaume kafundwa kutulia anasamini penzi la zati na kuliheshim Kuna wanaume ht wapewe upendo Gani km majini hawajali ht shukrani ndokwanza atakuuzi lkn hozu anasamini upendo wa wema na kuujali

  • @LuluLevy

    YAAANI WHOZU AKIWA NA WEMA RAHA TU HAIELEZEKI HAPO SHAHIDI MANUNU PEKEAKE

  • @deeruta9894

    Kajitupe baharini sasa kijana Whooz😂😂😂😂 jitu bovu

  • @beatricemtui3766

    Dada anasauti nzuri sana🎉

  • @MarryPendo

    Mapenzi moto❤

  • @user-cw6jq7cv2k

    Really Wema be responsible, there is life with out a man.