Mm hata nije kuwa bilionea kuna vitu siwezi fanya kama hv, huu ni ujinga tulionao waafrika hasa watanzania. Unakuta amekuja msanii wa kimataifa kuperform then anakuja celebrity wa bongo anamtunza vi-elfu kumi vyetu, yani ni vitu mataifa mengine hukuti hata siku moja wakifanya ila sisi tu
Mashallah
Hongera irene uwoya kumsadia
Shilole mungu akupe zaidi zenye. Kheri. Ameen
Ubarikiwe my dear
Jaman Irene uwoya umejenga Dada 🤣🤣🤣Maana kwa kutunza upo vzr kipenz 🌹🌹👌
Ajajenga na Ana mtoto sijui ata mwachina matako na vigodoro😭
@@queenmilan2024 🤣🤣🤣🤣Wallay. Nimechaka kisenge
@@queenmilan2024 hanaaakili uwoya anapenda sifa ili asifiwe
@@زيتونتنزانيا kabisaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣amabadilisha ma apatment kujenga sio mchezo ukaze roho
Mam P Mungu akupe hitaji la moyo wako ❤❤
Lkn leo umealikwa
Safiiii kula na kulipa. S
Bora ukalishe maskini
Naona sa hv sherehe ikikosa Irene uwoy iyo sio sherehe wamejua kukufanya ketega uchumi
mmmh!!
Iren oyooo boss lady
Shilole anavaaga manguo gani
Buxat
Hizi ni zile pesa za MIKATABA feki
Jackie faidi mahela
Maskini uwoya wenzie wamemzarau mpaka wanakuambiatusaidie wamekuona poyoyo hapo ujifunze kitu
Shishi maneno mengi hela hatoi🤣🤣
Yani hapo uwoya ajifunze wenzie kuongea hivyo wamemzarau
Shilole linaakili japo labwabwaja sana ila limejenga sio kama hao wavaa vigo
@@aminakipande5645 umeona eeeh wala Ana makuu pesa Anazo za maendeleo sio ya kufanya upuuzi kwenye mashuhuri ya ujinga ujinga tuuuh 😏
Irene anatunza ila kanuna, ni kama kalazimishwa.
Kutoa n moyo jmn
Mh honger dada
Shilole una mkono w birika yy atoi uwa kila cku anajifnya sifa nyingi tuu n ujue wenzako wakikuletea uwa wazitafuta pia badilika shishi
Mkumbuke kujenga
Wah hela kama jugu cheei
Shishi food 😃😃😃😃
Shi unatinginya kila kit jamn usiwe unapewa maik ona Sasa umemuita mwenzio bila atensehen wkt nayeye ananafss yake😁😁😁
Shishi nilidhan Isha mashauz jmn sio kwa unene huo
😀😀😀😀
Ujinga unatoa ela ukirud HOME unaanza kujuta misifa kwawatu somizur 😀😀😀mwenziyokaweka akiba ela yamamalishe
Tunatarajia kupata mtt
Uwoya aka jini mapesa
Umeona yani hapa ndio ajue wenzie huoujinga wa kutoa pesa wanamzarau
Hela zimetok Mbali hizo kene kudanga daah
Shishi kanenepa hadi hatari amekuwa pacha wa Asha Boko 😳
Gunia la mahindi 🤣🤣
Sasa si atunze vibunda sio noti moja moja .Irene apenda cfa.ila shishi ana akil
Nyumbani njaa kali
Wala wasikutishe uwa wanarudishiana hawa
Mutunzee vizuli pakaa icu iseme sio shida zenu😂😂😂😂
Kigodoro pambee kwa Uwoya 😂😂😂😂
Bona Tv mnaboa na limziki lenu hilo
Nauliz 2 kwa hz hela zathok kwenye shimo au kwenye poch maan nimeduaa kma samak mfia kweupe
😂🤣🤣🤣
@@aminakipande5645 kwely my yaan ywazichomoa kambae zko hpo shimon...wee wa2 na mihela yao
Mm hata nije kuwa bilionea kuna vitu siwezi fanya kama hv, huu ni ujinga tulionao waafrika hasa watanzania. Unakuta amekuja msanii wa kimataifa kuperform then anakuja celebrity wa bongo anamtunza vi-elfu kumi vyetu, yani ni vitu mataifa mengine hukuti hata siku moja wakifanya ila sisi tu
Hela za mashetan bnaaa
Ila shepu la Irène eeeh toba
Navenye alikula sna
ha ha ha shishi wewe
😂🤣😂🤣😂🤣
Llppppo