Pt1_USHUHUDA WA KUSHANGAZA WA NABII MKE WA CONGO MARIAM KINYAMARURA ALIYEISHI MIAKA 24 BILA KULA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 55

  • @AfirenAfiren
    @AfirenAfiren 4 หลายเดือนก่อน +12

    Haki si siku moja Mungu nione pia kwenye haja za moyo wangu, barikiwa promover kwa shuuda hizi

  • @EspoirMlondani-w9c
    @EspoirMlondani-w9c 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ushuuda ni mazuri promover endeleeni kushuudia pamoja na mzee ana mengi zaidi ya mtumishi wa Mungu amin

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 4 หลายเดือนก่อน +7

    promover mbarikiwe sana ,God can do what no man can do,his ways are far above our ways.🙏❤️

  • @fitinamarando
    @fitinamarando 4 หลายเดือนก่อน +3

    PROMOVER TV mbarikiwe sana wana wa Mungu kwa kazi nzuri mnayofanya.

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Blessed kaka jacktan na Audax na promover tv ❤

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 4 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana huu ndo unabii wa MUNGU AAA HATA KEO WATU WA HIVO WAPO WANAJULISHWA KILA KITU ILA HUYO ALIKUWA NABII MKUBWA SANA NA KUJUA JINA LA MTU NI KWELI NA KUJULISHWA HABARI BADO WZPO MANABI WA HI ILA NI KAZI SANA LAZIMA UWE MTULIVU SANA AAAA NIMEIPENDA SANA HII NA KWELI MAMBO YA MUNGU WENGI HUTUPENDI TWAIPENDA DUNIA

  • @bobnthia
    @bobnthia 4 หลายเดือนก่อน +1

    Promover, Audax unachukuwa mda mrefu Sana wa kuongea. Ningependa uanzie Habari Moja kwa moja. Ubarikiwe

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hata Moses Magembe hanyowagi nywele alimwomba Mungu kwa maana aliona zinamsumbua na Mungu akampa sawa na haja ya moyo wake.

  • @EmanuelMsengi-g4u
    @EmanuelMsengi-g4u 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ni Mungu wa yale yasiyowezekana na yasiyofikirika kwa akili za mwanadamu.aliweza kuumba hashindwi na lolote.

  • @fredmariita8930
    @fredmariita8930 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana promoter munanitia moyo siku sote🙏🙏🙏 MUNGU pia mm naomba siku moja anitokee anieke kua njia saii

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Watumishi wa Mungu.tuko pamoja

  • @annkim2690
    @annkim2690 4 หลายเดือนก่อน +2

    10 years mpaka wa leo bado amesimama lakini Inchi ya Congo Mungu aliipendelea Sana sijui ni vile ilikua ikutwe na vita

    • @joshuakimuha4567
      @joshuakimuha4567 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo vitæ itakwisha maana hata huyo Nabii Mariamu alitabiri juu yake

  • @langistany6811
    @langistany6811 4 หลายเดือนก่อน +5

    Maarufu sana hapa kwetu huo Nabii wa kike, Na sisi tulikua tuna mwita NABII MARIAMU WA ABELA. Huo mama alitumia na Mungu kwa viwango vikubwa sana.

  • @zawadiEsther-gt2iw
    @zawadiEsther-gt2iw 4 หลายเดือนก่อน +6

    Baba Askofu Moses Kulola Alimuongeleya uyu Nabii Miriam

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Glory glory glory hallelujah

  • @jastinewilliam4475
    @jastinewilliam4475 3 หลายเดือนก่อน

    Amina najifunza

  • @JohnFisha
    @JohnFisha 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @koperawasona9551
    @koperawasona9551 4 หลายเดือนก่อน +1

    Iyo ushuuda nikweli kabisa baba yangu aliwahi kunisumulia kabla ajafa alimuona uyo Mariamu walutabula kabela congo karibu na baraka.

  • @marthaumazi2197
    @marthaumazi2197 4 หลายเดือนก่อน +1

    Promover Mungu awabariki sana kwa huduma zenu.

  • @linetmusee6431
    @linetmusee6431 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina!

  • @utakatifunahaki5095
    @utakatifunahaki5095 4 หลายเดือนก่อน +4

    Promover si mtoa shuhuda hivyo atoaye shuhuda ndio unaweza kumuuliza vema upate usahihi. wao promover ni chombo cha Habari cha wote na mtoa shuhuda ndiye anajua yote, si promover

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mubarikiwe sanaa Promover TV

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe pia

  • @AnnaNgobola-pm7fz
    @AnnaNgobola-pm7fz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Umenikumbusha kuhusu huyo mariamu nllimsikia tanngu miaka ya 1970 kupitia moses kulola

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akili zake si kama zetu. sisi tungesema asimfunge kwenda choo instead angemponya ili aweze kujipeleka haja. lkn mambo yaMungu ndo ivo

  • @Misigaro8246
    @Misigaro8246 3 หลายเดือนก่อน

    Mwendelezo plsss

  • @BYAMUNGUGERLASMASHAURI
    @BYAMUNGUGERLASMASHAURI 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nahitaji hicho kitabu. Naishi DRCONGO , butembo. Naomba musomapo ujumbe huu, nipeni jibu

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mariam nikisikiza ushuda vile mzee anaelesa nikama EZEKIEL WA KENYA 🇰🇪

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 4 หลายเดือนก่อน

      Ezekiel alihubir lini mapenz ya Mungu haki uko kusema mipango ya kando ilazwe wodi number 8 ndio pendo la Yesu 🤔

  • @esterlwanda
    @esterlwanda 4 หลายเดือนก่อน

    Kitabu hicho tunakipataje na sisi

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa nini muhusika asitoe ushuhuda yeye mwenyewe???

    • @SelestinaHamis-dw1gs
      @SelestinaHamis-dw1gs 4 หลายเดือนก่อน

      Tuliza akili usikilize kwa makini ili uelewe

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani hicho kitabu napataje

  • @Blessedboi8019
    @Blessedboi8019 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hata mwezi mmoja tu bila kula, mtu anaaga, iweje mtu akae miaka 24 bila kula na awe hai? Promover mumeanza kujinajisi wenyewe. This is fake testimony

    • @mobilebeats3086
      @mobilebeats3086 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona musa alifunga siku arobaini bila kula chochote kwani alikufa sabu yakutokula ndugu usipende kuhukumu Muulize Mungu ndiyo uongee acha maneno Roho wa Mungu yupo Muulize ila sio unachafua channel unazani kwa Comment yako inaweza fanya kazi ya Mungu isiaminike kwenye hii channel kwaiyo acha maneno kama unaona wamekosea promover watafute DM

    • @nunyabizactually6928
      @nunyabizactually6928 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nakuonea huruma sana,you're too carnal minded😂

    • @zawadiEsther-gt2iw
      @zawadiEsther-gt2iw 4 หลายเดือนก่อน +1

      It is not fake ni kweli. Uyo Alikuwa amechanguliwa na Mungu. Na Moses kulola alienda Congo kumuona uyu nabii. Kuna hata namwengine mama Zawadi naye Mungu kamufanya mambo kama hayo yeye haiti choo

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu ni Mungu tu akili zake hazina mpaka,na hazichunguziki ,Mungu hufanya atakavyo ndugu,

    • @myself4128
      @myself4128 4 หลายเดือนก่อน

      wat does a miracle mean to you?do u know the power of God?Have u experienced the presence of God in your life?before u type some nonsense Just reserve some Respect,some people have Encountered the divine so dont just comment prematurely!ur so dumb! There is a man in india he hasnt eaten for 72 years&they brought him to the UK for Research activities&he stayed watched live on cctv for 3 months without food or water,&he was very active

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu alimpa mwili,mfanano na maisha wanaoishi watakatifu Mbinguni ,

  • @linetmusee6431
    @linetmusee6431 4 หลายเดือนก่อน

    Amina!

  • @linetmusee6431
    @linetmusee6431 4 หลายเดือนก่อน

    Amina!

  • @linetmusee6431
    @linetmusee6431 4 หลายเดือนก่อน

    Amina!