HELLO TH-cam Family, Marriage was initiated by God and therefore both partners should respect it , Marriage is one thing that God respects so much bcz it was meant for procreation. 🙏🙏🙏🙏🙏🫶
I don't understand the language you are speaking. However, there are words you seem to use often in your videos, and I'm wondering what these words mean; 'sawa' and 'pamoja'. The spellings may be wrong, but that's how they sound 🤔 Also, baba Jimmy sounds fluent. How long did you live in Kenya, and how did you learn the language? You make learning a language sound easy and fun😅
Hello mama Jimmy n'a baba Jimmy nawapenda sana,mume wangu anaitwa Jimmy😊nimefurahi kuon umesoma iyo andiko ya 1peter.mimi ni ex muslim.nimeokoka nampenda YESU,ningekuomba mama Jimmy umuuliz roho mtakatifu kuusu kusuka nywele kuvaa suruali.mimi naishi France kunabaridi kali ila navaa suruali kwa ndani juu natiy kanzu yangu ndefu ili nijikinge n'a baridi.tukiongozwa na roho wa Mungu atatufundisha mengi.Asante sana kwa mafundisho😊
Question I need an answer. niliolewa katika ndoa takatifu na mume wangu akanidingizia ya kwamba nimeenda nje ya ndoa na haikuwa kweli na akaendelea akaowa mke mwengine. Je Mimi nitakaa hivyo? Au pia Mimi niolewe ? Nimekaa miaka 7 bila mtu. Naomba mawaidha
Ni ngumu kwangu kupeana mawaidha kama sijawajua na kuelewa hiyo hali kiundani. Advice yangu ni soma maandiko, omba Mungu akuelekeze, tena tafuta ushauri kwa watumishi wa Mungu karibu na wewe.
Thanks for the video dear couple. It would be great to do a follow up video too please in order to discuss how some men and even some women use this teaching to abuse their partner. There is such a thing as marital rape. There is also the issue of pregnancy after pregnancy and how it can really destroy a woman's health, both physical and mental/emotional, and even kill her. I know you know first hand how difficult and dangerous and debilitating and terrifying pregnancy can be. And not every woman can be on chemical birth control methods due to blood clots, hypertension, various reasons, and the husbands of these women still refuse to use condoms so the woman ends up having to risk her life over and over again because of pregnancy. It's not always just that a woman is denying her husband as a manipulation tactic. She could be dealing with issues like trauma from past abuse, vaginismus, incontinence, prolapse, erosion, pelvic or spinal joint or bone issues etc. Many issues could be going on and she might be too ashamed or afraid to explain to her husband, or she may feel that he would not care about her suffering and so her trauma will just keep accumulating until she is just mentally gone. Men also could have traumas, ED, pain conditions etc. So it would be great if you could expound on these topics further because a lot of people watch your videos and are influenced by you and may use your video to justify wrong behaviour in marriage. Thanks very much.
Family Jimmy. I love you but I have one thing with mamma Jimmy .Mimi vile nanjua Ni MTU ambaye ameokoka mapambo yake yanafaa kueleza Na hata kuwa tofauti Na ya MTU wa ndunia .si Umesoma wewe mwenyewe juu ya mapambo .swali Ni Jee mapambo yako yafanana Na ya mlokole wa Jesu? Wengi Ni walimu wa Neno lakini hata Jesu mwenyewe anashangaa .Neno lasema tusipende ndunia watu wa Mungu shetani amendanganya wengi .wacheni matendo Yenu yaambatane Na Neno mnalohubili nawasihii .wakristo wengi wanapunguza utakatifu Na Neno lasema kama huwezani Kaa Na utumikie ndunia .wengi mtakataa ujumbe Huu lakini hii iwe hukumu Yenu siku ya hukumu kwa Jina la Jesu .
Hey guys, what is your favorite part of the video? Please comment down below, and don't forget to like and subscribe!
Colorhian 7
HELLO TH-cam Family, Marriage was initiated by God and therefore both partners should respect it , Marriage is one thing that God respects so much bcz it was meant for procreation. 🙏🙏🙏🙏🙏🫶
I don't understand the language you are speaking. However, there are words you seem to use often in your videos, and I'm wondering what these words mean; 'sawa' and 'pamoja'. The spellings may be wrong, but that's how they sound 🤔
Also, baba Jimmy sounds fluent. How long did you live in Kenya, and how did you learn the language? You make learning a language sound easy and fun😅
Wasinyimane
My favorite part of the video is 10:23 where Mama Jimmy refuse to give us advice on kunyimana 🤣🤣🤣
Marriage is beautiful .....esp if both are committed to biblical teachings
I have enjoyed the teachings. The marriage bed should be honoured by all
Marriage is beautiful! Humbling ourselves one to another ❤
Beautiful couple keep on teaching the word of God that's amazing pastor
Nice teaching Wa Jimmy's. May you forever be grounded in the word of God.
Baba jimmy is funny and a whole vibe
I like the way you quote Bible verses
That was a nice walk coupled with solid teaching ❤
Pastor Baba Jimmy and Mama Jimmy, Asanteni sana 🎉
Nipitie
Watching from kenya. Iam very happy.
Asanteni sana kwa mafundisho mazuri kuhusu ndoa.
Awesome video 🥰🥰🥰
Hiyo dress ya mama Jimmy Ni smart sana
Good work my children, baba jimmy congrats na mafundisho.
Blessings
Tumebarikiwa sana leo. Asante kwa neno.
Good teachings, God bless
Good teachings I have gained alot Amen 🙏
Finally mumeamua?! Karibuni our young couple nawapenda sana ❤
wameamua ?? kwani hawakua wameamua?
Wow, that's very inspiring for couples, mama Jimmy wacha kuwa shy.
Well done wa kwetu❤
Mafunzo mazuri mno🎉
Wow nice message
Mama Jimmy is very shy 😂😂😂 yeye atasoma tu verse 🙏🏿
Mama Jimmy. uliangukia mzee mzuri.. weka huyu.
Nice teaching
Mama Jimmy ako na Ball???
Mafundisho kwa wingi please. It's a blessing
Wapendwa. Mafunzo mazuri sana
Team kupitiana twende nalo nimefika ❤❤❤
Hiyo .topic ndio pillar ya ndoa#kupeana hapans nyimana❤😂
Mafundisho mazuri wajimmy asanti Sana Baraka iwamiminikie kama mvua 😂😂😂😂😂
Awesome 👌 👏 👍
Papa Jimmy nisaidieko invite nitembee US
Naonako ni kama tutakua na baby shower Kwajili mama chimmy ako na ball🎉😂
Good Vlog 😊 and teaching 😊UK
Mama chimmy ni mzuri anyimani😅😂
Mnialike nitakuja kutembea.
Team kupitiana nipitieni niwapitie tugrow please ❤
Hello mama Jimmy n'a baba Jimmy nawapenda sana,mume wangu anaitwa Jimmy😊nimefurahi kuon umesoma iyo andiko ya 1peter.mimi ni ex muslim.nimeokoka nampenda YESU,ningekuomba mama Jimmy umuuliz roho mtakatifu kuusu kusuka nywele kuvaa suruali.mimi naishi France kunabaridi kali ila navaa suruali kwa ndani juu natiy kanzu yangu ndefu ili nijikinge n'a baridi.tukiongozwa na roho wa Mungu atatufundisha mengi.Asante sana kwa mafundisho😊
Hello sorry for this question but mbn ulitoka kW islam😢
Na kuoa wanawake wawili watatu hivi?
Question I need an answer.
niliolewa katika ndoa takatifu na mume wangu akanidingizia ya kwamba nimeenda nje ya ndoa na haikuwa kweli na akaendelea akaowa mke mwengine. Je Mimi nitakaa hivyo? Au pia Mimi niolewe ? Nimekaa miaka 7 bila mtu.
Naomba mawaidha
Enda ukaolewe
@@jackychelimo2453😂😂😂😂
@@The_farmers_daughter 😂 for real she should
Ni ngumu kwangu kupeana mawaidha kama sijawajua na kuelewa hiyo hali kiundani. Advice yangu ni soma maandiko, omba Mungu akuelekeze, tena tafuta ushauri kwa watumishi wa Mungu karibu na wewe.
10:23 🤣🤣🤣 Mama Jimmy is shy she doesn't want to give advice on kunyimana 🤣🤣🤣
Watu wapendane wanyonyane na walambane
Nipitie
Kutonyimana kwenye ndoa
Mimi ndiyo,nilivyo mabadiliko ntayafanya
Thanks for the video dear couple. It would be great to do a follow up video too please in order to discuss how some men and even some women use this teaching to abuse their partner. There is such a thing as marital rape. There is also the issue of pregnancy after pregnancy and how it can really destroy a woman's health, both physical and mental/emotional, and even kill her. I know you know first hand how difficult and dangerous and debilitating and terrifying pregnancy can be. And not every woman can be on chemical birth control methods due to blood clots, hypertension, various reasons, and the husbands of these women still refuse to use condoms so the woman ends up having to risk her life over and over again because of pregnancy. It's not always just that a woman is denying her husband as a manipulation tactic. She could be dealing with issues like trauma from past abuse, vaginismus, incontinence, prolapse, erosion, pelvic or spinal joint or bone issues etc. Many issues could be going on and she might be too ashamed or afraid to explain to her husband, or she may feel that he would not care about her suffering and so her trauma will just keep accumulating until she is just mentally gone. Men also could have traumas, ED, pain conditions etc. So it would be great if you could expound on these topics further because a lot of people watch your videos and are influenced by you and may use your video to justify wrong behaviour in marriage. Thanks very much.
Family Jimmy. I love you but I have one thing with mamma Jimmy .Mimi vile nanjua Ni MTU ambaye ameokoka mapambo yake yanafaa kueleza Na hata kuwa tofauti Na ya MTU wa ndunia .si Umesoma wewe mwenyewe juu ya mapambo .swali Ni Jee mapambo yako yafanana Na ya mlokole wa Jesu? Wengi Ni walimu wa Neno lakini hata Jesu mwenyewe anashangaa .Neno lasema tusipende ndunia watu wa Mungu shetani amendanganya wengi .wacheni matendo Yenu yaambatane Na Neno mnalohubili nawasihii .wakristo wengi wanapunguza utakatifu Na Neno lasema kama huwezani Kaa Na utumikie ndunia .wengi mtakataa ujumbe Huu lakini hii iwe hukumu Yenu siku ya hukumu kwa Jina la Jesu .
Tunawapwnda mama jimii na baba jimii
Mafundisho mazuri
Upcoming youtubers let's gather here and grow together
Ala! 😊
👍
Nimewatch yote ata kama niko single😂😂😂😂
Pia mimi😂
Me too. Our time shall come. Let's learn in advance.
@@agnetaawino3006 Amen
Musinyimane
Wa qwanza
God bless you dears,neno la Mungu ni Ndio na Amina,mnajenga (wala sii kubomoa) ndoa nyingi sana duniani
Baba Jimmy watu tiktok wanasema unajitetea😂😂😂😂
Nipitie
Mmeanza kuaribika😂
Aje na ni neno la Mungu?🤔🤣
Ukweli😂😂😂
Baby bump ❤@@BabaJimmy.Official
Surely ndoa ni mfanyano tupu n bibilia
❤❤❤❤❤
Good teachings but also remember we have the old testament!eg Jacobs daughter s to Laban! King David king Solomon
Very educative u gonna go far guys keep the fire blazing
Sasa hapo kujipamba kweli nisawa mbona wewe unahonah haje kuusu kusukwa?
Jifunze kwanza kuandika ndio ulize swali.Kwani bibilia yako inasemaje kuuhusu kusukwa nywere?
Kitu kwa meza ni 50-50
Team kupitiana🙏 gather here let's grow together
Watu wameoana msinyimane
😂😂😂😂
😂😂😂
Kunyimana ni dhambi 😂
Nipitie
❤❤❤❤