Shukrani zangu zote kwenuuuuu,waigizaji wote mahiri,na pia Muna ujuzi mzuri,kwenye tamthilia zenuuu,Mr hebugwaaaaaaa nakupa hongeraaaaa,na shangwe katika filamu zako zoteee,,,,,hutujuzaaa jinsi mwalimwengu na ulimwegu ulivoooo,,,,na mambooo yalivooo duniani yanatendeka au yaliyotendekaaa,,,,,,,,,,muelekeo mzuri na pia nyoyooo zetu humakinikaaa,wakati tuangaliapooo,,,,filamuu zakooo Mr hebugwa,,,,,,,,,,,mafunzooooo mazuri,,,,,,asanteniiii mungu awapeeee nguvuu,ummojaaaa ,mushirikianeee,mushikaneee ,,,,,,muzidiiiii kuendeleaaaaa,,,,,,,Kila la heri nawatakia,,,,,,na rabby awazidishieeee umriiiii,,,,insha Allah,

Miye Niko na soma apa commentaires zenu😂😂 wa taalamu wg mujikaze mututosheya movie za mungu ita kuwa vizuri sana😮
Ongela sana kwa muvi zako ni nzuli sana nazipenda San mungu akubaliki san
wabong mmezid punguzen uchaw 😀😁😂😃😄😅😆😇☺🙂🤗🤔
Ebugwa wafanana na Vunja bei🥰🥰🥰
Wow ❤❤❤❤❤❤
Ebugwa movie zakosana nzuri ila aziendelei zinaujumbe mzurisana
Aisee you are very good or better than I beg you not to worry about people's opinions, everyone will say their own but you are very cool, good job
Ndo mwisho wa movie au??
Mashaallah nimeipenda hii movie ni nzur xn
Nawaonea ❤ sana tuu
Bonge mmezidi Kila Muv niuchawi sijui ndo uwezo wenu wakufikili ulipo ishia..😂😂😂😂😂
Humu kwenye hii chaneli kuna movie tofautu tofauti acha chuki binafsi
Wanauwakilisha uhalisia wa mkoa wa kigoma
Kwakweli imeliona hilo nawewe😢
@@Nailaty564ni Tanzania nzima hakuna movie itaisha bila kuwa na uganga au uchawi
Haya ndio maisha yalivyo sio Hali halisi Kama hayajakutokea huweza jua maana ya hizi movie
Ebugwa umechemsha mbona hivi 😢😢😢 hii movie aaaaahh
Nmeipenda sana❤
Punguzen story nyingi mnoo mnaifanya isinoge
Sura zenu zinaendana na movie zenu za kichawi na vifo mnauwakilisha vyema uhalisia wa kigoma
Ayo mambo yakigoma😂😂😂😂
Congratulations 🎊.
Movie zenu nzuri ila tunaomba mtunge pia za Mungu hata kama mnajua ya uchawi
🤣🤣🤣🤣🤣mna furahisha
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉
Huyo Shangazi wa ebugwa namshutukia jazani ndo mchawi
Edit ziongezewe ubora tena kuhusu swala la sound Yani sounds edit mbovu sana
Movie nzuri ila nimegundua hampendani wabongo usikute ww ni jamaa wakaribu wa waandaaji chuki binafsi..watafika tuu mbali toaen maoni kwa njia rafiki
Muvi mzuki
Wachawi kwakujiamini
Makubwa 🤔😭
Alafu huyu kakako ebugwa Ako n mtu kweli
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤