nifinyange kuabudu instrumental beat

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @joshuawangao1285
    @joshuawangao1285 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maombi kwli ya fike kwako asantente sana ongela na kaz mungu azid kuku linda kabisa

  • @CorneliusWafula-s8c
    @CorneliusWafula-s8c 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nice

  • @felixizmulonzi4147
    @felixizmulonzi4147 2 ปีที่แล้ว +3

    Spiritual one 💥🔥🔥

  • @JohnKayuti
    @JohnKayuti 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uwena maisha bora na malefu ili jamii iweze kukutumia kikamilifu

  • @emanueljoely800
    @emanueljoely800 2 ปีที่แล้ว +3

    tupeee zingine tena

  • @evelynerobertmaduwilu7991
    @evelynerobertmaduwilu7991 2 ปีที่แล้ว +3

    Saaafi

  • @irenenjeri3143
    @irenenjeri3143 ปีที่แล้ว +6

    Maombi yangu yafike kwako (May my prayers reach You)
    Moyo uliyobondeka, hutadharau (For You will not despise a broken heart)
    Kiu yangu, haja yangu (It is my thirst, and my need)
    Nifanane nawe, nifanane naye (To be like You, to be like You) (Repeat)
    Refrain:
    Nifanye kama wewe (Make me as you are)
    Unifinyange, nifinyange (Mould me, mould me)
    Wakinitazama wakuone wewe (When they look at me, let them see me)
    Unifinyange, nifinyange (Mould me, mould me) (Repeat)
    Spoken:
    Inua mikono yako sasa mahali ulipo wewe umwambie Bwana akufanye upya utu wako wa ndani
    (Lift your hands where you are and ask the Lord to renew Your spirit)
    Tufinyange! Tufinyange! (Mould us! Mould us!)
    Roho yule yule aliyefufua Kristo katika wafu anaishi ndani yetu
    (The same Spirit that raised Christ from the dead leave
    Naye ataiisha miili yetu iliyo kati ya kufa (And he will restore our flesh from the dead)
    Anafanya jambo jipya(He is doing something new)
    (Refrain)
    (Bwana) Anafanya jambo jipya (The Lord is doing something new)
    Je, hatukuliona? (Did we no see it?)
    Macho yana shuhudia (The eyes witness it)
    Masikio kusikia (And the ears hear it) (Repeat)

  • @joycemainaofficial1209
    @joycemainaofficial1209 ปีที่แล้ว +3

    Amazing 👏👏👏....can someone use it?

  • @LoveneMunyua
    @LoveneMunyua ปีที่แล้ว +5

    It is great but would you mind to add the lyrics so that it can guide whoever is singing

  • @barakaelias1116
    @barakaelias1116 2 ปีที่แล้ว +1

    Tupe zingine tena

  • @yohanapeter7797
    @yohanapeter7797 2 ปีที่แล้ว +4

    ❤️❤️

  • @becksonmawazo4560
    @becksonmawazo4560 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana