Qasida mpya inayotetemesha Mji. Kwa wasiopenda tumwa kusifiwa twawapa khabari

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 32

  • @MadrastulAnswar
    @MadrastulAnswar 13 วันที่ผ่านมา +1

    Sisi na mtume mtume na sisi mpaka peponi Inshallah ❤❤❤❤🎉

  • @AminaMumbo-p8u
    @AminaMumbo-p8u หลายเดือนก่อน

    Sisi na mtume mpka pepon yarabbii ameen inshaallah

  • @abdallahferouz9238
    @abdallahferouz9238 20 วันที่ผ่านมา

    اللهم صل على محمد يارب صل عليه وسلم ❤

  • @AdamuSultan-z8y
    @AdamuSultan-z8y หลายเดือนก่อน +3

    Nipewe like wa kwanza kuwatch

  • @hassanaboud8442
    @hassanaboud8442 หลายเดือนก่อน +1

    S 🌟 A 🌟 W 🌟

  • @aminashekuwe670
    @aminashekuwe670 หลายเดือนก่อน

    Swallallahu alyhi wassallam

  • @ibraa1157
    @ibraa1157 หลายเดือนก่อน +1

    Swalluuuuu....❤

  • @ThirbThirb
    @ThirbThirb หลายเดือนก่อน

    Kweli hawa watu mtihani, maajabu wanaita upuuzi huu kuwa ni dhikri.

  • @Harshbwoy-u8s
    @Harshbwoy-u8s หลายเดือนก่อน

    Mtume na sisi mpaka peponi twariqa juu

  • @AdamuSultan-z8y
    @AdamuSultan-z8y หลายเดือนก่อน

    Mashalaah

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 21 วันที่ผ่านมา

    Mukitaka kuwa na mtume peponi mfuateni mumtii yeye sio kumzushia katik dini.

  • @AdamuSultan-z8y
    @AdamuSultan-z8y หลายเดือนก่อน

    Taqibir

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 21 วันที่ผ่านมา

    Hapo ukihesabu waliofuata amri ya mtume ya kufuga ndevu ni wachache sana, ukichunguza hata hao waliofuga ndevu wazipunguza na kuzichonga kama wasanii

    • @swalehali9760
      @swalehali9760 16 วันที่ผ่านมา

      Nani alikwambia ndevu nifaradhi kuziwacha kwani sunna ni ndevu tu

    • @kilulamofi7926
      @kilulamofi7926 13 วันที่ผ่านมา

      Wengine Allah kawaumba kutokuwa na ndevu nyingi halafu hizi ni sunna ndugu yangu katika imanii

  • @zuheirtammam5532
    @zuheirtammam5532 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi na Mtume peponi ipi?
    Swala ya Alfajiri yawashinda kwa jamaa. Timizani wajib kwanzo

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 หลายเดือนก่อน

      Mbona unachanganya habari swala ya alfajir imetokea wap hapo😂

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 หลายเดือนก่อน

      Alafu unaongea kama mshekaji wa tanzania anaitwa bambo. "TIMIZANI" "KWANZO"😂

    • @NajibOmar-ud1tw
      @NajibOmar-ud1tw 28 วันที่ผ่านมา

      Tuandikie sote hatukuswali alfajiri basi kama mungu alikupa ww kitabu cha kuandikia watu walio swali na wasio swali

  • @MwadinBakar-f9q
    @MwadinBakar-f9q 25 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ni message tosha kwa Marekani kwamba PROPAGANDA yao dhidi ya Uislam imeshindwa hata wahonge vipi haifuti mapenzi yetu kwa NabiyAllah ❤

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni taarabu au ni mipasho maulidi ?

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b หลายเดือนก่อน

    makhurafi wanatabu yani duhh,hivi hawa kweli waambiwe nini ndio waelewe taarabu hizi na bado eti tu wanadai tu nikatika dini!!

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 หลายเดือนก่อน +1

      Mawahabi mna tabu duhh, Hivi nyinyi muambiwe nini muelewe kuwa mambo hayo hayawachwi.

    • @NajibOmar-ud1tw
      @NajibOmar-ud1tw หลายเดือนก่อน

      Sisi na mtume mtume na sisi MPKA PEPONI

  • @khalfaanjeilaan3922
    @khalfaanjeilaan3922 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyinyi na mtume na videvu kama shilingi mnanyoa ndevu kanzu mnaburuta kama madera muko wapi na suna za bwana mtume.

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 หลายเดือนก่อน

      صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم
      Kubali jambo kwanza kisha na wewe ndo uongee

    • @bilalikaoneka5080
      @bilalikaoneka5080 หลายเดือนก่อน

      mbona ww Sunna ya qiyamu layl

    • @MayaCandy-vy5fe
      @MayaCandy-vy5fe หลายเดือนก่อน

      Sawa Mr perfect thank you for being our judge 😂😂🤌

    • @NajibOmar-ud1tw
      @NajibOmar-ud1tw 28 วันที่ผ่านมา

      Ndevu na kanzu fupi tumekuachia ww swahaba

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@NajibOmar-ud1tw looooh hatari amri ya mtume ya kufuga ndevu na kuvaa kanzu fupi huitaki wamuachia mwenzako uyatakao wewe ni ya uzushi, subhanallah Allah akuongoze upende ya sunna na uchukia ya bid'a.