Zahir Ndugu Yng Nakuomba Achana Na Hayo Mambo Ya Mziki Umeyafanya Sn Ujanani Ss Tumrudie Mungu Atusameh Tulipo Kosea Allah Mwingi Wa Kurehem Na Kutusameh Dhambi Zt
Eti Mtu anakuambia acheni mambo ya Kidunia, Wakati ukifanya kitu usichokipenda kutoka ndani ya Moyo wako ni kosa na nidhambi, Mzee fanya unachokipenda na Mtukuze Mwenyezi Mungu hakuna anaye jua utafika vipi kwake. MUNGU AKUBARIKI SANA
@RashidHamis-h2g Ushetani unajua ww, Mzee amekuwa mwana Muziki Muda mrefu kwaiyo unataka kusema akiimba ni Ushetani, huo ni uongo na uoga tu ulionao wewe
@@RashidHamis-h2gifika mahali tuongee ukweli yeye fani yake ndio hiyo afe njaa ndani. Matajiri unadhani pesa zao ni halali kaa usubiri kama utamiliki gorofa utabaki ooo tulikuwa nae hata nguruwe fuga pesa ni pesa hakuna pesa mbaya Wala nzuri
Huyu mzee amrejee mola wake hakika mola humsamehe yoyote hata awe amefanya israf katika madhambi humpokea akitubia kwa hakika ya kutubia Asijione haya kumrudia mola wake na kutubia
Aliyekwambia kutubu mpaka uwe Mzee alikujaza upumbavu, NAMI nakwambia mkumbuke Mungu siku za ujana wako na tubu wakati wowote unapofanya madhambi maana waweza kufa wakati wowote usije kufa na madhambi yako
Now this is music. 🙌🙌 Na haya ni mapinduzi makubwa sana kwenye Tasnia!!👏👏
Zahir Zoro The untouchable Vocalist kama wanae tu gonga like kama unamuelewa mzee🎉 maua yake
Zahir Ndugu Yng Nakuomba Achana Na Hayo Mambo Ya Mziki Umeyafanya Sn Ujanani Ss Tumrudie Mungu Atusameh Tulipo Kosea Allah Mwingi Wa Kurehem Na Kutusameh Dhambi Zt
Lord eyez my old time best hiphop artist
Nimefurai Sana kuona mziki wetu imebadilika Sana Tena wakongwe bado wanafasi kubwa
King kama king Fid Q ni mzuka sana mzee
Eti Mtu anakuambia acheni mambo ya Kidunia, Wakati ukifanya kitu usichokipenda kutoka ndani ya Moyo wako ni kosa na nidhambi, Mzee fanya unachokipenda na Mtukuze Mwenyezi Mungu hakuna anaye jua utafika vipi kwake. MUNGU AKUBARIKI SANA
@@octaaalyiii9539 kwaiyo wewe una taka aimbe mpka afie jukwaan sndio , uwo ni usheteni sas
@RashidHamis-h2g Ushetani unajua ww, Mzee amekuwa mwana Muziki Muda mrefu kwaiyo unataka kusema akiimba ni Ushetani, huo ni uongo na uoga tu ulionao wewe
@@RashidHamis-h2gifika mahali tuongee ukweli yeye fani yake ndio hiyo afe njaa ndani. Matajiri unadhani pesa zao ni halali kaa usubiri kama utamiliki gorofa utabaki ooo tulikuwa nae hata nguruwe fuga pesa ni pesa hakuna pesa mbaya Wala nzuri
Huyu mzee ni pure talent hasa
Nakumbuka wimbo wako wa Kimulimuli uitwao Salima "salimaa salimaa ooh mama" Lkn kwa sasa hauna mvuto tena rudi kwa Mola wako tu mzee wangu
Anaijua sana
Pole mzee 😢wetu Zahir haijawah pita mwez nisisikize nyimbo za maunda_mapenz ya wawili na nataka niwe wako wheel chair vip tena
Undisputable Vocalist
Mzee zolo ww ni hatari umetisha
Likes kwa Mex cortez🔥🔥and damian soul 🔥🔥
True love Kwa Baba banana
Achane na ayo mambo ya kidunia tena umri usha mtupa ,arudie mungu wake tena
😂😂😂😂 kwaiyo ww una hisi hana Mungu sbbu anaimba. Dah una shida
Aachane na mambo ya kidunia na yupo duniani 😂😂😂 tz sihami
Mambo gani unayofanya sio ya kidunia
Kweli kabisa unasema kweli mwenzi mungu akubariki kwa kukumbusha na
mungu yuko wap we unamjua mungu wazungu wamekuhribu kwaiyo akilidi kwa mungu afi
Hamjarekodi sawa na kiwango cha show ilivyokuwa
Yarabi mjalie baba yangu mwisho mwemaa maana hii dunia ni yakupita
Noma sana
KING EASY PANDE HIZ NDANI YA CLUB NA MACHIZ Lodiiiiiiiiiiiiii
Uyu mzee ni zaid ya mwanamuziki , faridi kumpa collabo zaid ya tatu uyu dingi anajua alichonacho
Very true
Huyu mzee amrejee mola wake hakika mola humsamehe yoyote hata awe amefanya israf katika madhambi humpokea akitubia kwa hakika ya kutubia
Asijione haya kumrudia mola wake na kutubia
Shetani ana nguvu sana. Umesema maneno makubwa sana. Tumuombee kwa Allah amrudishe kabla hajachelewa.
Ni kweli
nikweli kabisaa uyu mzee ange anza kumludia mungu kwahapa alipo fikia jamani achane nahaya mambo sasa
Safiiiiiii
Akiimba kwaya ndo hata kuwa na na dhambi?
Mzee Fanya istighfar uombe mwisho mwema
BEST IN TANZANIA AND AFRICA IN GENERAL, BEST VOCALIST NON OF THESE KIDS CAN MATCJ
Cheupe ngada
Bonge la showw
Tuombe mwisho mwema
Nouma sana
Wewe unayemuhukumu huyu binadamu mwenzio aliyekuambia kuimba jukwaani ni dhambi ni nani, jiangalie kwanzwa wewe
Kwani alimwambia shetani ""nitakutumikia mpaka mwisho??"
Cleopatra
Sorry hivi cleopa ni kampuniii au
@@Peterchila-un2lxi ni msichana mrembo alikuwa na uzuri wake wa ajab kuna vitabu vinaelezea history yake tafuta na usome
Hichi kipindi alichofikia huyu mzee nichakutubu aachane na majukwaaa labda aimbe kwaya
Aliyekwambia kutubu mpaka uwe Mzee alikujaza upumbavu, NAMI nakwambia mkumbuke Mungu siku za ujana wako na tubu wakati wowote unapofanya madhambi maana waweza kufa wakati wowote usije kufa na madhambi yako
Ili awe mzinzi kama wanakwaya 👀
@@bcozhenry2698 WATU WANA UMASIKINI WA FIKRA, IQ NDOGO SANA