Duh!!! Nyimbo hizi zimenipa kumbu- kumbu za marehemu Julius Nyaisanga wakati wa Club Raha Leo Show-RTD!!!!...Kwa kweli wafalme wa Muziki Afrika Mashariki walikuwa na bado wapo Tanzania-Wana Ndekule, DDC, Vijana Jazz n.k. Mungu awarehemu wanamuziki waliotangulia mbele za haki! Tuwatunze waliobakia kama mboni ya macho kwani walitufariji pakubwa wakati huo!
Kuna wimbo WA zamani uliokuwa WA sema, Kwaheri sana kaka yangu I mama, nakutakia safari njema u kama, usalimie Baba na mama yangu. I don't remember the title of the song. It was between 1975 to1985. Can someone come out with it pls.
For more african music you can visit our website www.afrosunny.com/
Anatudharau sisi eti kwa sababu sisi hatuna kitu,ndugu zake baba walikuja kueneza chuki kwa mjomba wangu ,shukrani kwa Mjomba.
Duh!!! Nyimbo hizi zimenipa kumbu- kumbu za marehemu Julius Nyaisanga wakati wa Club Raha Leo Show-RTD!!!!...Kwa kweli wafalme wa Muziki Afrika Mashariki walikuwa na bado wapo Tanzania-Wana Ndekule, DDC, Vijana Jazz n.k. Mungu awarehemu wanamuziki waliotangulia mbele za haki! Tuwatunze waliobakia kama mboni ya macho kwani walitufariji pakubwa wakati huo!
Hii Albums ya shukrani kwa mjomba ilikuwa Kali sana. Na hili usimchezee chatu
Gurumo mungu akurehemu.
Shukrani kwa mjomba
Mjomba wake alikuwa akiitwa Isihaka Kibene amemuweka bayana alipokuwa Msondo na kumtaja sana Isihaka Kibene”
Kuna wimbo WA zamani uliokuwa WA sema, Kwaheri sana kaka yangu I mama, nakutakia safari njema u kama, usalimie Baba na mama yangu. I don't remember the title of the song. It was between 1975 to1985. Can someone come out with it pls.
Hivi vipaji hivi Tanzania bado tunavyo ?
Kweli bichuka
Bichuka ni noma,ile mashine ingine