Dogo langu Diamond Platinums keep it up,hakika wewe ni mtu mwenye huruma na upendo kwa watanzania wenzako na huna mkono wa birika na ulichokusanya miaka yote unagawana na watanzania wanyonge.Mungu akulinde na kukupa maono ili ugonjwa huu ukiisha uanze harakati zako za kupiga show ndani na nje ya nchi na kuingiza pesa nyingi.Hakika watanzania nasi tunafaidi matunda yako kupitia hao uliowapa pesa kulipa kodi ya pango.Mungu akuzidishie pale ulipotoa na bwana mdogo wangu nakuombea kwa mungu uishi maisha marefu.AMENI
May God bless you immensely Diamond for touching people’s lives. May he fix all the problems in your life and fix the relationships problems you have with your kids. May God remember you every time he remembers other people. Surely this is a great blessing to give back to the society.
Diamond is one in a million,he is doing what other musicians have never done and its high tym that God showers blessings to him...kenyan musicians are greedy,they dont know when u spend on those who dont have,God opens up ur ways
Mungu atakulipa sana sana Nasibu ww ni zaidi ya roho ya utajili Ameen NAKUPENDA SANA SANA KAKA YANGU NASIBU ALLAH AKUWEKE ZAIDI ILI MWENYEZI MUNGU AKUPE ZAIDI NA WATU WA HALI YA CHINI WAFAIDIKE NA WEWE AMEEN
Mashallaah ni vizuri Mungu akikupa nawewe pia peana kwani mkono unaotoa ndio unaopata pia zaidi so he knows ecxerctly akitoa atapata .....I wish you the best and best of luck bless you more lots of love from Uk
Wanaokuponda wanatamani na wao wafanye kama ufanyavyo wewe! ! Sema ndio hivyo namba hazisomi! Mungu akuzidishie pale ulipotoa! Wabongo tuache wivu bana!
Masha Allah huu ndio upendo wa imani sio upendo wa udanganyifu kukuuza majina makubwa bila kuwahurumia wanao kushabikia Allah akuzidishi imani na kipato chako+254
Mashallah mashallah mashallah Allahubariq Filldunia Wal Akhera Wewe ndio Babalawoo umewezaaa na mungu akuwezeshe zaidi akusameh dhambi zako akuitikiye Dua zako na akufungulie milango ya kheri insha'Allah
Naroka Msuya duuh you sounds like hater. Hiki anachofanya mpaka serikali inajua. Unataka ajifiche nini, na hapo mpaka umefatilia hii video means ulitaka kupata uhakika kama alichosema alikifanya. Usingeona hapo ungesema tena ni uongo hakufanya😅😅😅
May Allah Subhanna WaTallah reward you brother & forgive you where you went Wrong & Sinned and lead you in the right path 🤲🏾🤲🏾🤲🏾 ......during This Holy month of Ramadan ......Mashaallah all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Salam👋🏾👋🏾👋🏾& peace 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mungu akubariki Mond na abariki pale ulipopunguza akapajaze maradufu.. Ni wachache wenye kipato wakaweza kuwasaidia wengine... We love you.. We support u🙂😘❤❤
Be blessed diamond may the almighty Allah accept your fasting may he protect you frm d evil eyes may he double your success , may Allah continues to bless d work ov ur hands
Sikubaliani nalo ni makosa anafanya,sadaka ni siri ndugu yangu..hasa kuna watu wengi zaidi ya 500 wanahitaji msaada hivyo hiyo ilitakiwa hiwe siri kwasbabu hapo amewatia wengine unyonge
Bless you Mr Diamond for going a million miles to bless these souls. You have shown the world the importance of giving the needy at this difficult time; this is really kind. Remain safe
Mungu akubariki mwanagu Diamond. Akuzidishie pale ulipotoa. Maana kutoa ni moyo na sio utajiri. Always unakumbuka ulikotoka. Ubarikiwe sana sana Mungu ndio anavyopenda
Tunakushukuru kaka kwa hicho unachofanya mwenuezi Mungu atakuongezea zaidi ua japo ila hawa watu ni hatari sana kumpa ntu pesa anapokea kama alikiwa anakudai hata miakoa miwili tu hamna
May Allah s.w reward you without measure and in abundance, Allahuma Ameen. Thank you for this very generous and very touching act of empathy.❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Ma_sha_Allah Jambo zuri Allah akupe moyo huo huo ila kitu kimoja Allah anapenda mtu awe anatoa bila kujionesha hizi camera na kutangaza sio sifa za uislam toa mkono wakulia na wakushoto usijue
Mungu akuzidishie sana sana diamond maana kutoa ni swala gumu sana kwenye mioyo yetu wanadamu, kuna watu wanauwezo zaidi yako.nitakusapoti kwa kila kitu. Hao wasanii wengine nao tueni hata kwa watu wawili au kumi sio lazima uwe Kama diamond
Dogo langu Diamond Platinums keep it up,hakika wewe ni mtu mwenye huruma na upendo kwa watanzania wenzako na huna mkono wa birika na ulichokusanya miaka yote unagawana na watanzania wanyonge.Mungu akulinde na kukupa maono ili ugonjwa huu ukiisha uanze harakati zako za kupiga show ndani na nje ya nchi na kuingiza pesa nyingi.Hakika watanzania nasi tunafaidi matunda yako kupitia hao uliowapa pesa kulipa kodi ya pango.Mungu akuzidishie pale ulipotoa na bwana mdogo wangu nakuombea kwa mungu uishi maisha marefu.AMENI
Diamond Platnumz....Mwenyezi Mungu Azidi Kubariki kazi na Utaftaji wako 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Hongera Diamond, hongeraa simba....... Yesu akuokoe unafaa kwenda mbinguniii
Simba ni mmoja tu🦁Gonga like apo😁😁love from Kenya
Asante simba
That good
Mungu akubarik chibu akuzidishiee na akupe kikubwa zaid ili uzidi kutowa❤ Leo na kesho unapoenda🤲...
Diamond is very kind Allaah akupe zaidi na zaidi kwa kusaidia wanohitajia
Hii kubwa sana aisee...mwenyezi mungu abariki maisha ya Diamond na team yake
MashaAllah Diamond Allah akujaliie maisha mazuri kilaulifanyalo kweny maisha yako...🤝😍
Mwenyezi mungu akubariki diamond kwakweli umegusa mioyo ya watu wengi naumeugusa moyo wa mungu.mungu akuzidishie baba.
KAMA TOKEA NYIMBO YA NENDA KAMWAMBIE YA DIAMOND YUPO PAMOJA NA SIMBA MPAKA LEO GONGA LIKE YA UPENDO KWA 🦁
Allah akupe maisha marefu Diamond
Hongera sana mond Mwenyezi Mungu azidi kukupa miaka mingi uzao wako ubarikiwe kwa sadaka yako leo na akhela
Allah azidi kukubariki sana diamond platinamz 🙏🙏🙏
Wapi like zangu wa kwanza kuona na ku coment😎🙆🏿♂️
May God bless you immensely Diamond for touching people’s lives. May he fix all the problems in your life and fix the relationships problems you have with your kids. May God remember you every time he remembers other people. Surely this is a great blessing to give back to the society.
Man your prayers was amazing
MASHA ALLAH, mabrook mdogo wangu diamond /Naseeb Abdul
Sometimes I just look at this man and feel like crying. My he be blessed.
Diamond is one in a million,he is doing what other musicians have never done and its high tym that God showers blessings to him...kenyan musicians are greedy,they dont know when u spend on those who dont have,God opens up ur ways
Mungu atakulipa sana sana Nasibu ww ni zaidi ya roho ya utajili Ameen NAKUPENDA SANA SANA KAKA YANGU NASIBU ALLAH AKUWEKE ZAIDI ILI MWENYEZI MUNGU AKUPE ZAIDI NA WATU WA HALI YA CHINI WAFAIDIKE NA WEWE AMEEN
Thank you diamond... Utabarikiwa sana juu ya hili
Mashallaah ni vizuri Mungu akikupa nawewe pia peana kwani mkono unaotoa ndio unaopata pia zaidi so he knows ecxerctly akitoa atapata .....I wish you the best and best of luck bless you more lots of love from Uk
HOGERA SANA DIAMOND, MUNGU AKUZIDISHIE MARA 1000000000
Nami Mungu akinjalia mali ntatoa msahada kwawatu huwa napenda sana kusaidia wasio jiweza uwezo ty Ndio sina Masha Allah hongera sana mond
Allah atakupa uwezo uweze kusaidia nia nimuhimu ikiwa unatamani utafanikiwa Insha Allah+254
Mahsneer mohammed Ameen thuma Ameen
Ameen Insha'Allah Yarabi akujalie 🙏
Toa ulichonacho. Sio zaid ya ulichonacho
Bosss
Mungu anajua Nini Cha kukurudishia juu ya unayoyafanya. God bless you
Such a great inspiration. Allah akufanyie wepesi Kwenye kila ufanyalo na akuongezee pale ulipotoa
Wanaokuponda wanatamani na wao wafanye kama ufanyavyo wewe! ! Sema ndio hivyo namba hazisomi! Mungu akuzidishie pale ulipotoa! Wabongo tuache wivu bana!
sasa wewe majungu ya nini???
Feel GREAT Diamond Platinuzm 🙏🙏
Kabisa 🙏🙏 Mungu amjalie
Sn yn wanaitamani sn ila ndo ivyo tena
Mnao pokea misada kama hiyo jiandaeni kuwa maskini mpaka mnaingia kaburini.
Simba, Allah azidi kukubariki kwa wema wako 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Masha Allah huu ndio upendo wa imani sio upendo wa udanganyifu kukuuza majina makubwa bila kuwahurumia wanao kushabikia Allah akuzidishi imani na kipato chako+254
Good
Big up Mr. Nasibu, Ni wachache sana dunian wenye moyo Kama wako, Mungu akubariki Sana pamoja na kizazi chako
Jamani Mungu akulinde diamond Mashallah
🙏🙏Mungu amzidishie maisha marefu
Na tuendelee kumpenda ili atufanyie mambo mazuri yanayoweza Kuwatia moyo wasanii wengine
AMEN
Simba pongezi kwako mkuu mungu akutangulie katika maisha yako
Kwa kweli diamond platinum niwakujituma,God bless you abundantly 🙏🙏🙏🙏
MashaAllah keep it up simba Allah akulinde akubariki ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Akimaliza hapo Mondi anaenda kujiunga kununua P.P.E (Personal Protective Equipments) kwa madaktari.
Kutoa ni roho
Hizo ashatoa washakubaliana na clouds acbh
Wasani ni wengi bongo,wengine watashugulika na mengine
Its a very good offer to your community, kerp it up.
@11:55 apo kwa uoe wake wa nne. Uyo mama kamgusa Mondi penyewe
Atuchukulie tu
1. Wema
2. Zari
3. Hamisa
4. Tanasha (Bi Aisha)
Case closed
🤣🤣🤣🤣
Kaabisaaa
Japo nikidogo lakini kikubwa D mfano wakuingwa
Wwngine hawana kizazi ao wann?
mungu akupe maisha malefu wewe nasibu una moyo mzul sana jama
Hakuna sadaka anayopokea Mungu kama hii. Hongera sana Diamond. Mwenyezi Mungu hatakuacha Hakka
Mashallah mashallah mashallah Allahubariq Filldunia Wal Akhera Wewe ndio Babalawoo umewezaaa na mungu akuwezeshe zaidi akusameh dhambi zako akuitikiye Dua zako na akufungulie milango ya kheri insha'Allah
Peponi bila swala 5 yote kazi bure. Halafu kazi yake ni laana! Music haramu.
Mashaallah inshaallah Allah akupe kila lenye khery diamond
Mungu akupe maisha marefu diamond utakacho shika chote kigeuke pesa
AMINA, ATAMZIDISHIA MARA NYINGI ZAIDI INSHAALLA🙏
Sadaka hiyo itaishia duniani bali haiwezi fika kwa Mungu, Kama umeamua kutoa Sadaka makamera ya nini,
Naroka Msuya Toa na wewe afu uweke ma camera
Naroka Msuya duuh you sounds like hater. Hiki anachofanya mpaka serikali inajua. Unataka ajifiche nini, na hapo mpaka umefatilia hii video means ulitaka kupata uhakika kama alichosema alikifanya. Usingeona hapo ungesema tena ni uongo hakufanya😅😅😅
@@narokamsuya3378 angefanya maovu ungemwagia mitusi ila kafany mema unajifany huyaoni ama kweli duniani kuna roho mtakatifu na roho mtakabifu
I feel my eyes with tears mashaallah
Heri mtu yule atoae kuliko apokeae, mungu akuzidishie.
MashaAllah! Allah akueke inshaAllah🙏
Mwenyez Mungu akuongezee akulinde akutunze ! Hata kama wanakebehi unajitangaza,ila Mungu aipokee sadaka hii!
Vzr sana diamond platnumz
Mungu awape nguvu na imani thabiti👏👏👏.. kutoa Nimoyo haijalishi kipato chako unakipataje🚴♂️🚴♂️🚴♂️ajue nimungu pekee .🤝🤝🤝🤝
may ALLAH bless brother chibu inshaAllah
Ameen 🤲 inshaa Allah
Mungu akujalie kaka akupe kila hitaji la moyo wako kwa kuwajali wanadamu wenzako
Mungu akuzidishiye diamond🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akuzidishie maisha marefu diomond
May Allah bless you...for your good work of helping the poor...keep it up my brother
Respect kwako chibudeee allah help u every thing that u need in your life!!
May Allah Subhanna WaTallah reward you brother & forgive you where you went Wrong & Sinned and lead you in the right path 🤲🏾🤲🏾🤲🏾 ......during This Holy month of Ramadan ......Mashaallah all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Salam👋🏾👋🏾👋🏾& peace 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Be blessed bro by Allah Insha Allah
Diamond Mungu hakupe maisha marefu umefanya jambo la maana sana
Safi Sana kaka,mungu akuzidishie Mara 💯
Kila Cku Utazid Kuachia Hit Songz Mond Hakuna Wakushindana na Wewe Umebaki Mwnyew Unafanya Vzur Kwenye Mzik Hongera MNYAMA
Kaka mondi mungu akujalie na moyo uwo uwo inshallah
Barak'allah fiqum allah akongezee kwa kusaidia qa binaadam hawo Alhamdulillah na wewe Allah atakukumbuka in sha'Allah
MashaAllah mwenyezi mungu akupe zaidi riziki
Mungu akubariki Mond na abariki pale ulipopunguza akapajaze maradufu.. Ni wachache wenye kipato wakaweza kuwasaidia wengine...
We love you.. We support u🙂😘❤❤
Hakika daimondi MUNGU AKUONE kwahili hakika umetoa sadaka nzuri wanasema moyo wakutoa nibora Sana MUNGU akulinde na mabaya yote
Be blessed diamond may the almighty Allah accept your fasting may he protect you frm d evil eyes may he double your success , may Allah continues to bless d work ov ur hands
Bro sadaka abayo Allah anakubali ni siri abayo haitangazwiii Allah haitaji sadaka hiyo
Namkubali uyu kijana kwa kujali waitaji Mungu aendelee kukubariki sana...
Kama unakubalina na swala analofanya chibu like him
Makn sana simbaaaaaaaa
Sikubaliani nalo ni makosa anafanya,sadaka ni siri ndugu yangu..hasa kuna watu wengi zaidi ya 500 wanahitaji msaada hivyo hiyo ilitakiwa hiwe siri kwasbabu hapo amewatia wengine unyonge
@@KaskasTHEfinderCLIP alishakua msanii mkubwa hata kama angefanya kimyakimya bado ingejulikana kwa sababu anafatiliwa kila kukicha
Amsaidie kwanza baba ake
Hongera san mung akupe maisha marefu kaka yangu
Ongera sana kwa Baba Lao 🐅🐅
Mungu ambariki Diamond Platnumz...Allah Akbar 🤲🏽
Naseeb Abdul utabaki kuwa wewe na Mungu Azidi kukuinua zaidi na zaidi Akulinde Milele
Mashallah mashallah mashallah Allah azidi kukupa Azidi kukupakaka
Saidia watu mzee wachana maneno ya watu mungu ni mwema sana atajibu kila unalo lifanya🙏🙏🙏🙏
Bless you Mr Diamond for going a million miles to bless these souls. You have shown the world the importance of giving the needy at this difficult time; this is really kind.
Remain safe
MASHALLAH Allah akuzidishie inshallah
Wa kwanza leo🇷🇼🇷🇼
Mungu akupe maisha marefu dnd
God bless you SIMBA 🙏🙏
Mwenyezi Mungu ambaliki Nasibu Plantnum. 🙏🙏 na azizidishie mara milion 🙏🙏🙏
Mungu akupe maisha marefu akuzidishie ulipo toa
May the Lord Bless him....
He is a person of his own....
Mungu akubariki mwanagu Diamond. Akuzidishie pale ulipotoa. Maana kutoa ni moyo na sio utajiri. Always unakumbuka ulikotoka. Ubarikiwe sana sana Mungu ndio anavyopenda
He is stupid that's my opinion why bring the media to show up the poor people...give in silence and let God be the judge
Khadija
Mungu akuzidishie kila la khery
Hongera sana MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI
Tunakushukuru kaka kwa hicho unachofanya mwenuezi Mungu atakuongezea zaidi ua japo ila hawa watu ni hatari sana kumpa ntu pesa anapokea kama alikiwa anakudai hata miakoa miwili tu hamna
diamond mungu akunareeek saana pamoja na mm mwnywe Allah nibareek na mm kadhumar npate japo ghorofa 100
Great gesture, be blessed.
Ila mtangazaji umevaa malapa na wala huna barokoa!
George Bahinda hana habari 😁ila ka mtu poa sana na kana adabu sana
Heart of love brother,😍🤲
Oyooo wakumi apa like kwangu BASHIZO
Goooood
Diamondi diamondi how many times DID i call you mungu akubariki saaana
G
Good sana
Sasa mpaka muwapige picha na kuwataja majina huo si udhalilishaj jaman na mungu apendi hakuna thawabu hapo
@@athumanindyema2302 anaonyesha uzalendo ili na wengine waige, uzalilishaji siyo huo ww labda hujui kuzalilushwa
@@kiyabolnjemu9646 asante kwa majibu mazuri kakangu
Big up kwako PLATNUMZ 🙏🙏🙏
Mashaallah ,mungu amlete na kwetu tupate baraka za wasafi ,diamond babalao
May Allah s.w reward you without measure and in abundance, Allahuma Ameen. Thank you for this very generous and very touching act of empathy.❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Mungu akuzidishine na akupe mafanikio mema
Boss wa watz mungu akubariki sana @Diamond
Ma_sha_Allah Jambo zuri Allah akupe moyo huo huo ila kitu kimoja Allah anapenda mtu awe anatoa bila kujionesha hizi camera na kutangaza sio sifa za uislam toa mkono wakulia na wakushoto usijue
Ni wivu Tu uliokujaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Watanzania daaah
Allah akujalie Kila La Kheri Insha'Allah.
Mashaallah... Mondy mwenyeezi mungu akuzidishie...
Maashalla Mungu ampe pepo nzuri
Mungu akuzidishie sana sana diamond maana kutoa ni swala gumu sana kwenye mioyo yetu wanadamu, kuna watu wanauwezo zaidi yako.nitakusapoti kwa kila kitu. Hao wasanii wengine nao tueni hata kwa watu wawili au kumi sio lazima uwe Kama diamond
Kwann tusimpende
Jam ani tumpende tu
Mungu akubarik Kaka Lin s wengne tunaomba hata job ya kufanya pia Kama zinatokea Kaz pia utangaze bas
God bless u platnum,more life
May Allah bless simba
Kaka Mungu Akubariki sana kwa icho ulicho kifanya kweli..
MasHA ALLAH.ALLAH akuzidishie,akupe umri,akutie nguvu, na imani hiyo hiyo, ili uzidi kuwasaidia wasiojiweza IN SHA ALLAH. AMEEN.