KOCHA FADLU AMEFANIKIWA SANA SIMBA/ WACHEZAJI WANAMPA HESHIMA KUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @ericksumari6892
    @ericksumari6892 15 วันที่ผ่านมา +5

    Kuijenga timu au kufanya nini haijalishi ndugu mchambuzi, hiyo timu unayozungumzia haikufika hiyo nusu fainali na ubora wake kuna vitu vingi behind licha ya ubora ila kuna kitu kinaitwa bahati kwenye football if you ain't lucky it's difficult to succeed no matter how strong your squad is, usiseme simba haina iyo timu .. which team you're talking about bro.? This squad mnayosema haitoshi mara inajengwa ikifeli sana this time ni semi finals

  • @mrzahoro
    @mrzahoro 14 วันที่ผ่านมา

    Ila bongo😅😅😊

  • @qualitymediaproduction
    @qualitymediaproduction 15 วันที่ผ่านมา

    Mangungu Mbona Hueleweki Simba inaweza Au Haiwezi Au Sisi Wasikilizaji Ndo Hatuwezi 😂

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 15 วันที่ผ่านมา

    Kwa kule kuchomesha kwa shamalon kutoa zawadi ya goli akipewa pressure nusu fainali wataiisikia redioni

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 15 วันที่ผ่านมา +1

    Wao wachambuz kila mara kazi yao ni kusema Simba vibaya wamekuwa kama wasafi kama haina team imara we nani au uliwah kuchez mpira wapi acha usenge tuache tumaliz meche kuongea kwenye huwez mshezi we

  • @DouglasMathayo
    @DouglasMathayo 13 วันที่ผ่านมา

    Kachambue Mchele mchambuzi, maan hauelek at kidg

  • @victorburser1717
    @victorburser1717 13 วันที่ผ่านมา

    Kajamaaa kama kanaongelea puani hivii

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nd mana unapenge 😂

  • @MrishoMindu-zq7mz
    @MrishoMindu-zq7mz 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu kweli Magunga Msukuma kazi yake Uchungaji Ng'ombe. Simba afiki Nusu Final? Shida Simba akifika hamrudi kwenye vipaza Sauti. Muda utaongea Tuta onana Mwisho wa Mashindano.

  • @JosephJeremia-k2q
    @JosephJeremia-k2q 15 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo jamaa amevuta shisha au kalamba kichuri

  • @ChijaLugola-xe5tn
    @ChijaLugola-xe5tn 15 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu dogo ni mzuri

  • @erastoyohana4318
    @erastoyohana4318 15 วันที่ผ่านมา

    Magunga ndogo ni good talent kwa wachambuzi

  • @saidsalum2546
    @saidsalum2546 15 วันที่ผ่านมา

    Magunga ninahifadhi kauli yako,tutakukumbusha Simba itakapoingia nusu fainal mpaka faina 2025.inshaallah

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 15 วันที่ผ่านมา

    Wachambuzi kama hawa wanatakiwa wakapimwe akili kwanza ndio wapewe kazi. Huwezi ukatabiri mpira kama unapiga ramli.

  • @davidjoetv9595
    @davidjoetv9595 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu mchabata hajui anachokiongea..point yake ni nin

  • @MuddyMuddy-oc7ce
    @MuddyMuddy-oc7ce 15 วันที่ผ่านมา

    Simba anatimu imara wap ao wachambuzi wengne msisituwekee kama uyo anaichafua midia crown yan mchambuz wa ovyo kbs

  • @chrisabbas8085
    @chrisabbas8085 15 วันที่ผ่านมา

    Magunga mbn huelewek, mar simba haiwez mar inaweza, but huu n mpira, bakiza maneno

  • @salexdewanna-ns3dv
    @salexdewanna-ns3dv 15 วันที่ผ่านมา

    Ww magunga hovyoo ngoja ifike nusu cjui utaongea nn huu mpira usijaji kwa utashi

  • @JosphatSonge
    @JosphatSonge 15 วันที่ผ่านมา

    Mnyang"anye magunga maiki mpumbavu achui kuchambu

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 15 วันที่ผ่านมา

    Hivi Hawa wachambuzi wanatokaga wp

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 15 วันที่ผ่านมา

      Huyu msukuma Mfugaji wa Ng'ombe lkn ana uzoefu wa uchambuzi anajua Tofauti ya Ngombe Punda Kondoo na Mbuzi. Ndio kazi yake Huku kwenye Soka kapotea njia tu. Msameheni Bure.