Zorah - Mshindi (Official Lyric Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- Labda sio leo, labda sio kesho na labda sio mwezi ujao lakini jambo moja tu la uhakika ni kuwa utakuja kuwa Mshindi siku moja. Pambana kwa dhati ya moyo wako. Mungu yupo upande wako.
Kwa Mungu, Mimi ni Mshindi✊
Performed by Zorah
Produced by DJ Kassu & HD
Mixing & Mastering: DJ Kassu
Studio/Label: Kassu Music
Location: Tabora, Tanzania
Bookings: management.kassumusic@gmail.com
Follow Zorah on Social Media👇
Subscribe on TH-cam: youtube.com/@Z...
Instagram: ...
Facebook: www.facebook.c...
TikTok: tiktok.com/@rajzorah
Twitter: x.com/raj_zora...
LYRICS:
(Kassu)
Aah Aaaahh
Mmhh
Nimeshapoteza kila kitu kwenye maisha yangu,( I have already lost everything in my life)
Ila sio wewe Mungu, ( But not you God)
Nishabadilishwa mpaka jina langu, nikaitwa mfu, ( My name has been changed , to a corpse)
Kama sio wewe Mungu, ( If not for you God)
Najua nisingeweza simama nilipougua, ukaninyanyua ( I know I wouldn't be able to stand up when I got sick)
Ukanifanya mpya (ah), ( You rejuvenated me)
Na Jua lilichoma mwili, ilinyesha mvua, nilipigwa baridi, ( The sun burnt my body, it rained and I was cold)
Ila naamini mapito ni nguzo, ( But I believe ........
Nayoona leo ni funzo ( What I go through is a lesson)
Kwa leo yangu ama kesho yangu, kwa Mungu ni fumbo, ( Only God knows my today and tomorrow)
Ila naamini thamani yangu, naamini ipo kesho kwangu, ( But I believe my value will be seen)
Ila naamini (mmhh)
Mimi ni Mshindi ( I am a winner)
Mimi ni msingi naomba nipiganie Baba, ( I am the foundation , God please see me through)
Maneno vita ni mengi, nimeshapigwa sana, (I am being attacked , ...................
Ila kwa Mungu mi mshindi, na hili litapita sasa(But to God I am a winner , this too shall pass),
Kwako naona dhahiri utaniongoza,( I clearly see your Guidance)
Nilishakatishwa tamaa nikavunjishwa moyo,
nisifikie malengo, ( I have been discouraged not to reach my goals, my heart was broken
Imani na busara wachache wenye upendo, walinipa moyo, ( Few people who loved me their faith and wisdom encouraged me)
Huzuni nashika tama ni unyonge, ( My sadness made me weak)
Wananiombea mabaya nife nijinyonge,( Those who wish me bad luck death and suicide)
Ila mpaka sasa mi ni mshindi (mimi ni mshindi) ( But now I am a winner)
Mpaka sasa (aahh) naona ushindi (naona ushindi) Now I am a winner , I see victory
Ila mpaka sasa (mmhh) mi ni mshindi (mimi ni mshindi) Now I am winner
Mpaka sasa (aaahh) naona ushindi (naona ushindi) Now I see Victory
Ila naamini mapito ni nguzo, ( I believe ..........
Nayoona leo ni funzo ( What I see is a lesson)
Kwa leo yangu ama kesho yangu, kwa Mungu ni fumbo, ( My future is in God's hands
Ila naamini thamani yangu, naamini ipo kesho kwangu, ( I believe my value ...........
Ila naamini (mmhh) But I believe
Mimi ni Mshindi, I am a winner
Mimi ni msingi naomba nipiganie Baba (Oh nipiganie), ( I am the foundation , fight for me God
Maneno vita ni mengi (Oohh), nimeshapigwa sana (nimeshapigwa sana), ( The attacks are too much...........
Ila kwa Mungu Mi mshindi (Mimi ni Mshindi), na hili litapita sasa (litapita na hili), But to God I am Winner , this too shall pass
Kwako naona (kwako naona) dhahiri ( I can see it clearly)
utaniongoza,( God will guide me)
Utaniongoza, ( God will guide me)
Utaniongoza, ( God will guide me)
Utaniongoza baba, You will guide me Lord.
(Kassu)
Labda sio leo, labda sio kesho na labda sio mwezi ujao lakini jambo moja la uhakika ni kwamba wewe ni MSHINDI. Pambana kwa dhati ya moyo wako, MUNGU yupo upande wako.
Kutoka ndani ya moyo wako tamka maneno haya "MIMI NI MSHINDI✊"
Andika kwenye Comment hapa chini👇
Kumbe una u gozbert ndani Yako kaka na hausemi daaah what a song umetisha sanaaaaaaa🎧🎧🎧🎤🎤
@@OswardDebwa-zq3ez shukrani ziwarudie ninyi mashabiki zangu kwa kuendelea kunipa moyo siku zote na kunifanya nijitume ili niwe bora zaidi ya jana. Mungu awabariki sana🙏
Hakika kaka
Daaaah ngoma Kali sana kiongozi,,,,, aiseee ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana brother. Shukrani mno🙏🙏
Ameen
🙏🙏🙏🙏
Mshindi 🎉🎉🎉
Yes, Kwa Mungu sisi ni washindi.. popote pale tulipo tuendelee kupambana.. ipo siku yetu🙏
Inspirational song ni fire asee 🎵🎵🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana brother.. Mungu anatupenda sana, tusikate tamaa sisi ni Washindi✊🙏
Ni fire 🔥 broo
🙏💪
Kazi ni nzuri sana endelea kuchapa kazi kaka angu
Asante sana🙏🙏
Iko pw san pamban
Asante sana kaka🙏
Wewe Ni mshindi👊👊👊
Amen. Sisi ni Washindi🙏🙏
Mshindi🙌🙌
Sisi ni Washindi, tupambane bila kuchoka.. Mungu anatupigania🙏🙏
💥 nakubal kaka😊
Tupo Pamoja Kaka
😮❤
🔥✊🙏
Nc Song
Asante sana kiongozi. Mungu ni mwema sana🙏🙏
Good music alive , goma kali sanaaaaaaa hakika hata mm ni mshindi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika. Kwa Mungu sisi ni Washindi💪✊🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri
Asante sana brother🙏
Ngoma Kali iko powa keep it up bro
Asante sana kaka. Wewe ni Mshindi🙏🙏
Dogo Kwa Ngoma hii umegusa wengi naamini utafufua matumaini mapya Kwa waliokata Tamaa
Asante sana kaka Eliud. Ninaamini wengi watakaobahatika kuisikiliza watapata tumaini jipya na kuongeza imani yao kwa Mungu🙏
Mishindi💯💯✅✅
Asante sana kaka. Kwa Mungu sisi ni Washindi🙏
❤❤
🙏🙏
Mshindi🙏🙏🙏
Yes kaka.. tuendelee kupambana sana.. hata dunia itutenge na itushushe vipi, Mungu atatuinua🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka mkubwa🙏🙏
Dahhh huu Wimbo mpaka nimelia ila ❤❤❤❤ ni MUNGU tu ndio anatupitisha kwa maksudi maalumu kwenye haya tubayopitia
Yeah Nikweli Ila Pole Sana Na Usikate Tamaa Maana kwa Mungu Wewe Ni Mshindi Daima
Kijana pambana mambo
Asante sana🙏🙏
Mshindi ❤
Yes, kwa Mungu sisi ni Washindi✊🙏
Nice ❤❤
Thank You. Wewe ni Mshindi🙏🙏
Mshindi
Naam brother.. kwa Mungu sisi ni washindi, tupambane na tusikate tamaa🙏🙏
Kakak saf mm pgp sana
Asante sana🙏🙏🙏
Yamotoooo🎉🎉 #Mshindi💪💪
Sisi ni Washindi🔥💪
🔥🔥🔥
🔥🔥💪✊🙏🙏
Master Wa Hit Tz🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
Shukrani sana kaka mkubwa🙏🙏
mshindi🔥
💪
Wapo waliotukatish Tamaa Ila kuna Waliotupatia Nguvu Ya Kuendelez Mapamban Na Bila mungu Hadi Leo Tusingekuw Hapa 🔥🔥🔥🔥
Kabisa kaka mkubwa. Tuna kila sababu ya kumrudishia Mungu sifa na utukufu wake. Tumepitia na bado tunapitia mengi kila siku siku lakini Mungu hajatuchoka wala hajatuacha, yupo nasi wakati wote. Sisi ni Washindi✊🙏
Nilichokiwaza ndo kilichotokea
Sharaut my G🫡🫡 I like it ❤
Asante sana kaka mkubwa. Tunapitia mengi sana kwenye Maisha, ni lazima tuwe na muda wa kumrudishia Mungu sifa na Utukufu wake kwakuwa bila yeye sijui tungekuwa katika hali gani. Kwake yeye Mungu, Sisi ni Washindi🙏
Nimepita kuusikiliza ushindi,ni ushindi👏
Shukrani sana kaka mkubwa🙏
Ushindiiii
Kwa Mungu sisi ni WASHINDI✊🙏
Mungu tumaini letu Asante kwa kutupa moyo ❤
Amen. Asante sana Malkia🙏
mshind ni kali sana
Asante sana kaka mkubwa🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
Mshindi🔥💪
🔥🔥🔥🔥
🔥🔥💪✊🙏🙏