Glory be to Yahuah, manabii wa uwongo wanafunga watu vifungo vya giza. Nuru na giza azina mausiano kabisa. Tubuni dhambi, dunia imeiisha. God bless Amen
Mi nampenda sana uyu mkaka sanaa tu jamani konk master soma msg yangu mimi apa binti wamiaka 24 nakupenda sanaa😢sanaaa😊❤🎉Nafanya kazi uko nasikiliza interview zako maana una akili mno I wish uwe.....au bas😅
Sio juu ya usalama konki konki watu wako busy na maisha alafu ma ⭐️ ni wengi kibao sio musician tuu basket ball player American football player baseball player hockey player ni wengi saana mno ata apo ni nyumbani ma star kibao Fei Toto Mudasri Mwakinyo sio tuu musicians eti njo Wema Mobeto Shilole wote ma ⭐️ na bila kukusahau oil chafu bonge la star ⭐️ B.Levo Mwijaku Dotto
Wanasiasa wakubwa wa Kenya kuanzia rais wanakulaga mahindi ya kuchoma hadharani kuanzia enzi za Moi na hata Uhuru Kenyatta akiwa rais alikuwa anakula nyama choma minadani na wana ! Ni mtizamo tu huyu anayezungumzia kuishi kistaa ni mshamba sana !
Tuambie huyo stas mwingine anaishi kistaa kupanda Jet everywhere na dedication ya list ya magari km ya Mondi. Unaongea hadi unapata presha na mate unanyeshea km mvua lo! Baadhi ya wasanii wa zamani watakufa na vijiba vya wivu wa DAIIMOND ndio kwanza mnampa ticket ya kuzidi kupanda na kuacha mbali
@@humbleshoal Dudu Baya mimi na kuku bali kwa mambo mangi tu lakini hapa kw Yesu kugeuza Jiwe kua Mkate huo sio ukewli nenda kasome tena Bibilia yako, ama pengine Bibilia ya kikatoloki ndivyo inavyo fundisha kwa sababu Dudu Babaya ni Roman Katoliki
Hajasema usile mihogo bt amesema usizurure ovyo ovyo kma nimihogo si wwe nimsanii uko na wafanyi kzi wko wwatuma juu kzi yausnii hua wtu wasikuone ovyo ovyo ili wakumiss so ukiwa na show wtu wawe wanatamni kukuona
Jamaa namkubali sana ukimsikiliza kwa makini this dude got some point
Really talk
Mimi Naishi Canada, nakufatilia sana Uncle Legendary Dudu Baya.
Glory be to Yahuah, manabii wa uwongo wanafunga watu vifungo vya giza. Nuru na giza azina mausiano kabisa. Tubuni dhambi, dunia imeiisha.
God bless Amen
Konki master anaakili nyingi sana mpeni mauwa yake Yani ❤
Daaah konki unaongea uhalsia mtupu na maelezo yalyojitosheleza...big up bro
KONKI KONKI KONKI MASTER❤
kaka wanakuona mjinga,ila mm nakuona wewe unajua utaratibu katika jami,pia unajua mipaka,na pia una hofu ya Mungu💯💯💯✔️
safi sanaa anko unamaneno ya busara waambie ukweli hao watumishi😊
Mi nampenda sana uyu mkaka sanaa tu jamani konk master soma msg yangu mimi apa binti wamiaka 24 nakupenda sanaa😢sanaaa😊❤🎉Nafanya kazi uko nasikiliza interview zako maana una akili mno I wish uwe.....au bas😅
Dudu hakumuelewa IPM.
That's true.
Sisi wamarekani Hatuna shobo na wasani tuko busy kwa kitafuta pesa
IPM sio mchungaji n mpigaji
Tatizo lako Dudubaya unahakiri sana sijui umezitolea wapi!
Wewe ni star au star let
Unataka kusema nn
mnazunguka sana,,mm binafsi toka nimezaliwa sijawahi kumuona daimond mnayemsema,,namuona kwenye simu tu.
Hujataka kumuona
Konki master nakukubari
Dudubaya acha uongo Yesu hajawahi kugeuza jiwe kuwa mkate acha uongoooooo
Mambaaaaa😂
Kuna Mtu Apa atakoment Uchoko Kuusu Dudubaya Ila wenye Hakilitu ndo Tunao mkubali
Vitoto vya elfu2 ivyo
Konky tupo pamoja hadi wajutreeeee👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼sumu wafe wote😅😅😅😅😅
Sio juu ya usalama konki konki watu wako busy na maisha alafu ma ⭐️ ni wengi kibao sio musician tuu basket ball player American football player baseball player hockey player ni wengi saana mno ata apo ni nyumbani ma star kibao Fei Toto Mudasri Mwakinyo sio tuu musicians eti njo Wema Mobeto Shilole wote ma ⭐️ na bila kukusahau oil chafu bonge la star ⭐️ B.Levo Mwijaku Dotto
Facts😂😂😂
Yesu hajawahi geuza jiwe kuwa mkate. Atupe andiko
😂😂 labda alimaanisha maji kuwa divai safi..😂😂😂
dudu baya kapofona kapungua sana asee
Yuwamshobokea Diamond huyo Mwambie atapakwa Johnson baby oil
" unataka nije kwako kupiga story na mke "
Wanasiasa wakubwa wa Kenya kuanzia rais wanakulaga mahindi ya kuchoma hadharani kuanzia enzi za Moi na hata Uhuru Kenyatta akiwa rais alikuwa anakula nyama choma minadani na wana !
Ni mtizamo tu huyu anayezungumzia kuishi kistaa ni mshamba sana !
Haya mambo yanatokana na wahuni kuingilia fani husika,hivyo kama padri katoriki ikizungumzia wasanii tutashangaa lakini huyo ipm msamehe bure
IPM huwa ni debe tupu hata hajulikani anachosimamia mara uislam,mara ukristo mara ushauri nasaha!
Dudu baya kapatwa na jiwe la gizani
Na miss mandazi na chapati
Konki anatomboka 😂😂
Ata mim dudu Baya nakufuatilia na nakujua lakini sijawahi kumuona live..wasanii wengi tu nawajuwa lakin sijawaona live
12:46 12:54
We have to 😂😂😂😂😂😂😂
Assee kayatetea sana mandazi sio poa😂😂😂
Ipm ni mwizi tu taper mjanja mjanja
Jaman mbona amkomenti ki2
📌You Punch me One I' Punch you Triple....
Ole wake Mchungaji anayeleta Mikwara....🙌
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂
Xx kitu gan kinamuuma xx
Tuambie huyo stas mwingine anaishi kistaa kupanda Jet everywhere na dedication ya list ya magari km ya Mondi. Unaongea hadi unapata presha na mate unanyeshea km mvua lo! Baadhi ya wasanii wa zamani watakufa na vijiba vya wivu wa DAIIMOND ndio kwanza mnampa ticket ya kuzidi kupanda na kuacha mbali
Asa hapo kosa lake nini, umeelewa kweli anachozungumzia au waandika tu
@@humbleshoal Dudu Baya mimi na kuku bali kwa mambo mangi tu lakini hapa kw Yesu kugeuza Jiwe kua Mkate huo sio ukewli nenda kasome tena Bibilia yako, ama pengine Bibilia ya kikatoloki ndivyo inavyo fundisha kwa sababu Dudu Babaya ni Roman Katoliki
Hajasema usile mihogo bt amesema usizurure ovyo ovyo kma nimihogo si wwe nimsanii uko na wafanyi kzi wko wwatuma juu kzi yausnii hua wtu wasikuone ovyo ovyo ili wakumiss so ukiwa na show wtu wawe wanatamni kukuona
We utakua mfuasi wake