Amina hakika hii ni semina nzuri sana maana mugogoro mingi ktk kanisa kwa baadhi ya parokia inasababishwa na Wanakwaya kutojua Litrujia inawataka nini ktk kanisa pia viongozi kuleta sheria na kanuni za Kilitrujia pasi kuwafundisha wahusika Si wanakwaya wote wanaijua Litrujia n nini
Shukraniiiii baba Askofu S. Libena,ujumbe tutaufanyia kazi,,nmejfunza mengi wasalm wana Ifakara jimbo
Amina hakika hii ni semina nzuri sana maana mugogoro mingi ktk kanisa kwa baadhi ya parokia inasababishwa na Wanakwaya kutojua Litrujia inawataka nini ktk kanisa pia viongozi kuleta sheria na kanuni za Kilitrujia pasi kuwafundisha wahusika
Si wanakwaya wote wanaijua Litrujia n nini
Bravo
MOJA YA MAASKOFU WETU NINAOWAKUBALI SANAAA.....MMOJA WAPO NI HUYO BABA ASKOFU LIBENA