Ni corra apa kutoka kenya/mombasa mwamba anajuwa sana young lunya ni mnyama. Achana na young killer mshikaji kwnye dakika kumi za maangamizi alishindwa na beat anachagua midundo
Tofauti ya lunya n killer ni kwamba Lunya tatizo anajisfia sanaa aseeh kweny nyimbo zake hasa za nyumaa... Ila Killer anajua sana hasa vitu vingii anaimba kuhus hits songs zimejaa sanaa
@@grgthedon9926 Hivii Fareed sijuii Mwana FA wanajisifia kila kweny nyimbo zao? Ni lini Roma akaimba nyimbo nzima anajisifia yeye? Rap ni kuhus kurudisha kwa Jamii kuiongelea jamii.. Ukiachana na I am ya Stamina ni nyimbo umemsikia akiimba akijisifia mwanzo mwisho? Niambie nyimbo ambayo Joh Makini kaimba anasifia tu all the time😂 Inachekesha sana na Fala juu nimeitwa etii kujigamba Msanii gani wa Hiphop mkubwa hapa Tz anaimba tu mipasho na kujisifia all the time kweny nyimbo zake 🤣😂😂😂
From kenya Malindi....Lunya Mwamba mzee....hii hapa ni next level....session si dakika 2 kwani ni chorus....killer kama anajiamini piga dakika saba mchano....lunya on bars💥💥💥
Brother komaaa sana music wako naukubali sana hakuna kinacho shindikana chini ya jua naamin one day kila mtu ata appreciate kazi zako jah bless u per many blessing ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾
Apanic kwa msanii ambae mara ya mwisho anaachia hit song sijui ilikuwa mwaka Gani?😂 Lunya kaziteka new generation unaona wazi kabisa wakitoa wengine hakuna anaestuka akitoa Lunya watu wote wanastuka cha mwisho anachukiwa Sana hiyo ni sababu Moja wapo ya kuwa yeye yupo juu kwa sasa
Naflah xana kuona comments ya kwanza inamgwaya huyu mr msifa hii nyimbo nisawa na mstal1 wa msodok mstal1 mstal1 huu wimbo naulnganisha na mstal1 kwenye nyimbo ya msodok
Lunya ni munoma sana tatzo flowi ni moja tu habadiliki ani...msikilize killer kwenye Leo msikilize killer kwenye exclusive interview amefamya zaidi ya unavofanya kwenye izo Flow bro..So Final killer is the best
Bhana eeh kwa hip hop hii hawezi mfikia msodoki bhnaa hao wanakubeba na huto amini siku hizi radio zitakupiga chini unahitaji kukaa chini kutuliza kichwa uimbe nyimbo the best na siyo kupauka msodoki anaimba kitu amacho unawezaza danlodi na kuweka kwa simu maana nyimbo inafaa kuisikiliza ila wewe ni kwamba una mbwembwe two lkn hip hop huijuw kama mnaniunga mkono gonga like
Hamna kitu kama "kinda legend" haya maneno ya kinge mnapenda kuyatumia ila hata maana yake hamuajui maskini. You're either legend or not, nothing in between. Kumuita mtoto kama Killer Legend ni kuitukanisha hiohop ya bongo.
Lunya wew unaimba kelele tukwambie tu ukweli ujue , msodoki ni package Yani kile ni kichwa kaka Yan msodoki kwa kizazi hiki ni sawa na Fid Q wenu I'm out
Lunya ni lunya pia kila ni kila ..wote wakali tofauti kwa sasa kwa hii gemu kila ni mwenyeji lunya ni mgeni na siku zote mgeni akienda sehemu lazm awe na bidii nyingi mda mwingine humpta hata aliye kua mwenyeji..NAHISI mmenielewa.
😮 you ung lunya nimmoja Kati ya marapa wazuri. kabisa.walo nachuki tu ilani rapa mmoja peke huyu mpuzi omay. nirapa mzuri na sijaona Young Kila cha kumtambia. Young lunya .kwasabau haenkezi bifu ila anaimba na nweza 💪
Big fan wa Sinaga swaga ila Mbuzi ni kichwa sahi ...vitu vimechange Lunya anaongoza sahi ...new style Msodoki is still the same kilasiku ...usifave TBT ...tunaangalia present Rap
Ungekua rapper wa kizazi Cha Sasa unataka ufike mbali kimziki.... management yako inakwambia lazima umshirikishe rapper mmoja ili utoke kimziki, Kati ya Killer na Lunya na nafasi n hyohyo moja tu...we unamshirikisha yupi?
Lunya n symbol ya rapper hatari Sana wa kizazi hiki 🔥🔥🔥.... huwezi mfananisha na young killer, rapper ambae Hana rap flow nzuri...killer n Kama mpoto wote Wana mistari mizuri lkn Hana rap flow nzuri....Sasa unakuaje rapper Bora wa kizazi Cha Sasa hauna flow nzuri..young killer rap yake n ya kizamani hawezi muaminisha mtoto wa miaka Saba au mitano hata siku moja kuwa yeye n mkali kuliko Lunya maana hata nyimbo zake sio tamu..hazivibe yani.
The problem is young Lunya anavuka border... His hip hop is new school.. the other one hata hajulikani... He's a local champion... Lunya Bana ni khaligraph Jones wa Tanzania
Young Lunya na Young Killer wote ni wetu Tanzania, hakuna kuanza kufanya comparison tuwasukume kwa support zetu wazidi kutoboa anga kwenye ulimwengu wa Hip Hop, Mtu anae compare wasanii wetu wa kitanzania ndie anae kill muziki wetu kufika mbali.
Lunya kwa sasa yuko moto sanaa coz anajituma sanaa anastaili kua best rapper kwa sasa
Sio kila Young ni killer Uwezo unajieleza Saruuuut kwa Young Killer mwanza mwanza 💥💥
Ni corra apa kutoka kenya/mombasa mwamba anajuwa sana young lunya ni mnyama. Achana na young killer mshikaji kwnye dakika kumi za maangamizi alishindwa na beat anachagua midundo
Huyu Mbuzi ni noma shida young killer ni wa kitambo, lunya ndo rapper wa kizaz kimpya , nachonga njia ili rappers wengine wawahi masomo lunya Ni noma
Tofauti ya lunya n killer ni kwamba Lunya tatizo anajisfia sanaa aseeh kweny nyimbo zake hasa za nyumaa... Ila Killer anajua sana hasa vitu vingii anaimba kuhus hits songs zimejaa sanaa
Ndo Hip Hop
Usikue fala bro .. rap music is all about kujisifu na kujigamba... Jua hip hop Acha ufala .
@@bennylove6021 😂 Maoni ya kwangu mwenyew na ufala juu naitwa 😂😂😂😂
@@grgthedon9926 Hivii Fareed sijuii Mwana FA wanajisifia kila kweny nyimbo zao? Ni lini Roma akaimba nyimbo nzima anajisifia yeye? Rap ni kuhus kurudisha kwa Jamii kuiongelea jamii.. Ukiachana na I am ya Stamina ni nyimbo umemsikia akiimba akijisifia mwanzo mwisho? Niambie nyimbo ambayo Joh Makini kaimba anasifia tu all the time😂 Inachekesha sana na Fala juu nimeitwa etii kujigamba Msanii gani wa Hiphop mkubwa hapa Tz anaimba tu mipasho na kujisifia all the time kweny nyimbo zake 🤣😂😂😂
@@grgthedon9926Bora umemjibu fala huyo mziki lazima ujigambe 😅😅😅😅
Msodokiiii na omba like zake
Lunya hafanan na mtu yyote, ukkfananisha na killer Ni kmkosea heshima..
Killer ndo mkali🎉
Young lunya big up from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I Love All Bongo Hip Hop Songs But Young Killer Is The Killer In This Generation
Watu wa killer tujuane apa ✌🏾maana huyu dogo me simuelew
Utajuw soon tuliza komwe msikiliz mnyawez😅
Killer mkali wao
yey mwenyewe akuelewi
From kenya Malindi....Lunya Mwamba mzee....hii hapa ni next level....session si dakika 2 kwani ni chorus....killer kama anajiamini piga dakika saba mchano....lunya on bars💥💥💥
No one like lunya kweny mayoung wote 🔥
Wote ni wakali mana ni wetu hapa hapa bongo tujisifie kuwa na marapa wakali bongo sio kumpandisha 1 mwingne ashuke 🔥🔥
Brother komaaa sana music wako naukubali sana hakuna kinacho shindikana chini ya jua naamin one day kila mtu ata appreciate kazi zako jah bless u per many blessing ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾
sanaa lunya big up we learn the game mbuzi BAMBURI KENYA .....place to be est zuu
💯
Lunya wewe ni king.from kenya
Young lunya anajiheleza vizuri nampenda hana ubaya
Lunya kaka unajua sana god bless you
KILLER MSODOKI MWANZA MWANZA NI KING WA MA YOUNG WOTE
Even if you are good rappers, remember this is David's city
@@lazaromaria5334 who's David???
Young ni mmoja tu naye ni killer 🔥🔥🔥
Oee uko juu lunya nakukubali sana
Lunya anajua ndio ila killer ndio mwisho yaan funga break 🖐🖐
Ukweli
Usiopinginga comment nyingi ni za kumkubali killer inaonesha jinsi gani killer ni hatar
Semaa Game ya HipHop inatakiwa iwe ivy ilikua imepoaaa kinom BigUp kwa Y Killer&Lunya......
Lunya Una Matambo Tim Killer Sis Sio Wew Sinchi
Kwani unataka je? 😂😂😂😂 Hiyo ndo RAP ulitaka aimbe ya kanisani?? Huyo ana RAP haongei kama huyo boya wenu
@@MrTop-wj7no Matakowewe hujielewi
Young Lunya utaimba freestyle zote lakini kumfikia Young Killer bado sanaa afu mbona kama umepanic
Apanic kwa msanii ambae mara ya mwisho anaachia hit song sijui ilikuwa mwaka Gani?😂 Lunya kaziteka new generation unaona wazi kabisa wakitoa wengine hakuna anaestuka akitoa Lunya watu wote wanastuka cha mwisho anachukiwa Sana hiyo ni sababu Moja wapo ya kuwa yeye yupo juu kwa sasa
Bora ata umemwambiya
@@Oldskulgemini9991 ki ukweri hakuna hip hop apo mkuu
@@mejjaaokonkofwatilia Hipop za kina The OG na kina SARKODIE ndo ujuwa kwamba hii ndo RAP
Lunya ni rapa mzur kias ila MSODOKI ni bora zaid gonga like nying kwa MSODOKIII
Mwambieni killer afanyie kazi flow...lunya ana flow kali sana.huo ndio ukweli na ndio kinachomfelisha killer kwa sasa
MZE LILI HAWEZ KUKAA KWENYE KITI.KWA HALI HIYO.
Wewe si unaijuwa hip hop
@@nicholausmbilinyi3587 wewe si unaijuwa hip hop
@@mejjaaokonkoLUNYA mpeni maua yake mnabisha nini?
Naflah xana kuona comments ya kwanza inamgwaya huyu mr msifa hii nyimbo nisawa na mstal1 wa msodok mstal1 mstal1 huu wimbo naulnganisha na mstal1 kwenye nyimbo ya msodok
Lunya kama unasoma comment Utaacha kumdiss young killer ! Raia wamekukataa broo😂
😂😂😂😂😂😂😂
Huna jipya wew Msodoki tunamjua since day uno so bado humuwezi chalii🔥🔥🔥
Until hii mike itupwe hakuna mwenye ataspit on it like this🔥🔥🔥🔥 unyama ni mwingi sana
Young Killer mwambie matuc tu na kufugwa na mzungu, mwenzie hana mwanamke anaemtegemea na anapasua, TEAM LUNYALILE like hapa 😁😁😁😁😁😁
Msodoki ❤🎉
Lunya uwezi😅
Msodoki ni babu yako kimziki yuko kwenye game long time
Siri ya killer kwanza weka young Kisha killer.
Killer ni muuwaji ila Sina maana hiyo ni ya driller.....
Lunya 1,2 and 3
Session 5 to the world 🌍 🔥🔥🔥🐐🐐🐐
Killer ndo star long time Linya nimzuri bt haezi killer
Lunya ni munoma sana tatzo flowi ni moja tu habadiliki ani...msikilize killer kwenye Leo msikilize killer kwenye exclusive interview amefamya zaidi ya unavofanya kwenye izo Flow bro..So Final killer is the best
aaaah killer kapoa sana dg katake over
Anafosi kurud kwa nguvu
@@bennylove6021umeona EEE? 😂😂
@@jaybee3429 killer mnoma
Mwanangu lunya sikupingi dady
Lunya 🔥❤️🐐
Lunya mnyama. Sana msukuma akachunge ngo,mbe
This man is 🔥🔥🔥
Tuseme kweli huyu mwamba hafiki Kwa young killer
The guy is so talented
Talented ever
Big Mr mbuzi 🦌 toi are the best bro 🔥🔥🔥🔥
Fire 🔥 🔥 🔥 🔥 blessed u
Number 1 2 3 nanjo mwisho 🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
Sio kila young ni killer killer ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Duh kumbe umeisikiza kweli killer ni balaa 😂😂
Gonga like Kama unaamini YOUNG KILLER Hana mpizani kwa mayoung wote💥
Young killer apo afiki lunya Ni noma
Killer❤
Bhana eeh kwa hip hop hii hawezi mfikia msodoki bhnaa hao wanakubeba na huto amini siku hizi radio zitakupiga chini unahitaji kukaa chini kutuliza kichwa uimbe nyimbo the best na siyo kupauka msodoki anaimba kitu amacho unawezaza danlodi na kuweka kwa simu maana nyimbo inafaa kuisikiliza ila wewe ni kwamba una mbwembwe two lkn hip hop huijuw kama mnaniunga mkono gonga like
Masnich kaww nang'oa puwaa 😂😅
Nan anajua hio punch line😂❤ young------
Tanzania tuna Mbuzi mmoja tu,Fid Q.period
Oya lunya ndio rapper kipnz Cha vjana weng wanyamaa elewa vijana wanyamaa sio vjana analog 🤣🤣
Hamna kitu kama "kinda legend" haya maneno ya kinge mnapenda kuyatumia ila hata maana yake hamuajui maskini. You're either legend or not, nothing in between. Kumuita mtoto kama Killer Legend ni kuitukanisha hiohop ya bongo.
NOW LUNYA IS THE BEST RAPPER IN EAST AFRICA 🌍🦅🔥
KAMA UNABISHA NIKUTE HUKU BURUNDI 🇧🇮 NIKUCHANE FREESTYLE 3
Tutolee ushamba wako wa Burundi haujui mzikwa TZ kaa kimya kilaza wewe
Team Mbuzi Gonga like hapaaaaa
Lunya wew unaimba kelele tukwambie tu ukweli ujue , msodoki ni package Yani kile ni kichwa kaka Yan msodoki kwa kizazi hiki ni sawa na Fid Q wenu I'm out
Mziki vi vibe...na wewe unazo 💥💯🙌🙌
Even if you are good rappers, remember this is David's city
Lunya got swaggs 🔥🙌
True say
Young killer is the best🎉🎉
Lunya ni lunya pia kila ni kila ..wote wakali tofauti kwa sasa kwa hii gemu kila ni mwenyeji lunya ni mgeni na siku zote mgeni akienda sehemu lazm awe na bidii nyingi mda mwingine humpta hata aliye kua mwenyeji..NAHISI mmenielewa.
Dah kila comments ni killer haha 😄
Sema MBUZIII...🐐🐐🐐🐐🐐🐐🔥🔥🔥🔥
Huna jipya dogo humuwezi Killer achana na msodoki 💪🏽🙏
Big diamond in tz love from ke
😮 you ung lunya nimmoja Kati ya marapa wazuri. kabisa.walo nachuki tu ilani rapa mmoja peke huyu mpuzi omay. nirapa mzuri na sijaona Young Kila cha kumtambia. Young lunya .kwasabau haenkezi bifu ila anaimba na nweza 💪
Lunyà ndio you're big rap but kwa killer anakukalisha chini
Big fan wa Sinaga swaga ila Mbuzi ni kichwa sahi ...vitu vimechange Lunya anaongoza sahi ...new style Msodoki is still the same kilasiku ...usifave TBT ...tunaangalia present Rap
I’m not rapper or singer but killer is fire 🔥🔥🔥
Ungekua rapper wa kizazi Cha Sasa unataka ufike mbali kimziki.... management yako inakwambia lazima umshirikishe rapper mmoja ili utoke kimziki, Kati ya Killer na Lunya na nafasi n hyohyo moja tu...we unamshirikisha yupi?
@@Richlord226killer anajina kuliko hyo lunyaa
dunia mwendo wa ngisi kung'aa sio lazima star ashushwe. young killer uandishi. lunya swaggs
This guy trings🎉🎉
Lunya ninoma😍😍
Realest🐐
Young kill best rap
Lili ommy nimeipenda hiyoo 🤣🤣 ya mzee wa Banda amevyoo vyaa kihip papu
Huwezi kushindana na young killer bado sana na Leo naona umepanik 😂😂
Young killer mnyama mamaeeee😊😊😅😅😅
Lunya n symbol ya rapper hatari Sana wa kizazi hiki 🔥🔥🔥.... huwezi mfananisha na young killer, rapper ambae Hana rap flow nzuri...killer n Kama mpoto wote Wana mistari mizuri lkn Hana rap flow nzuri....Sasa unakuaje rapper Bora wa kizazi Cha Sasa hauna flow nzuri..young killer rap yake n ya kizamani hawezi muaminisha mtoto wa miaka Saba au mitano hata siku moja kuwa yeye n mkali kuliko Lunya maana hata nyimbo zake sio tamu..hazivibe yani.
Kuna ujumbe wako huku kutoka mwanza njoo ujibu bro
Kwan mkisema session 5 ni kali kuna ubaya??? Iko on fire aisee Y’ Lunya mkali
dogo mna mnyanyua sanaaaaaaa killer anajitegemea
Mtampiga sana promo lakn bad hatomfikia msodoki
Shida yake huyu Lunya anajisifu sana afu dharau ata anavyoongea.
Semaa Killer mkaliii san New Generation 2019's wasijisahauuu...
Noma sana
Anajua lakini siwezi nikamlinganisha naa killer alifanya poaa naa badoo anafanya paaa , it means that killer nii mmojaa tuuu
Msodokiii humuwezi kaa kimya young killer ni mto wa kuotea mbali xnaaaaaa
Mwambie😂......killer....nuks.....mwamber
Killer ninoma amuulize young d na janjaro amuulizie nay utakalishwa
@@youngchuda1568bifu limewashinda
The problem is young Lunya anavuka border... His hip hop is new school.. the other one hata hajulikani... He's a local champion... Lunya Bana ni khaligraph Jones wa Tanzania
Young Lunya na Young Killer wote ni wetu Tanzania, hakuna kuanza kufanya comparison tuwasukume kwa support zetu wazidi kutoboa anga kwenye ulimwengu wa Hip Hop, Mtu anae compare wasanii wetu wa kitanzania ndie anae kill muziki wetu kufika mbali.
Marafiki watu hawajui
Lunyaaa🔥🔥🔥
Kuna vitu ving vya kuandika kuhusu maisha as the real meaning of Hip hop hakuna ngoma umendika hayo madini so acha kukataa
Tunamwomba killer hapa wasaf pls
Then huo sio unyama ni uoga,Unadiss watu inaonekana then unakuja kukataa huo ni ushoga.
Young lunya unajuaa,but killer ni levo inginee
Tuliaa mzee msodokii ni motoooo😂😂😂
Sinaga swaga is talented 4 sure msodoki mtoto wa killer