KHUTBAH YA IJUMAA ,TUNAWASAIDIAJE WAPALESTINA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @nazraseiban1082
    @nazraseiban1082 ปีที่แล้ว +2

    Barak'Allah feek Shk. Elmi...uko fasaha mashaAllah...Allah akuhifadhi uzidi kutuelimisha 🤲

  • @zawadihagabimana1712
    @zawadihagabimana1712 11 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah hayra

  • @sayshabani6350
    @sayshabani6350 ปีที่แล้ว

    Inaumiza sana
    Ila inshaallah tuendelee kuiombea dini yetu usindi upo karibi
    ALLAH AKBAR

  • @SaidAbaas-z6z
    @SaidAbaas-z6z ปีที่แล้ว +1

    Kushinda kila siku haimaanishi kua wewe ndie mwenye haqqi kwa faarauni aliuwa watoto wangapi na alidumu miaka mingapi mungu anamtazama tu na ulipofika muda wake farauni alidhalulishwa

  • @swalehabubakar4833
    @swalehabubakar4833 ปีที่แล้ว

    Kuna bwana mmoja ate tea Ezrail. Lakini hajui asemacho

  • @muddjigal4096
    @muddjigal4096 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleikum.......Tatizo kubwa la ndugu zetu wa Bara Arabu ni kwamba wana afadhalisha sana urangi kuliko udini !!! Nimeishi nao kwa muda mrefu sana ila bora kwao ni rangi ya ngozi kuliko dini, Muhindi na mtu wa magharibi wanampa kipao mbele na kuwakirimu zaidi kuliko MUISLAMU mwenziwao Mweusi. INAHUZUNISHA SANA !
    Nina amini hata hawa wafalstin wangekua na nchi yao bado wangemdharau na kum'bagua muislamu mweusi(Hususan Muafrika) kama tunavyoshuhudia hivi sasa katika nchi zao kadha wa kadha.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +1

      Kupenda dunia na sio rangi maaana waarabu ni weusi baadhi yao tu ndio weupe lkn waarabu hasa rangi zao ni weusi kdg.wnaapenda pesa maaan makampun ya Israel 🇮🇱yamejaa nchi za kiarabu.

    • @Werema3760
      @Werema3760 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @hafsamansoor3977
      @hafsamansoor3977 ปีที่แล้ว

      Si kweli wewe kusema wanabagua. Nibaadhi tu ya watu

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 ปีที่แล้ว

      @hafsamansoor3977 Sio baadhi na kwa haki lillahi wengi wao wana taasubi ya kibaguzi hususan kwa waafrika weusi, kwao bora wanaoabudu ng'ombe sababu ya rangi yao.....USIFICHE UBAYA Hafsa !!!

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 ปีที่แล้ว +2

      Ww shida yako waarabu au waislamu?ubaguzi wao waachie wenyewe ww pigania Dini

  • @mussarukigwa3453
    @mussarukigwa3453 ปีที่แล้ว

    Hamasisha vita lakini Israel Hamuiwezi maana ile ni ardhi ya sababu zao hebu fikiria wao kwao wapi? Je nilini mulisha washinda vita

    • @shabansaid2323
      @shabansaid2323 ปีที่แล้ว +3

      Kama dola ya warumi ambayo ilitawala dunia karne kadha imeanguka. Israel nani?