DUUUH!! SHABIKI WA SIMBA AONGEA KWA UCHUNGU, SIMBA HII BADO SANA, YANGA WANA TIMU, SISI TUNAJITAFUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 135

  • @mussasalum652
    @mussasalum652 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kaka nimekuelewa hoja zako big up

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 2 หลายเดือนก่อน +11

    Feruzi umeeleweka,,,nimekuelewa,na upo sahihi kabisa.

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 2 หลายเดือนก่อน +14

    Jamaa anaongea ukweli ambao haupendwi na mashabiki wengi wa simba! Ninachokiona mimi pale simba bado wanaishi kimazoea na kufanya mambo ya kizamani wakati muda umeshatuacha na mambo yamebadilika sana, simba ikitaka kuhama huko iliko inatakiwa mabadiliko ya uongozi na uwekezaji, mfadhili mwingine pia mwenye kiu ya mafanikio na sio ujanja ujanja unaondelea pale simba! Scouting ya simba ni mbovu haijawahi kutokea, pale simba kwa Sasa labda ashuke Malaika Kuja kufanya miujiza lakini kwa Sasa simba ni kama mtibwa tu hakuna tofauti

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน +18

    Hao hawawezi kukuelwa kwa vile wamekalia oohh bahasha, oohh gsm, oohh wanakunywa supu, oohh wachawi, oohh wanapendelewa, bas vurugu mtupuuuuuuuu.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu si alikua anasifia usajili😂😂😂? Sasa hivi vipi! Huyu huyu! Kasifia sana Mo! Na Bado! Mechi moja tu mnalia, subirini 😂😂😂

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 2 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂 safiii,eti unajenga tim kwa ma MVP wanchi za kigeni,wasidanganye watu😂😂🎉🎉🎉

  • @HassaniNtimba
    @HassaniNtimba 3 วันที่ผ่านมา

    Jamaaa kaongea Kwa uchungu sana kweli Simba mashabiki wapo wa dhati kabisa ila uongozi wao tu ndio shida.

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa ndio simba wenye kujitambua sio wale simba oya oya

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 2 หลายเดือนก่อน +4

    straiker anakimbia anafumba macho😂😂😂

  • @ratybkheir8674
    @ratybkheir8674 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mambo ninayoyapenda haya 😂😂😂

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 หลายเดือนก่อน

      Napenda waendelee kufarakana 😂

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@jaffjeff6912na watatafutana msimu huu 😂😂😂 ,

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 หลายเดือนก่อน

      @@errydeo8865 muda simrefu utawasikia kocha aendani na timu au atumtaki Mangungu 😂 😂 tumemis sana hivo vitu

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      @@jaffjeff6912 aisee,msimu huu utakuwa raha sana! Weshaanza,Yanga wanatumia madawa ya kuongeza nguvu🤣🤣🤣( sio uchawi tena) kocha wao,bado hajawashiwa moto, na msauzi asivyopenda kuwakiwa na mweusi! ( Mkaburu yule) Wee?

  • @priscamboya3091
    @priscamboya3091 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nyie mnamtukana mtu Kwa kuongea ukweli mnazidi kulilaani timu lenu shauri yenu

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 หลายเดือนก่อน

      Hao ukiwaambia timu nzuri Haina shida wanakupigia makofi ila ukikosoa utatengwa

  • @johnmndeme1050
    @johnmndeme1050 หลายเดือนก่อน

    Hamia yanga

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 หลายเดือนก่อน +3

    Feruzi Mimi nakuelewa endelea kutujengea timu yetu wewe na Miraji tupo nyuma yenu tunaopenda maendeleo ya Simba

  • @frankcryk3241
    @frankcryk3241 2 หลายเดือนก่อน +1

    nimechukua hii brother Yule mtoto alivyo na akiliiiii kazi tunayo

  • @JumaBega-ro7du
    @JumaBega-ro7du 2 หลายเดือนก่อน +4

    Simba wanachukua wachezaji ambao hawana viwango

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bado kaka,mazoea yanatabuuu

  • @SINDAWAWA
    @SINDAWAWA 2 หลายเดือนก่อน +1

    Upo vizuri sana jamaa yangu na Brandi itashuka sana

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kolo wote kama mngekuwa kama huyu mwenzenu mngekua tayali mko mbali sana huu ndo ukweli mchungu kolo fungukeni mnadanganywa na viongozi wenu wabovu duniani koye hakuna mhindi anaendesha club yampira zaidi ya rugby

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      Hamna kitu, alikuwa anasifia usaji wao😂😂sasa HIVI wameanza kuona hamna usajili wa bilioni 7😂😂! MO NA UONGOZI,na msemaji wao, wanawadanganya! Na namwambia kolo msimu huu, watapigwa sana !

  • @ShabaniAyubu-u5x
    @ShabaniAyubu-u5x 21 วันที่ผ่านมา

    JAMA anajua mupila

  • @daniellukumay523
    @daniellukumay523 หลายเดือนก่อน

    Umeeleweka kaka

  • @AdolophinaShawa-pd8yo
    @AdolophinaShawa-pd8yo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Acha inyeshe tuone panapovuja😢😢

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂Mshambuliaji kafumba macho!

  • @BennBenn-es5fi
    @BennBenn-es5fi หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 Simba ilikua bora wakati Yanga walikua hawana uwezo.

  • @MakoyeMakoye-i4h
    @MakoyeMakoye-i4h 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli wanakata pumzi wanakata Moto, kama kapombe hadi miguu inakufa ganzi na kugandana wanacheza kwa mihemko kuwafurahisha washabiki kutegemea sifa kutoka kwa mashabiki

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyiye mashabiki wasimba msikileni sana anachoongea Nasoro hapo mmekalia kumsikiliza msemaji wenu na porojo zake kila mala

  • @hellenmchomvu6296
    @hellenmchomvu6296 2 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅Nimecheka kwa nguvu

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba ubabaishaji kwenye sajili unashida pia uongozi haunawatu wa mpira

  • @violethNamz
    @violethNamz 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka umeongea pont❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Zaka-hv9ui
    @Zaka-hv9ui หลายเดือนก่อน

    Hahahaaaa makolo hawapendi kuwaambia ukweli

  • @danielzambi8993
    @danielzambi8993 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mh!Mtani kwa apo ulipofika umeumia vya kutosha,naweka utani pembeni nasema pole Mtani

  • @DaudiMohamedHassan
    @DaudiMohamedHassan 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga bingwa tena

  • @Emmydeo-jm7zy
    @Emmydeo-jm7zy 2 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊😊😊😊

  • @hoseadyson4474
    @hoseadyson4474 2 หลายเดือนก่อน +5

    Daa feruzi toka nimekufahamu leo umeongea ukweli na kama viongozi wako watakusikiliza ukweli unaongea wataufanyia kazi ila kama bado wanachumia tumbo mtateseka sana

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 หลายเดือนก่อน

    Unaongea kwa mbwembe mashabiki wa Yanga wanakufurahia tu...miaka mitano ya Nyuma ulikuwa unaongea Nini..Yanga walisafa miaka 3 ya nyuma na walichukua wachezaji kutoka Congo ... brother ni suala la Muda tu...huo ndio Mpira lkn kama unaongea kwa kutafuta Viewers na hiyo on line media yako big up

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka waeleze ukweli viongozi wa makolo Bado usajili wamefeli🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kawchana

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 2 หลายเดือนก่อน

    Duuuu😂

  • @AbdulMgude-iv1ql
    @AbdulMgude-iv1ql 2 หลายเดือนก่อน

    hamjui mpira simba ktk mechi mbili goli saba mnalalamika simba iliyochukua ubingwa haikuwahi pata goli saba ktk mechi mbili za mwanzo

    • @adamsonmwasumbi4201
      @adamsonmwasumbi4201 2 หลายเดือนก่อน

      Kak kwa timu gani goli 7 wachezaj wasio na vibali😂😂😂😂

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashabiki w a simba wanapenda upuuzi wa gb 64 tu mwingine akiongea ukweli anaambiwa mamluki

  • @rashidihemedi5517
    @rashidihemedi5517 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wenzenu wanakwenda kuhemea supermarket wakat nyie mnakwenda kuzoazoa wachezaji wa kurujuwani😂😂😂😂😂

  • @aliissa8781
    @aliissa8781 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa namuenea huruma maana amejaa ushabiki kweli ingawa wengi watachukia

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 2 หลายเดือนก่อน

    Bora sema kaka achana na kina gb 64 chaji hamna pale

  • @HassanRubota
    @HassanRubota 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lina roho mbaya uso mbaya Tabia mbaya akili mbovo nguruwe Poli usituvuruge sisi Simba sio watu was matusi unalazimisha tukutukane wew kama n kipofu ss tunaona Simba imebadilika sana

  • @SelfBakar-j5m
    @SelfBakar-j5m 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vzr kaka

  • @KhalfaniSaidy
    @KhalfaniSaidy 2 หลายเดือนก่อน +1

    SIMBA MKIPATA VIJANA KAMA HAWA 10 MTAELEWEKA

  • @SelemaniHamis-z2b
    @SelemaniHamis-z2b 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli Koloa wangekua kama huyu jamaa duu

  • @NassibAbdalla
    @NassibAbdalla 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe yanga umetimwa

    • @barikilaurent699
      @barikilaurent699 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo ana machungu kukuzidi wewe

  • @vangraphixvan8320
    @vangraphixvan8320 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usifungue code

  • @MuminMuminamduni-hx4pk
    @MuminMuminamduni-hx4pk 2 หลายเดือนก่อน

    Aliekosea ni elisasi angeachezesha mechi kihalali tukawanyoosha hakuna kolo angekuwa anatowa matusi

  • @RestutaLeo-xq7rf
    @RestutaLeo-xq7rf 2 หลายเดือนก่อน

    Simba tuwe making San na hawa watu,, kushindwa mara tatu ni sehemu ya mchezo mbona ht wao walisubir miaka mnee? Ndio tumefer lkn hatupasw kulalama kia
    S hicho

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wanakuja wanakupiga wewe tuh 😂😂😂Mara Tatu jamaa Anapointi sanaaa asikilizweeee😅

  • @epmakala7994
    @epmakala7994 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu kocha wa academic siyo tim

  • @AhmedMohamed-zj8hi
    @AhmedMohamed-zj8hi 2 หลายเดือนก่อน

    Ajalewa kweli huyu

  • @AsMakambaGroup
    @AsMakambaGroup 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani mpaka mseme na bando mtakoma kenge nyinyi

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 2 หลายเดือนก่อน +2

    Feruzi waambie ukwel ao madunduka wasuojielewa

  • @MussaKingu255
    @MussaKingu255 2 หลายเดือนก่อน

    Mapeema kazi imeanza

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @IddoMbogo-c2u
    @IddoMbogo-c2u 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio ana akili simba nzima 😂

  • @ZalhathamohdSaid-qn4jj
    @ZalhathamohdSaid-qn4jj 2 หลายเดือนก่อน +2

    ubaya ubwela

  • @MagaliKiswili-bj6yz
    @MagaliKiswili-bj6yz 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndio mnjanja simba imekua timu ya komedi sasa ivi msemaji wa makolo anadanganya mashabiki alafu mashabiki wana mshangilia atari sana kwakweli

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa Nimemuelewa aliposema kwamba MO alilalamika ametoa bil 20 wamezila...leo katoa hela za usajili Halafu kawarudisha walewale.....🤣🤣🤣....lkn MAKOLO washasahau 🤣🤣🤣

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 2 หลายเดือนก่อน

    Mapemaa wameanza ndio mechi ya kwanza tu.

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu bro anajitambua una udunduka kidogo

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

    Akiongea MCHOME, Sam SIMBA, utasikia ohhh, yanga wale! Ila wanasema ukweli

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 2 หลายเดือนก่อน

    Sngekuwa simba angekuwa na mkia

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 2 หลายเดือนก่อน

    Makoro Wengi hawata mwelewa huyu jamaa lakini naamini watamwelewa mda c mrefu kabisaaaa.

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el 2 หลายเดือนก่อน

    Waambie hao wengine hajielewi timu bovu upon sawa

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 2 หลายเดือนก่อน

    Ulieva jez ya Simba ndo nimekuelewa naligi yetu sasaivi imekuwa

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka unahoja ya mhm sana achana akina ksugu

  • @IddiMpalange-sx8ii
    @IddiMpalange-sx8ii 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anaongea pwent alf anaongea kwa uchungu

  • @lazaroaloyce6649
    @lazaroaloyce6649 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tengeneza timu yako bwege ww kazi kulalamika tu,timu hii ya Simba haina shida yeyote ni muunganiko tu ndo kilichobaki...

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 2 หลายเดือนก่อน

    Wachezaji wazuri mimi naona shida ni kundi la ufundi na Kocha

  • @BakariMdoe-m8b
    @BakariMdoe-m8b หลายเดือนก่อน

    Kunywasoda kwa mangi nakujakulipa

  • @WilfredSaidi-st3tn
    @WilfredSaidi-st3tn 2 หลายเดือนก่อน

    Ongea qaq kolo make hawakuelewi😢😢😅😅

  • @stevematias7809
    @stevematias7809 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa c uwende ya proo Sasa kipi unalalamika

    • @jaylosalphonce9659
      @jaylosalphonce9659 หลายเดือนก่อน

      Hivi steve umeandika nn dah! Mazwazwa ww.

  • @ericsangasa9872
    @ericsangasa9872 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaaa kaongea fact kabisa , maoni murua kabisa

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ahamed amesikia??

  • @kilulumtunyungu9369
    @kilulumtunyungu9369 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ni brain 🧠🧠🧠 ya kwanza kuliko wote simba

  • @DenisMalima-cq9hp
    @DenisMalima-cq9hp 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mtu mwenye akili zake. Huyu sio chawa. Huyu ni mtu hambae hanajua mpira. Sio kama wale wakina kisugu. Na Gb.

  • @MartinMwakalobo
    @MartinMwakalobo 2 หลายเดือนก่อน

    Bado hamjasema bado hamjasema bado bado kumbe kuna wana simba wanaakili hivi ndio maana mimi nilivyo ona simba inasajili wale madogo ndio nikaona hawa hawawezi kumleta mchezaji kama Aziz ki feitoto pacome kwasababu pesa inapelekwa ndogo lafu tunaambiwa pesa nyingi sana sasa hivi tunaambiwa bilioni 7 kuelekea 8 kabisa si kupigwa uko

  • @manyotanyanguleti2058
    @manyotanyanguleti2058 2 หลายเดือนก่อน

    Nyiee makoro gamondi atawafukuzisha makocha wengi Africa poreni sana

  • @FrankKajwaula
    @FrankKajwaula 2 หลายเดือนก่อน

    SIMBA HAINA SHABIKI ZUZU

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 2 หลายเดือนก่อน

    Semasema baba ukweli Simba mbovu wakubali wakatae hawana levo ya wachezaji wa yanga alafu vijana hahahahah sijaona vijana kamahao

  • @philiminamlosa
    @philiminamlosa 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe kweli ni kolo unae jitambua wewe waache watafute muunganiko sisi makombe tunachukua😂

  • @Brayan-i4g
    @Brayan-i4g 2 หลายเดือนก่อน

    Mm ni shabik wa yanga ila mwamba upo vizur unaongea pwent

  • @philiminamlosa
    @philiminamlosa 2 หลายเดือนก่อน

    Yan wewe jamaa unaakili na wewe hupewi posho ya kusifia kama wakina kisugu ila kweli timu ya Simba ni mbovu asilimia 100 kama wachezaj wanatudanganya ma MVP wakila nchi then uwanjan 0 huo ni utapeli wakuaminika ko tutazid kuitwa madunduka had 2030

  • @NassibAbdalla
    @NassibAbdalla 2 หลายเดือนก่อน

    Muko wengi nyinyi

  • @MohammedMohammed-is8el
    @MohammedMohammed-is8el 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu shabiki maandazi kapenda mpira ukubwani

    • @philiminamlosa
      @philiminamlosa 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndie andaz usiye jitambua

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 หลายเดือนก่อน

      Duuuh @Mohammed basi Simba nzuri wamesajir wachesaji viwango vya juu

  • @alfredbowa9677
    @alfredbowa9677 2 หลายเดือนก่อน

    Wezio wengi mandundu sana hawaoni ayo

  • @maharusimedia8310
    @maharusimedia8310 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 2 หลายเดือนก่อน

    Njaa anakusimbuampuuzi

  • @yakoubkimeza2629
    @yakoubkimeza2629 2 หลายเดือนก่อน

    Angalia sana tutakufungiia na ujifunze kuongea wewe

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 2 หลายเดือนก่อน

    Ushakunywa supu ya vibudu unasumbua wanaume

  • @Nassoromohamed-ig7bz
    @Nassoromohamed-ig7bz 2 หลายเดือนก่อน +1

    kwani wewe lazima ubaki simba nenda huko nyinyi wapenzi wa mchongo tumeshawagundua hamtubabaishi hulazimishi kuwa simba mnajifanya simba kutaka mtuvuruge hamfanikiwi

    • @MusaMoses-g3l
      @MusaMoses-g3l 2 หลายเดือนก่อน

      Ww n brain zero!!! Na m kuchukua ubingwa wa ndan tuu tunakomaa!!!

    • @dawayao2837
      @dawayao2837 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mashabiki maandazi Sasa kweli wewe unaona timu iko vizuri kabisa? 😂😂 Kumbuka ligi ndio imeanza huko kujitafuta ni mpaka lini? Mkija kushtuka yanga bingwa na mnaishia nafasi ya nne😂😂

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@dawayao2837alafu utasikia Gsm anatimu nyingi

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona mapema hivi nyie makolo

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu naye ni mkundu tu.

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 2 หลายเดือนก่อน

    Mara ubwelaaa,misemo ya kijinga kijingaaa🤣🤣🤣🤣💚💛👍💪💪zetu dua cku zote

  • @HappyClogShoes-hp9ho
    @HappyClogShoes-hp9ho 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kumbe dunduka ni nazi isiyokua na kitu

  • @HappyClogShoes-hp9ho
    @HappyClogShoes-hp9ho 2 หลายเดือนก่อน

    Dunduka ni nazi isiyokua na kitu ety😂😂😂😂😂😂

  • @johnmndeme1050
    @johnmndeme1050 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mamluki.

  • @charlesmashindike4874
    @charlesmashindike4874 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mbumbumbu kweli anashida gani