Bro Uishi miaka mingi..Unawazaga mbali sana tuishi nao vizuri Hawa ila wasidhan Kila mtu anapenda kiki.Ila nafurah Kwa kumsamehe..Hata mm wale wanaozingua Sikuhizi nawapunguza tuu ntaishi na wanaoendana na mm.
Oya wewe chiz kwaiyo Mungu yupo kwenu uko waislama nakama mbaka sasaiv mpo mwaka 1441 miaka yanyuma watu waliabudu Mungu Gani kwenye vitabu vyote vyamitume Mungu anatambulika kama Jehovah isipokuwa uislam mnatuletea Allah mnaemuabudu pamoja na Majin I na mnarazimisha tusiemfata uyo Mungu wenu et sisi nimakafir😂😅 Yesu ndie njia ya kweli na uzima hauwez kufika kwa Mungu muumba mbingu na ardhi bila kumpokea Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha Yako🙌🙌
Kwa hio mkristo akiingia kanisani nae anakuwa kalaaniwa acha ushamba maisha ni yake na hujawahi kujifunika shuka moja na Mungu ujifanye unajua saana kuhusu Mungu
@@frankjohachim5405 mungu akusamehe mwaya..mungu huyo huyo unae muabudu ww ndio huyo huyo tunae muabudu sisi unavyo sema mungu wetu unamaanisha nn hivi umesoma dini au unasema tuu au unaijia sna dini ya kiislam kuliko wenye dini yao?? Allah means mungu so ww unaongelea nn..kwenu yehova kwetu ALLAH upo! Hata hap mitume mulio waandika kwetu pia wapo usiwe unaropoka tuu mamb ya iman na huna unalo jua
@@anniemallagi kitabu gani kimesema mwenzang hembu niambie mie sijui...na pia uniambie nimepoteza maan ya nilicho kiandika baada ya kuandika kwa herufi ndogo..usitake nikufuru jmn muhim umeelewa
Sema ringo😂😂😂😂😂 kama umemuelewa gonga like apa
Allah akurehemu big bro akuzidishie umri na hafya mzuri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Sema Ringo hata akiwa serious bado anachekesha😂🙌
Kweli 😂😂😂😂
😅😅😂
😂😂😂
Ringo oyah brother rudi kwenye show man tulikumis sana huku bro achana na wanatafuta kick kwa boss wao
Ringo. Big. Up. Sana. Point. Unayo ongea
Ama kwa hakika tizameni miguu yangu na mikono yangu ni Mimi mwenyewe 😂😂😂😂😂😂 ringo ati mke wangu kafinya saaana😂😂😂😂
Hii interview imenichekesha sanaa
Daaah Pole sana Ringo. Lakini nimeelewa ulichojieleza. Mkali ana shida
😂😂😂 Ringo bhana anachoongea na ukimwangalia usoni hata haviendani 😂😂😂😂
Kabisa
Kweli bro huyu jamaa anajua 😂😂😂😂😂😂😂
umeona eeh
Nami niliona ilo zaman san
Bro Uishi miaka mingi..Unawazaga mbali sana tuishi nao vizuri Hawa ila wasidhan Kila mtu anapenda kiki.Ila nafurah Kwa kumsamehe..Hata mm wale wanaozingua Sikuhizi nawapunguza tuu ntaishi na wanaoendana na mm.
Ila Ringo🙌🙌🙌
Ivi ni Mimi tu nikimuonaga Ringo nacheka au Kuna mwingiy😂😂😂😂😂
😂😂😂ako hivo
Aussi fort que toi
Huyuu jamaaa n noma 😂😂😂😂
My best comedian in this country
Q😊q
Ringo anafanya commed kwenye interview 😂
Mimi niliumia sana,nilijua kweli,lakini punguzen kiki
Huyu jamaa ata hawez kukasirika kwa kwel
Hapa ni comedian 2pu hamna usereus😂😂😂😂😂 hetii mke alinifinya nikalia akajua kumbe mzima😂😂 gonga like kama unauelewa kama wangu
Brother Ringo namkubari San sema bro kakaa kimya mno
Nenden kwenye radio na nyie mkagombne diamond platnumz amisuluhishe😂😂
Nm😂😂😂
Ringo yupo sahihi anaongea ukweri kabisa ndio maana mimi nilipoingia TikTok nikaona video yake nikaipuuzia nikaona kabisa ni uzushi
daah nimefurahi sana badonakuhitaji sana bro
Daaah tuliziona pic Jamani dunia
Kwa kweli Mimi nimestuka sana nilivyo ona vile
Nimecheka mwanzo mwisho😂😂😂
Ringo rudia tena uchizi unaiteaje tena 😂😂😂
Huku kenya Ringo,Tin white,Nagwa na mkojani hawa dua zetu waendelee kuishi sana
Mkali wenu Ni fala sana kunichulia lingo wangu
Pole sana kaka
Kabisa mzee ringo
Sasa mbona uoneshi kama ume mind🤣🤣🤣
Yan Ringo anajua xana jamani Dah namkubali
ringo jua mkaliwenu ana lana ya allah sababu alienda kanisani iliali ni muislam 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Oya wewe chiz kwaiyo Mungu yupo kwenu uko waislama nakama mbaka sasaiv mpo mwaka 1441 miaka yanyuma watu waliabudu Mungu Gani kwenye vitabu vyote vyamitume Mungu anatambulika kama Jehovah isipokuwa uislam mnatuletea Allah mnaemuabudu pamoja na Majin I na mnarazimisha tusiemfata uyo Mungu wenu et sisi nimakafir😂😅 Yesu ndie njia ya kweli na uzima hauwez kufika kwa Mungu muumba mbingu na ardhi bila kumpokea Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha Yako🙌🙌
Kwa hio mkristo akiingia kanisani nae anakuwa kalaaniwa acha ushamba maisha ni yake na hujawahi kujifunika shuka moja na Mungu ujifanye unajua saana kuhusu Mungu
@@frankjohachim5405 mungu akusamehe mwaya..mungu huyo huyo unae muabudu ww ndio huyo huyo tunae muabudu sisi unavyo sema mungu wetu unamaanisha nn hivi umesoma dini au unasema tuu au unaijia sna dini ya kiislam kuliko wenye dini yao?? Allah means mungu so ww unaongelea nn..kwenu yehova kwetu ALLAH upo! Hata hap mitume mulio waandika kwetu pia wapo usiwe unaropoka tuu mamb ya iman na huna unalo jua
@@mackysuphianNa wewe Mungu aandikwi Kama unavyoandika Anza Na herufi kubwa
@@anniemallagi kitabu gani kimesema mwenzang hembu niambie mie sijui...na pia uniambie nimepoteza maan ya nilicho kiandika baada ya kuandika kwa herufi ndogo..usitake nikufuru jmn muhim umeelewa
K ukweli ata m ili ni beba🤣🤣🤣
Ringo ni Mwamba🎉
😂😂😂😂😂Ringoooo
Dah respect bro
Noumaaa saàna 😂😅😁😄
Mkaliwenu ana confes
Confess😂 hata maana yake hajui
Nikwere
Alijua anaongea Confused akasema confess
@@eliashibundabalinze2754 yapyap
Kweli Ringo kasema hayuko saw kiakili
Mi mwenyew nimekataa kuw ujafariki
Ata kama una kichogo unawezakuwa chiz
Unakumbuka ile movie Yao ya “Gereji”😜😜😜
Kweli kaka nidhamu unayo tena sana
Kweli wanawake wana huruma😂😂😂
Hawa jamaa ngoma droo
Kuhusu mitandao nasapot Sana cz duh litazamwe Sana hili
Hilo gari la nani😂😂
😂😂😂harmorapa Ana vyeti😂😂😂
nimeshutuka mnoooooo😅
Huyu jamaa anachekesha Sana .
Kweli nilijuwa kafa Kweli
duh comedy nyingi
Jamaa anachekesha hata kama yupo siliazi
Mia mia Ringo tin hawa watu ni WA aina yake ila sasa Kuna staring Makoti anakichafua tzd yote Kama kinyambe enz zake
Kiukweli nihisi maumivu mazito moyoni baada ya kupata habari ya kifo cha lingo
Sisi watu wa zamani hatufanyagi bes dei.
Linaonekana chezo la watu 3 mkal hamo + ring
Kwer kafanya kosa
😂😂😂😂😂e😂 harmorapa ila
Mkali wenu yeye chizi
Kweri watu waongo Sana eti umefaliki?
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃 hawa watu ni wamoja hawa
Nimecheka
🤣🤣😂 uwo niugige
M nilijua umekufa kaka hahahahah😄😂😂😂😂😂. Daaah nakukubar sana
YULE ANA RADHI ZA MMA YKE
Confess😂😂😂😂
Kweli mdogowangu
Hata Mimi niliogopa mpaka nikasema apumzishwe kwa amani! Huu utani wa kijinga
MKALI wenu yan huwa simwelewagi kabisa
😂😂Kiko .kiki
❤cr7😂😂😂🥶
Ndio kaka usemavyo nikweli kabisa
Natamanigi siku moja uje ufanye kazi na joti
mapoyoyo
Ringo ww mwenyewe nikichekesho mtupu
Ringo bhana 🤣🤣🤣
❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Watu wengne jau
Kwanza nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣mkalimwenu 🤣🤣🤣polee sana ilikuwa sikukuu ya wajinga ringo maana nilichekaa🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sikishakuomba msamaha shehe vp babuu
Ww kwa akili yako unamuona Ringo amekasirika hapo
😂😂😂😂
Tutaonana tena kkkkkkkk
Kiko tena 🤣
Hhhhh
Kiko 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaahhahahaa Ringo bhn
Jamani kafufuka au mbona tulishazika uyu mtu
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
🤝
Ringo wewe ni nomaaa nomaaa sana unajuwa good saaana
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂