@@mgazzer2555 Kwan nyny Onyango mmemuongezea mshahara au ndo mmepunguzia? 😂😂😂😂Kuna mtu anayekosa madeni Serikali yenyewe Ina maden sembuse club nyie vp dunian bila maden basi ww utakuwa mfuuu maana kama mzmaa huwez kukosa maden
Hiv nyny mngekuwa na pesa mnge taka kuwapunguzia mishahara wachezaji wenu mpaka wengne waligoma kufanya mazoez😂😂😂🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️mnafikili hatujui Onyango si aligoma kisa mlitaka kumpunguziashaharaa
Et anamalaliya mara kidole ✈️mnamuitaa
Kudaiwa kwa taasisi zozote ni kawaida acheni kufurahisha baraza, Kwa mchezaji yeyote anayetia mgomo kwa kuwa anaidai Klabu hajitambui!
Hata wasafi wanadaiwa
Sasa kudaiwa dhambi!hakuna taasisi isiyodaiwa
Anayedaiwa anajulikana.
Ila zandan zako vp mbon kwenye sakata la Bandari autoi zandaniiiii vp akuna za Ndaniiii?
Simba washavuka kwenye kutapeli wachezaji.
WanAodaiwa niwale walimaliza kibubu Kwa Kumnunuwa k
Manula anaumwa kidole😂😂😂
uyo mcezaj nishamjuwa
Wakati wanadai wapewe haki zao
Iyo yanga
Kooooh
Huyo wa kidole ni Manula
Umepatia Kaka, wanamadeni haooo😅
@@mgazzer2555 Kwan nyny Onyango mmemuongezea mshahara au ndo mmepunguzia? 😂😂😂😂Kuna mtu anayekosa madeni Serikali yenyewe Ina maden sembuse club nyie vp dunian bila maden basi ww utakuwa mfuuu maana kama mzmaa huwez kukosa maden
Hiv nyny mngekuwa na pesa mnge taka kuwapunguzia mishahara wachezaji wenu mpaka wengne waligoma kufanya mazoez😂😂😂🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️🤸🏼♀️mnafikili hatujui Onyango si aligoma kisa mlitaka kumpunguziashaharaa
Morson huyo
Huyo Manula
Chama
Aziz ki
MANULA
Djigue Diara
Simba ambae aliwakataaa baadhi ya wachezaji
Manula kuumwa kidole 😂😂
Kwan wewe ulimuona hata Tim ya Taifa? ACHA uchoko
Wanawake wana ushawishi mno th-cam.com/video/iYjijfV-YRw/w-d-xo.html
ZA NDAANI KABISAAA
👇👇
th-cam.com/video/NoVthdDp0Uc/w-d-xo.html