Kwanini Wanawake Hatutongozi Wenyewe Tunapompenda Mwanaume

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • YES nasi pia si tuna macho yanaona, moyo watamani , kwanini twasita, tatizo nini ? ni uafrika wetu ? malezi?mazingira nawachokoza eeeee? have you ever made a move to man
    niadisie kwa comment ilikuwaje?
    SOCIAL MEDIA
    TWITTER :: / 8020fashions
    INSTAGRAM :: / 8020fashions
    FACEBOOK (FUN PAGE ) :: www.facebook.c...
    BLOG :: www.8020fashion...
    SNAPCHAT :: ADD ::shamim8020
    .
    my top dressed by :: stopandshoproom / stopandshoproom
    make up :: Namaimara / namaimara
    velvet turban by ::kattycollections / kattycollection

ความคิดเห็น • 17

  • @moreswahilinaps6521
    @moreswahilinaps6521 7 ปีที่แล้ว +5

    Sio asili yetu. Kwa sisi wakristo it's in the Bible. Hawa alilaaniwa kwa uchungu atazaa na Mungu alitoa tamaa yake akaiweka kwa mumewe. Ni asili. Men are chasers. Women ni wa kufukuziwa.

    • @GILLIBERTE100
      @GILLIBERTE100 7 ปีที่แล้ว +1

      Abee Naturals
      I agree with you my dada.Man are chasers .Ni ngumu kuwatongoza especially hawa wetu wa kiafrika atasema dah huyu mwanamke mpk kanifwata anashida gani ? kashawatongoza wakaka wangap? most of African men mmh...ila kwa walio westernized ts a cool thing cultural yao inaruhusu..BT anyways I think wadada the best way is you could be subtle..usiwe sitaki nataka,laugh to his jokes ,talk to him,show him your smart you can keep conversations , make jokes ,exchange numbers ,invite him to social events za kawaida kwanza ambazo kutakuwa na watu wengine. ..show him your personality and let him chase you..
      hapo unakuwa umeua ndege wawili kwa wakati mmoja atajua unahisia kwake and he can make a move sio haueleweki..then yeye ndo aamue is he chasing you or Nat .hii itaondoa lawama za baadaye za mi sikukutaka ulijileta mwenyewe...…Bt all in all choose a way that suits yu

    • @ZEZETVTZA
      @ZEZETVTZA  7 ปีที่แล้ว

      ABEE iyo naelewa yaani nachojaribu kusema ni kuwa nawe ukipenda useme usimsubiri hadi ye aanze? yaani tujiongeze.....sababu nasi si kuna ambao tunawaona na tunawataka tuwaambie tu .......

    • @moreswahilinaps6521
      @moreswahilinaps6521 7 ปีที่แล้ว +1

      Haikaeli Gilliberte kuna raha ya kuwa pursued. Sitaki kufukuzia mwanaume kwa kweli. Nadhani kwenye kuchagua ni muhimu kusali sana Mungu akupe "wa kwako". A lot of us end up forcing things for various reasons. Umri umeenda, pressure za familia/society... sababu ni nyingi. Wengine wanataka "wedding day" but not exactly kuwa na mwenza wa maisha. So mimi nadhani kwa mwanamke acha wanaume wakufukuzie Ila katika uchaguzi wako omba Mungu akuongoze.

    • @moreswahilinaps6521
      @moreswahilinaps6521 7 ปีที่แล้ว

      ZEZETV hehehehehe! Lakini sio asili yetu ndio maana ni ngumu kwetu.

  • @SylivestarDamiani
    @SylivestarDamiani 2 หลายเดือนก่อน

    Wanaonekana malaya kwaiy wanahis wataambiw ivy

  • @aliceaswile671
    @aliceaswile671 7 ปีที่แล้ว +1

    ndo manake,tena tunaagana kwa sala,kila mtu asepe kivyake 😂😂😂😂😂

  • @naimadidy2695
    @naimadidy2695 6 ปีที่แล้ว

    tunashindwa hadi na mbwa jamani hahaha nimefurahi

  • @gwinyaidhliwayo4878
    @gwinyaidhliwayo4878 5 ปีที่แล้ว

    Gorgeous Lady1!$p

  • @abdornephotidas3848
    @abdornephotidas3848 7 ปีที่แล้ว +1

    you are cute

  • @aliceaswile671
    @aliceaswile671 7 ปีที่แล้ว

    tatizo ukianza wewe anaona ndo sehemu yakuchuna 😂😂😂😂

  • @aliceaswile671
    @aliceaswile671 7 ปีที่แล้ว

    mmh wanaume hata kama ni level yako mwenzangu ukishamtongoza anakugeuza we ndo mwanaume,anajua hupinduki kwake

    • @ZEZETVTZA
      @ZEZETVTZA  7 ปีที่แล้ว

      asa kama haiwork out si ndo tunaagana tu ama?

    • @hagighkf8604
      @hagighkf8604 7 ปีที่แล้ว

      alice aswile haswaaa tena atakufanyia kusudi hata ukimuomba pesa ya kodi atakuambia cna atakama anayo

  • @aliceaswile671
    @aliceaswile671 7 ปีที่แล้ว

    so atakuwa yy ndo mwanamke na ww ndo mwanaume,wanaume hawatakagi ujinga

    • @ZEZETVTZA
      @ZEZETVTZA  7 ปีที่แล้ว

      hahahahhaha so ilo ndo moja ya tatizo, ila na we why ukamtokee mario? mfuate wa level yako wewe ? ukienda kwa wale unataka kuwacontrol ndo lazima uliwe