Ukiandika wimbo chini ya uvuvio wa Roho Mtakatifu, uwa haifiki mahali ukakifu, unakuwa kama mpya kila siku. Whosoever composed this song was under the influence of the Holy Ghost🙌
Naamin hata kama sisi tusipo imba basi mawe yataimba. Mbarikiwe sana Mabibo Hosteli Choir mnanibariki sana kwa nyimbo zenu. Tunaomba Mungu azidi kuwasimamisha katika utumishi huuu #barakadanstan,
Jamani kazi yenu ni njema sana inafariji na kutia moyo no ya sadaka ninaomba km Mimi ni shukuru Mungu
Ukiandika wimbo chini ya uvuvio wa Roho Mtakatifu, uwa haifiki mahali ukakifu, unakuwa kama mpya kila siku.
Whosoever composed this song was under the influence of the Holy Ghost🙌
Endelea kuniombea mtumish...
oh nmewamis sana MHC dah Mungu azidi kuwatumia
oooouh!!!! What a blessing song is ...Mungu awabariki sana na kuwainuaa
Naamin hata kama sisi tusipo imba basi mawe yataimba. Mbarikiwe sana Mabibo Hosteli Choir mnanibariki sana kwa nyimbo zenu. Tunaomba Mungu azidi kuwasimamisha katika utumishi huuu
#barakadanstan,
Be blessed brother
Nice song mbarikiwe wandugu
Amen.. Be blessed
Bro Lumuli I was here 😊
Bless you Mabibo choir 👏
Be Blessed Servant of GOD
Wooow what are blessing is the song..
Mungu awabariki mnoo 🙏🫂
Mungu azidi kuinua hii kwaya
AMEN endelea kutuombea
Nabarikiwa sana,na nyimbo hii wapendwa,songa mbele sana vijana wa Mungu👏
Amen ubarikiwe sana
Nice song God bless you👍
Najua katika bonde utakuwa pamoja NAMI Bwana
MUNGU awabariki wapendwa Huduma yenu Ni njema nawapenda ❤️ bure
Ubarikiwe Sana
Huduma njema
Nice song mbarikiwa
AMEN
So blessed
😫🙏🙏🙏🙏
Yeremia32: 27
Barikiwa sana
😥😥🤲