Walter Chilambo - U Mwema (official Music)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024
- #Umwema #WalterChilambo #imblessed
Track No. 05 On the Album I'm Blessed EP
onerpm.link/wa...
Audio Production By: Love Music Brand
Booking & Enquires
Email: walterchilambo90@gmail.com
Contact: +255718069509
#I'mBlessedEp
Watch the latest music by Walter Chilambo:
• I'M BLESSED EP 2023
Listen to Walter Chilambo here: snd.click/glmqrfp
Follow Walter Chilambo
Instagram: / walterchila. .
TH-cam: / walterchilambo
U MWEMA
U Mwema Bwana U Mwema
U Mwema Bwana u Mwema
U Mwema Bwana U Mwema
U Mwema Bwana U mweeee
.
We YESU weee Baba U Mwema
YESU weee Baba U Mwema
JEHOVA Rapha,Yahwe U Mwemaa
YESU wee Baba U Mwema
Uu Mwemaa
.
CHORUS
U Mwema Bwana u mwema
U Mwema Bwana u mwema
U Mwema Bwana u mwema
U Mwema Bwana u mwema
.....We YESU weee Baba U mwema
.....YESU weee Baba U mwema
.....We YESU weee Baba U mwema
.....YESU weee Baba U mwemaa HIIIII
...Shuuu
VERSE
Wewe ulijua Haja ya Moyo wangu
Ukanijibu na ukanipa zaidi
Ni wewe uliona Yale mapito yangu
Ukanivusha ukanipa ushindi
Hukuuficha uso wako
Niteketee eeh ewee YESU wee
Ukaunyoosha mkono wako
Kunitetea eeh ewe YESU wee
.
Bridge
U Mwema Bwana U mwema (eeh u mwema Bwana)
U Mwema Bwana U mwema (eeh u mwema Bwana)
U mwema Bwana u mwema
We YESU wewe
We YESU Wewe
.
CHORUS
U Mwema Bwana u mwema
U Mwema Bwana u mwema
U Mwema Bwana u mwema
U Mwema Bwana u mwema
.....We YESU weee Baba U mwema
.....YESU weee Baba U mwema
.....We YESU weee Baba U mwema
.....YESU weee Baba U mwemaa
.
.
VERSE 2
Matendo yako yanatisha kama nini
Naogopa yoyooo naogopa yoyooo
Yanatisha
Maana si madogo maana si madogo
Umejidhihirisha mwenyewe
Kwa ukuu wako wee
Umejithibitisha mwenyewe
Kwa uzuri wako wee
.
Bridge
U Mwema Bwana U mwema (eeh u mwema Bwana)
U Mwema Bwana U mwema (eeh u mwema Bwana)
U mwema Bwana u mwema
We YESU wewe
We YESU Wewe
.
CHORUS
U Mwema Bwana u mwema (EEHH)
U Mwema Bwana u mwema ( yahwe u mwema)
U Mwema Bwana u mwema (u mwemaaa)
U Mwema Bwana u mwema
.....We YESU weee Baba U mwema
.....YESU weee Baba U mwema ( we Yesu)
.....We YESU weee Baba U mwema (we Yesuu)
.....YESU weee Baba U mwemaa
.
.
Instruments
Wewe nizaidi ya ninacho kipenda.
All the way from tmk sokota,,, sharauti in deed
Vizuli sana unajua
Nabarikiwa snaaa mm jman mungu akubark broo
Kazi nzuri Walter chilambo nakukubari Sana
I love the song ❤🤗
napenda sana nyimbo zako,hii ndio maana ya kuibua vipaji.atlist tunakuskia unatubariki na nyimbo zako
Nice
More blessed water🙌💪💪🔥🔥
good song
ubarikiwe sana mtumish wa mungu, mungu azidi kukutumia tunafaike kwa uwepo wako duniani.
we love and appreciate ur servce.
Amen.. U wema bwana, umwema siku zote!!
God bless your ministry forever. Kazi safi sana ❤❤
Amen
amen
Good job bro 🙌🙌🙌
Asante sana kaka Walter - napenda sana your new work. (Still studying kiswahili 😊) Mungu akubariki🙏🏻
👏👏👏👏
Great song be blessed 👏
I'm the first here yay my likes