5 years ago ,this song was a hit song to me.i don't know why it never made it but it's those songs that you love from the word go.i loved it but never knew that Bahati loved it more than me.Big up Butera Knowles for inspiring Bahati with your nice song.
😂😂😂😂From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪I will raise this flag PEKEE YANGU 😂😂Bahati amemaliza tu akasema PETE YANGU.. SO HARUSI TUNAYO HATUNA😂😂❤ You're pretty thou.. Ukona fan mwingine hapaaa 🔥🔥I love this song more🔥🔥🔥❤Nakupenda pekee yangu 😂 Udaku ndo imeniletaaa uku thou 😂😂
This song is very beautiful. She brings life to the song by her performance skills. Mwizi ni mwizi, Bahati tu. Kwanza mwizi wa nyimbo. much love from Kenya.
Kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumefika huku Kwa mpigo ,Butera ako sawa😍 #Nairobigossipbroughtmehere ,nice to know sister Butera❤️ lakini Bahati do cover ama ni kuiba aliiba?!
Sure like me i didn't know her. Halafu views za hii video zimepanda sana from yesterday after Nairobi gossip kupost hoyo issue. I feel hata kama bahati amekopi imesaidia huyu dem in one way or the other.
Ujinga mtupu..hakuna imeibiwa haki...wivu itaua wakenya mungu saidia!!!!!!TZ hatutawai wafikia na hii wivu ya wakenya ime spread the whole kenya kaa coronavirus jameni!!!!!mnakibia Rwanda kujenga ngoma ya mrwandwa ya 2015 instead mjenge hii ngoma ya wakenya tamu haki jameni!!!
@@Hopewavinya567 we are not going to support plagiarism🚮🚮🚮, a person needs to be creative and come up with your own ideas. Mziki ikikua ngumu tafadhali enda ukajaribu ukulima wa maembe ukambani @bahatikenya ama waru waru @nadiamukami
@@kim-zb2rk 🤣🤣🤣🤣🤣ata nadia ni mkamba wa maembe basi kaa haujui,nadia mukami muendo are her full names wa ukambani mwea embu county for ua information kaa haujui jua leo na pia tunalima maembe sana uko karaba riakanau(ukambani). On bahati song basi kama ni copy why still its not striken on TH-cam kama za kina mejja na wengine na inaenda bio sana infact by 2 today itaku 1m plus???mtu kaa amecopy ata mimi i can't support that.....pete yangu na pekee yangu are two different things for sure and those songs are different in all aspects!!!
I still love dis song manzeh❤❤Haunipendi pekee yangu...
I'm Kenyan and there is a certain Kenyan Artist we Know that Plagiarized this songs catch tune. Mr Sir tunakuona
Hawakukosea. Bahati made us know this girl. Nairobi Gossip club kudos
Nakupenda Sana ♥️♥️🤞👌 from Nairobi Kenya 🇷🇼🇰🇪
Kenyans have been supporting our artists from Meddy,Andy and now Knowless.
Thanks Alot 🇷🇼❤️🇰🇪
💝💝🇰🇪🇰🇪
We really love rwanda🔥🖤💖🇷🇼💖🇰🇪
They're not supporting ni moshene imewaleta huku💔😹😹
@@romainahishakiye3738 Wacha kusema ukweli😂🙌
Wakenya should we tell her😂😂🇰🇪
Wale tumeletwa huku na Nairobi gossip confirm kwa kulike wakuu.
✋😂😂😂
🤣🤣
Tuko wengi😂😂
😂😂😂
😂😂udaku itatumaliza
Im here from Kenya after The Bahati. I have subscribed
Sasa hii ngoma ni tofauti sana na ya Bahati iam already convinced Bahati is a genius hii sasa you can see the difference pekee yangu Pete yangu 😂😂😂😂
Eeeee nairobi gossip imetufikisha hapa😜😜😜
Same here 🤣🤣🤣
@@MercyKinyanjui254 aky
kweli
Kabisa
😂😂😂😂😂same
This lady should thank Baha for promoting her song. Kenyans have already flooded here like wtf.😀😀🔥🔥
Walai tumemwongezea tu views za bure
I know at first she was like what's up with all this comments 5 years later
Likewise
Mm si kuwa namtambua before
Ashukuru bahati sana
Much love from Congo DRC Specialty Bukavu we love u butera
I love this original song. Bahati hukumfanyia uyu dem poa
Love the pronunciation pekeyyangooo🔥🔥😃😀
Umefika uku?😃
Flaqo najua Nairobi gossip ndio imekufikisha huku😂😂
Wasifanyie baha iyo kitu😂😂😂😢😢
Pete yang😅😅
Flaqo amefika kutoka nairobi gossip,pia mimi
Wakenya oyeeeee!!!! Wagapi tumekuja kuconfirm uyu dem ako peke yake 😂😂😂😂 go go go Bahati go 🎤🎵🎶🎼🎻🎹🎷🎧🎺🎸 yako ni ♨♨♨♨🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
One of my best song ❤ who still here 2023
Buyers just thank bahati on his behalf we Kenyans in solidarity we have come to view your song and it's at 500+ views
Ndo tumefika kuconfirm copy paste😂🔥🔥... piga like tujuane
Mmesema hii ngoma iingie trending vile inafaa...Song was a hit and should hit now again...Io ya bahati ni cover ya hii
Nairobi gossip ndo imenileta huku🤪🤪
Udaku muhimu
We are many
Tuko wengi kumbe
Views ii song itapata juu ya udaku waaah
Pia mimi
HAHAHAHA
5 years ago ,this song was a hit song to me.i don't know why it never made it but it's those songs that you love from the word go.i loved it but never knew that Bahati loved it more than me.Big up Butera Knowles for inspiring Bahati with your nice song.
I loved her from the song Tulia... Naona sai ndo watu wanamjua she's such a talented lady
Nairobi Gossip Club Ndio Wamenituma Homework Huku, If You Know, You Know 😂😂😂😂
Sasa tumuongezee views
haha pia mimi bro...Bahati ameiba hii for sure.
Pia mim niko hapa😂😂😂😂
Hii Mushene nayo itatumaliza😂
😂😂😂😂
Wale tumeletwa na nairobi gossip club😂😂😂
Kumbe sijakuja soli
Wadaku wenzangu ama NIKO PEKEE YANGU🤩🤩
"Peke Yangu" by Butera Knowless is 👌👌👌 bahati alichange tu sentensi ya mwisho nadia akaongeza chorus za SDA.
😂😂😂wuuuueeeeh
It's the SDA for me 😂😂
@@paulineonditi6679 🤣🤣🤣🤣
Like kama nairobi gossip ndo imekuleta uku🤣🤣
Wenye Meru TV Ndio imetuleta pia
I used to listen to this song kitaaaambo,hadi nimeshangaa nimeicram,wooow🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Peke yangu 😂😂😂😂 who still here 2024❤
I'm from Kenya.. nairobi gossip club has brought me here. 😂😂 Lovely song though😍
Kenyans lets show some love to this beautiful queen
It's true that Rwanda kills in the Democratic Republic of Congo but take Butera Knowles out of this story, I'm such a fan of her 😁
Bahati ndio ametuleta hapa...na hii ngoma ilikua wapi hizo siku zote na vile ni🔥🔥
Wow!! any one still listening to this song in 2023??❤❤❤😂
😂😂😂😂From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪I will raise this flag PEKEE YANGU 😂😂Bahati amemaliza tu akasema PETE YANGU.. SO HARUSI TUNAYO HATUNA😂😂❤
You're pretty thou.. Ukona fan mwingine hapaaa 🔥🔥I love this song more🔥🔥🔥❤Nakupenda pekee yangu 😂
Udaku ndo imeniletaaa uku thou 😂😂
Wow, peke yangu 😍nakule ni Pete yangu yangu
Nimeletwa na Nairobi gossip. I never knew such a good song existed. Nipeeni like wakenya wenzangu
Bahati just gave BUTERA a major shoutout,
Woow,,, nice song nimeletwa na udaku thank baha for d support
Nakupenda peke yako Butera Knowless ...siku tegemea unngekuja na swahili song nyingie nzuri saana.
Girl u rock!
This song is very beautiful. She brings life to the song by her performance skills. Mwizi ni mwizi, Bahati tu. Kwanza mwizi wa nyimbo. much love from Kenya.
Nani ameletwa huku na story za bahati na Nairobi gossip?, but this lady is pretty..akuje tu kenya nimuoe😂😂
😹😹😹
Mimi but ni nyimbo mbili tofauti
😂😂
butere should visit kenya we need her she is talented
Kenyans never disappoint, Dada yetu ameongezea views because of bahati
If my lady sings to me this song, Tears will surely roll. Good song Knowless. I believe one day I'll get an opportunity to work with you. You rock
I'm here courtesy of Nairobi gossip.
Sweet voice gal.
Kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumefika huku Kwa mpigo ,Butera ako sawa😍 #Nairobigossipbroughtmehere ,nice to know sister Butera❤️ lakini Bahati do cover ama ni kuiba aliiba?!
Kenya tumekuja huku juu Ya udaku🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ata mimi nimekuja pekee yangu ili pate Pete yangu #bahati Kenya
nairobi gossip inatuonea .team bahati..hii kitu aifanani hata kidogo🔥🔥
You have just won a soft spot in Kenyans hearts. Great Work.. Meet Bahati for a mega remix.
wakenya si tumekuja na maubaya huku..msimtrendishe vile mlifanyia bumuntu siku kiasi tu
Pekeeee yanguuuu, Peteeee yanguuuu. Uweeeeh 😳 Kwani kunaendaje huku
I don't knw how many times I watch yo songs I'm proud of my Rwandan mum
we as kenyans lazima tuhakikishee, we fix the country, 😉😂baha kumbe ulitangulia huku
There is a very big difference kwa hii wimbo na ya bahati ,but Kenya ni kenya
Kama umetoka Nairobi gossip gonga like
Still being here in 2022! Nyimbo hii ninayipenda sana kwa nyimbo zote za Butera Knowless 🆒🆒🆒💔💔💔
Who is here 2020...butera let me speak in swahili.hii nyimbo ni nzur kwannn sikuiona mapema jaman
wewe ulikuwa wapi???? Lol
Tuko wengi😂😂😂😂😂😂😂 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thnx Nairobi gossip kwa kunileta huku this song is a vibe🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂
wow wow wow u got yourself a new fun. nice song. peke yangu and pete yangu!!!
Shukuru Bahati,umeget move views.
wenye tuko apa courtesy of nairobi gossip club mnipe likes😂
I love the prounounciation😍😍though bahati he is stealing in name of the lord🤣🤣
Peke yangu sio Pete yangu😅😅😅💕love both songs
Wangapi wamekuja confirmation😂😂, Hebu nijue mko wangapi
From Kenya because of bahati the thief💯
I just can't get enough of this song, it's so sweet❤️❤️
Wow sounds so sweet, hata Bahati na Ka Nadia...bado u can't match this song is dope and better than "Pete yangu" ...
Bahaa yako is no a bruh'..pole !
tufikishe hii Ngoma 2 million views
One of my all time favourite songs .2024 and I am still in love with it
who else is here after bahati's pete yangu song, huyo jamaa ni mwizi
Aki the audacity
Wevu tu mwizi wapi toa song zako
@@serahann1795jameni "wevu" ndio nini sasa, kajifunze kiswahili kwanza , siwezi kubishana na jike ambalo hata kuandika jina "wivu" ni shida
Walae🤣
Mm
Si hii Nairobi hutuzururisha na gossip aki,wapi likes.
such incredible talented I love your voice I would listen to it for a whole day
Matamshi ndio inasound similar. All songs are dope .
Ata kama Bahati alicopy amefanya tumjue this beautiful musician from Rwanda.
Sure like me i didn't know her. Halafu views za hii video zimepanda sana from yesterday after Nairobi gossip kupost hoyo issue. I feel hata kama bahati amekopi imesaidia huyu dem in one way or the other.
Am sure si mimi peke yangu nimeletwa huku na nairobi gossip 😝😝
Sitaongea saana... Nairobi gosssippp..😂😂😂..
Nani Ako area tuongee??
But Pete yangu iko chonjo yawa. Nyinyi mmesahau song ya Stella wangu venye ilitumiwa.. Ayyy kwenda
Nkunda cyane indirimbo zawe zacyera ❤
Hehee...Nairobi gossip imenifikisha huku. Cha kusema ni kuwa pekee yangu na Pete yangu ni twins..lovely music..hehee
If you are here because of Pete Yangu by Bahati nipee like😉
she can sing in Swahili ,thats is an advantage,Big up Knowless
Iam your spectator
Anyone in this 2024❤❤ gimi like please ❤
Mko sure ata hizo beat zinaendana😂😂😂😂😂😂😂#team bahati tuko huku❣❣❣❣❣❣ Pete yangu inahit 1m🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍👌👌🤞🤞🤞
Creative property ina exist
Walai hazifwanani
@@delvin.vuguza5824 hun waambie😂😂😂😂😂😂😂
Watu na wivu.. Sasa zinafanana wapi?
Walai ni hating tu...nothing in comparison, hate,hate,hating ndio mingi in Kenya na ndio hatuwai fikia TZ!!!!maubwa tu hawa!!!
How many Kenyans are here after baha scandal?
Wakeeeenya😂🤣🤣 Udaku imetuleta uku😂😂
😂😂😂😂😂
Of course what else do you expect 😂😂
@@mercylexxie2568 alaaaaa😂😂🤣🤣
Sisi kama wakenya tumeamua kusupport hii talanta
Ndo maana napenda wakenya 😭❤
I love Kenyans and their spirit.
She is Rwandan
Noma sana....so this is the original song 5 years ago.....waaaah...dem
Lets get to 500, 000 guys 💪💪💪💪🙌🙌🙌. This is good music.
Its time
Very nice video! Iyi ni number 1 mu Rwanda kabisa, iyi video ni yamateka mu Rwanda! Knowless u are the great!!! P6
Nairobi gossip club imenileta hapa😹😹😹 bahati nj mwizi😹😹😹
Kabisa😅😅😅
Nimekuja kuconfirm kutoka Nairobi Gossip Club 😂😂😂
My reaction: Alaa 😌😌😌
Butera knowless you have made it perfect
The best example of able artist ❤ is you
Wooi nimeanza kuhurumia bahati dada yetu Nadia wasimfanyie ile kitu
Una change the last word ndio mwalimu hasijue umekopy 😂😂😂😁💁♀️💁♀️@bahatikenya @nadiamukami mlifanya vibaya sana
Kenyans you are so merciless
Ujinga mtupu..hakuna imeibiwa haki...wivu itaua wakenya mungu saidia!!!!!!TZ hatutawai wafikia na hii wivu ya wakenya ime spread the whole kenya kaa coronavirus jameni!!!!!mnakibia Rwanda kujenga ngoma ya mrwandwa ya 2015 instead mjenge hii ngoma ya wakenya tamu haki jameni!!!
Nothing is stolen.
@@Hopewavinya567 we are not going to support plagiarism🚮🚮🚮, a person needs to be creative and come up with your own ideas. Mziki ikikua ngumu tafadhali enda ukajaribu ukulima wa maembe ukambani @bahatikenya ama waru waru @nadiamukami
@@kim-zb2rk 🤣🤣🤣🤣🤣ata nadia ni mkamba wa maembe basi kaa haujui,nadia mukami muendo are her full names wa ukambani mwea embu county for ua information kaa haujui jua leo na pia tunalima maembe sana uko karaba riakanau(ukambani).
On bahati song basi kama ni copy why still its not striken on TH-cam kama za kina mejja na wengine na inaenda bio sana infact by 2 today itaku 1m plus???mtu kaa amecopy ata mimi i can't support that.....pete yangu na pekee yangu are two different things for sure and those songs are different in all aspects!!!
She should be happy because all kenyans will flock here to watch this jam because of bahati
Bahati is officially a thief!! Great song!! You were 5 years ahead of bahati!!
This is the girl have been seeing in my dreams all along....i like her soo beautiful
😂😂😂😂wewe kojoa ulale
Am here on behalf of thieves and kenya society of romour mongerers 🇰🇪
Ni fikra za bahati zilimleta huku...hii ngoma ni kali for sure
Hii ngoma itafika million views juu ya baha