Dah! Leo tt wamekuweza aisee. Yaani umekula kwa macho. Ingawa nawe hukosi solution ukawakomesha wakapitiliza wanakoendaaa🤣🤣🤣🤣 good work. Mungu aendelee kukujuza little boy tt and all your team. Thanks you for making us happy. 💘💘💘🔥🔥🔥🔥
Tt you are so funny with your aunt eti Mjomba ni tumbo karatasi kumbe wanaume wote kwa hiyo gari ni atari kwa chakula Alsee tt you never disappoint you have already made my day happy to watch your next clip
TT comedian my boy that's the true usilete ufara ya Nigeria hapa karibu Mombasa 🙆🙆😂😂 utumie chapati kama map 🤣🤣 keep it up my boy you are going far 👏👏👏👏
@@ttcomedian So nice and if possible pia try doing collabos with other comedian abroad e g like Kansiime Anna from ug ...just an advice....big up to team T T
Tt: naeza Kaa hapo katikati anipee maandazi🤣🤣🤣🤣🤣 Mama :sawa kuja ukae Tt:Kwan anioni Mama:atakuona tu ni venye Ako busy 🤣🤣🤣 Tt: gaiii ameweka yote kwa mdomo🤣🤣🤣
Duh! Dogo yupo bomba kwa ukweli. Love you and your crew..The Naija dude is good in acting too.
Dah! Leo tt wamekuweza aisee. Yaani umekula kwa macho. Ingawa nawe hukosi solution ukawakomesha wakapitiliza wanakoendaaa🤣🤣🤣🤣 good work. Mungu aendelee kukujuza little boy tt and all your team. Thanks you for making us happy. 💘💘💘🔥🔥🔥🔥
Hahahahahahahaha
Wow thank you keep it locked
i really respect the team behind this! is because of them TT do all this.. ongera team TT,
Thanks sana
my pleasure mzee wa kofia!
Thanks
Ngai tt leo umekomesha mikono birika,your my favorite comedian mwaaah 😄🤣😂😆
TT LEO UMEKULA NAMACHO Lakini uko juu Bravooo
Wazi
I salute you good work. Napenda tt anasema kweli kabisa hongera
Thanks sana
Thanx
Mjukuu mpee mzee wa kofia roles nyingi I love him aki 💕💕💕💕💕
Wazi shukran sana
Tt you are so funny with your aunt eti Mjomba ni tumbo karatasi kumbe wanaume wote kwa hiyo gari ni atari kwa chakula
Alsee tt you never disappoint you have already made my day happy to watch your next clip
Hahahahahahahaha
TT utanimaliza aki🤣🤣🤣🤣🤣 ati Chapo anameza Kama abunuasi🤣🤣🤣🤣
Daah kweli safari ilikuwa ya mateso TT lakini usijali hao wazee watapata kipindupindu kwa sababu hawakunawa mikono🤣🤣🤣
😂😂😂
Noma!
Maashallah maashallah mungu akuzidishieni yaarabi mfike mbali na maendeleo ya kazi nzuri mnayofanya yaarabi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞
Thanks sans
Amin
at utumie chapati yako kwa tumbo kama Map🤣🤣🤣🤣 TT we balaaa
Mzee wa kofia wacha kula mandazi na hasira 😂😂😂😂
Hahahaha tunakula nyama mkimeza mate,,tunakula kwa macho
Some work hard to get Talent some are born with it natural Talent Akuna kama TT natural Talent
Thankful
Hongereni sana kwa kazi nzr Mungu awape afya njema na 🙏 abariki kazi zenu Inshaallah Much love 💘 for my big boy 👦Tt. All the way from Zanzibar.
Thanks
Thank you so much Zanzibar keep the support
Guk
Twe
TT 🤣🤣🤣🤣🤩unangalia mandazi 😂,🤣🤣🤣🤣aje si uchukue ukule ....made my evening safari ni mateso ungebeba superloaf na maji
Hahahahahahahahaha
🤣🤣🤣🤣TT never disappoint 🤣🤣Mzee wakofia mbona unyime TT chapati aki...TT and your team nawapenda sana💞💞💞💞💞💞👏👏👏🙌🙌🙌🙌
Thank you
Hiyo kutafuna jo ni noma sanaaaa 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 T,T, Leo umepata uchungu kweli. Pole sana jamani, lakini umewakomesha, eti atafute ramani kwenye chapati.🤣🤣🤣. Love you T,T.
Thank
😂😂😂😂 This is the best of the best 🔥🔥🔥🔥 mdomo birika 😂😂😂 kweli hii ni Safari ya mateso 🔥🔥🔥🔥
Shukran sana
Aki Tt reminds me when I was younger kwa mat😄😄😄😄😄😄wallai nilikua hivyo
Asante sana
Nakupenda sana TT..karibu Tanzania..🇹🇿👍
Vile TT anaangalia mandazi na uncle🤣🤣🤣🤣🤣then boom"uncle kwani ni kipofu"🤣🤣
Thanks
TT anataka mandazi ya uncle
🤣🤣🤣
Good work tt na team wako MashaAllah
Ata kama sijaifika Mombasa 😂😂😂hapo ni Kitengela town
Wapi likes zangu za kuwa makini💥💥🤗
Wewe TT si uwanyanganye wewe unangoja adi wanamaliza ukimeza mate, pole mungu atakurushia vyakula mingi
Hahahahaha ok
Hahaha Mzee Wa Kofi na kukula
Heheeee, Ttt umerevedge heheeee apele unainjeria nahuko 😀😀😀
Hahhahaahha hapo sasa
My boy tt kazi Safi one love respect from Somalia tt family salute
Shukran sana
TT comedian Leo hujatoa kashikashi kwa hao mabraza men kabisa sio kila ck uwin the battle safi sana
Thanks
Aki uncle ona tt comedian umpee mandazi kidogo aki🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaha
TT comedian my boy that's the true usilete ufara ya Nigeria hapa karibu Mombasa 🙆🙆😂😂 utumie chapati kama map 🤣🤣 keep it up my boy you are going far 👏👏👏👏
Hahahahahahahaha
Katun tengeneza tt nywele vzuri ❤️❤️❤️
Kitengela imekua Mombasa 😄 🤣 😂 😆.
hahahha
Hii sura ya uncle akikura mandazi mbona zio friendly 😂😂😂
Thanx
TT mwenyewe umepata Mzee kofia Leo umekulia kwa macho leo
Tt love u papa from TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Thanks
255 wazi
Oooh yaaa, kweli @TT Comedian, hii Safari ilikuwa ya Mateso, unyimwe Mandazi, Chapati na Chips tena wao watched usaidizi wako. Wamekula huu 🤣🤣🤣
Hahahaha kabisa
😂🤣🤣😂,,,huo mzai hawezi kuona tt ako unenge mbaya
😂😂😂😂😂😂tt congras mtu haezi alone na atake umsaidie akk
Thank you keep it locked
🤣🤣🤣 makubwa hayo ama kweli leo TT ameumbuka kinoma daaaah isay mtoto wawenyewe jamani
😀😀😀😀😀TT oga atembe.mwingine anakula kama bunuwasi😀😀😀nimetowa stress na kicheko
The mzee is back, , unswallow the chapsati and use it as a map.🤣🤣🤣hillarious😅😂😂😂🤣
Hahahahaha
TT endelea kushiba kwa harufu😀. Leo umewezwa lakini hata pia chipo umehata haki😂😂😂.
Hahahahahahahaha
Kenyans wengi ni wana tabia hiyo ya uchoyo. Kesho TT uchukue chakula chako. Ungekuwa Tz ungebeba pande la muhogo na wewe ujidai.😁
Hahahahahaha santi
Kabisaa yaani tena unanunuliwa
Tt congratulations 👏🎉👏👏 daddy,kwani ni kipofu
Hahaa eti qwani ni kipofu...hahaaa TT u made ma day
Hahahahah keep it locked
😆😆😆😆tt comedian, hata hanioni😂
Santi sana
Hhhh ttt leo umepatikanaaa kula kwa machoooo
Good work Tt and ur team ,,,salimia katwin,, following u from Mombasa
Wow
Yah
I LOVE IT WHEN I GET A NOTIFICATION 🔔 THAT "YOU HAVE A NEW SUBCRIBER" INANIFANYANGA NAKUWA NA BIDII SANA
Alaaah TT uyo mzee wa kofia anakula aje 😂😂😂😂
hahaha iko nene
Anakula solo hadi akuonii 😂
Mtajua amjui wakati mlikua bila kujali TT ebu mjipange sasa😂😂😂😂
This is a tv show ❤️❤️❤️😂🤣,TT never disappoint
TT comedian leo ametulizwa🤣🤣🤣🤣
Heheeee, aky Tt jameni umenyimwa madazi na uncle 😀😀😀
Inauma sana
🇹🇿🤓 Chukua hiyo chapati yako kwa tumbo ifanye kuwa map🤓
Tumia chapo kama map waa Tt nawapenda bure
Macho ya TT jameni itafanya bazuu ajiume ulimi
Leo tt umekomaa😂😂uzembe wako si ungeombaa tu
🤣🤣🤣🤣😅Nimecheka sna hakiii daaaah tt jaman na ankoo apeani maandazi yake ama kipofu
Hhhaahahaha
@@ttcomedian 😅🤣
😂😂😂😂 TT kanguu wooiye I can't stop laughing 🤣🤣🤣🤣 hakuoni
Shukran sana
Kwani ni lazima nicheke nikiwatch TT🤣🤣🤣🤣
Nimecheka kwa sauti 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 TT yaani kila siku nikiangalia video zako siachi kucheka
Happy to see Mzee wa Kofia 🤣😅
Salute
Tt never disappoint....
I wish Mjukuu angekuwa involved
This boy is going to kill me 1 day with laughter🤣🤣🤣🤣
Hahahahahhahaha
The episodes keeps on getting better like fine wine
God is faithful
Hahaha
Leo nimecherewa kidogo but niko ndani, ndani, ndani kabisa.
Tt u will always make your mom and our 🇰🇪 broud of u keep it up baby boy👍👍
Shukran
Jjj
Me i was waiting for the continuously previous video of T T akikimbizwa 😂 after kukuka pesa ya wenyewe😂
Coming up soon
@@ttcomedian So nice and if possible pia try doing collabos with other comedian abroad e g like Kansiime Anna from ug ...just an advice....big up to team T T
😂😂😂😂mdomo birika.. tumbo karai😂
Happy to see Mzee wa kofia once again,well done my friends
Sema kimeumana😂😂😂😂huwezi kula pekee ako alafu uniulize uko wapi😌😂😂
hahaha Tumia chapati kama map
@@ttcomedian kweli hyo😂😂😂
Huyo mama nivyenye amejizuia bt acheka mbaya navyenye tt analalamikia chakula😅😅😅😅😅
Hahahahahhaha tt jamani kuna watu wana roho ngumu hahahaha
Naekana saccco ni za kajiado 😂😂😂😂
Hahahaha shukran sana
Tt: naeza Kaa hapo katikati anipee maandazi🤣🤣🤣🤣🤣
Mama :sawa kuja ukae
Tt:Kwan anioni
Mama:atakuona tu ni venye Ako busy 🤣🤣🤣
Tt: gaiii ameweka yote kwa mdomo🤣🤣🤣
Thank you so much
Eiiish kama ni mm Tt aki kata na mm pia na kata 😂😂😂
heheheh
Naukipigwa😂😂😂😂😂
TT expecting you high level in coming days
Wazi
I can't stop laughing to this Tt you made my day anyway keep going nice episode praying hardly for you over here
Santi sana
TT utangalia mzee wa kofia hivo😂😂😂😂
Thankful
🤣🤣🤣🤣🤣TT hana bahati leo
Kwani ni kipofu 🤣🤣🤣 TT leo utakula kwa macho
Hii haikushika vizuri; safari ya mateso kweli!
TT sku zote Yuko kwny vazi la uniform 🥋 habadilishi 😂😂😂
Noma sana
😄😄😄😄😄😄😄😚😚I can't stop laughing although wallai aki wainguru wanauliza am I sick
TT leo nimekuwa wa kwanza
Asante
Congratulations to the whole crew 💯💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
Asante
Nipitie kwangu kindly
Ya leo kali keep it up young
Thanks sana
Titi nakubali atowe chapati yake atumie kama map hahahahahahah
Good work TT. Maintain that👍🏽👍🏽👍🏽
Thanks
Sure
Hahahahahah tumia hiyo chapati kama Map....kali sana
TT never disappoint much love
Kweli safari imeisha bila TT kuonja ata maji pole mwanangu
Thankful
Future legend current star 🌟🌟🌟✨💯✨
Asante sana Brother...
Karibu
TT kumbuka ulinyima katwin kuku🤣🤣
Tt leo kaingia kwenye msoto hatariii