Mashaallah tabarakallah.Pongezi Kwa Rais wetu Uhuru Kenyatta Kwa kuheshimu mwito wa Allah SWT.Allah akulinde na akuongoze uvuke tuwe pamoja duniani na kesho Akhera.Amin.
Just because ali pause muombee haimaanishi lingine isipokua heshima tu kwa maombi yenyu. Sasa mnapindua iwe nini?? Na nkitaka kuchukua pia na yeye ni sawa mchukueni mtupe afueni
Tumekupenda, tutakupenda, hatuna chakukupa kiongozi wetu zaidi ya kukuombea duaa kwa mola wetu akupe Elimu na Hekima zaidi! Uwe ni taa kwe wengine Afrika na Dunian.
I don't know when this last happen for a prominent leader to stop his or her speech to listen to Adhana.Indeed death teaches us alot, Salut my president.
Subhanallah Jamani mpaka mwili unanisisimka kwa Jambo lilotokea. Yarabi wewe ni mjuzi wa kilichombele yetu, Mimi Nina Imani siku moja rais Kenyatta atasilimu. Naomba iwe hivyo. Amiin.
Hahaa, aliombewa hivyo hivyo na mtoto mdogo kule Mombasa wakati wa campaign zake na huyo mtoto akakutana naye ikulu na kumuombea apite na siku moja akuwe muislamu
Unauhakika na hilo kaheshimu mwenyezi MUNGU sio dini mbona mnaubaguzi kwani ukristo sio dini yeye kafanya kwa nafasi yake inatakiwa watu tiige mfano MUNGU ni mmoja na wala sio dini.
@@hollocolletha6519 yeah ukristo sio dini kabisa. Kama wapinga nipe aya kwenye biblia isemayo ukristo ni dini ya Mungu ama tu ukristo ni dini baas! La pili,wakristo hawana Mungu,kwa sababu wanamuabudu yesu mtume wa Mungu,na waislamu tunamuabudu Mungu mmoja. Rais Kenyatta atasilimu in shaa Allah, atoke kwenye giza aje kwenye Nuru ya Allah,dini ya uislamu ndio dini ya haki pekee mbele za Mwenyezi Mungu..
Mashaallah Rais wa Kenya mungu akuongoze na akujaalie mwisho mwem na umr mref na uzi kufanya hivyo ishaallah njoo katika uwislam Rais wa Kenya tunakupenda
Amazing.. Masha*Allah... Cause this happens mostly in Islamic countries.... Music in shops, cars, is stopped too during Aadhaan time.... Alhamdulillah.... Way to go Mr. President Uhuru... Proud Kenyan here.... 👋👋
Muheshimiwa Rais Uhuru Kenyatta mimi nimkongomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩nakuombea kwa Allah asikufishe mpaka Uwe Muislamu Aamiin yaa Rabbil Aamiin 🤲 waislamu semeni Aamiin 🤲
MashaAllah TabarakaAllah hata mm Wallahi nlipomuona kasita nlijiuliza kapisha adhana na nlipoona haendelei nkasema kweli kaipa heshima adhana ilinigusa sana ..... Hongera raisi wangu ALLAH akupe hidaya uione haki
zainab rashid una uhakika gn kuwa haitofutika vp mbele ya Allah ili hali yy uhuru ashakufuru. ama malaika ijbril alikuteremshia wahyi useme hivyo. kwa hivyo usijoropokee maneno kwa matamanio yako.
@@hawaramadhani4435 haitofutika vp na ilhali yy ni kafiri.kafiri atende wema wake atakavyo tenda. lakini Allah humlipa kafiri hapa hapa duniani akaampa mali na watoto. lakini akhera ikawa ni kipigo na adhabu ya milele motoni.
Mashallah tabarakallahu 🤲🤲🤲 I'm proud to be a Muslim
Welcome💃💃
Welcome
I'm proud to be Kristen, Ndini ni Mateto ya Mtu amina
I am proud to be an African
Ishallah
Mashallah raisi wa Kenya kwa heshima yako kwa waislamu ulimwengu mzima. We salute you!!
Sio aneheshimu Waislamu tu , Amemheshimu Allah ( MWENYEZI MUNGU ).
Kabsa
""ALLAH amzidishie hekima Mr president uhuru mwigai kenyatta,Shukran shekh kish kwa kusema ukweli 🇰🇪❤""
Yani nimeamini Uhuru ni raisi mwenye heshima zake ndio maana umati wote umekaa kimya na hakuna wa kuongea Zaid ya kusikika wito wa adhana
Amin
Ndiposa Kenya's muslims and Christians we are friends coz we respect each other's
@@maratanjeri3931 white lies
Rais wangu shukran kw heshima ulioonyesha kw dini yetu ya kiislam. 🙏🙏🙏
Namuombea Raisi Kenyata Aslimu
@Joey Eliseo
.t ..
Huo n ukafiri ustadh
Yarab mjaaliye Rais kinyata aslimu aingiye ktk dn ya hak
@@jasminhassan6971 Allah ampe nuru ya uislamu
Mashaallah tabarakallah.Pongezi Kwa Rais wetu Uhuru Kenyatta Kwa kuheshimu mwito wa Allah SWT.Allah akulinde na akuongoze uvuke tuwe pamoja duniani na kesho Akhera.Amin.
Mweshimiwa kinyata kuheshumu ibada sii kukarisha usilamu iso no maoni yenu
Masha ALLAH mungu akuzidishie muheshimiwa Uhuru kenyatta
Mtangoja sana
Mtangoja sana
My President uhuru. Asante kwa kutuheshimisha huko dadoma tanzania. Mwenyezi Mungu akuzidishie na akubariki.
Subhanallah mashallah shukrain sheikh wetu Allah akujalie afya njema akuifaidhi alhmdullah tunafaidika kwa mafuzo
Masha Allah.... Proud to be a Muslim.... Thanks to my President UK for showing the global the Respect you have for Muslims.
MashaAllah May Allah guide him towards the right path. Am so proud to be a Muslim❤. Alhamdhulillah.
Am so proud too to be a Christian
Shukran prezo we2...... Mola akuongoze katika kujiunga na dini ya kiislamu..... Amin
Alhamdulillah Allah amuongoze rais wangu kenyatta ampe uongofu in sha Allah
Yule jama mungu ampe hekima mungu msilimshe
MashaAllah Allah amuongoze Rais wetu Uhuru Kenyatta🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Amin amin
MashaAllah nakupenda kwa ajili ya Allah president wangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kila alie mbaya na uzr anao wanamkashifu sana rais wetu wameona sasa 🙏🙏🙏🙏🙏
Dah jamani nifikishieni salam kwakenyata
Alichokifanya hakijawaji kufanywa tanzania naraisi yeyote
@@amourflamini7963 bila shaka amezipokea! Shukran our beloved👏🇰🇪
Just because ali pause muombee haimaanishi lingine isipokua heshima tu kwa maombi yenyu. Sasa mnapindua iwe nini?? Na nkitaka kuchukua pia na yeye ni sawa mchukueni mtupe afueni
Maa shaa Allah
I salute u my prezzo for the respect of Adhan, may Allah guide you
Amiin
MashaAllah
Allahu akbar
Allah akupe taqwa kenyata
Ameen
Hongera xana Mr .President.#UHURU KENYATTA. Raisi wetu mpendwa.Umetuwakilisha vzur. 👌👌
Mimi ni muisilamu ww Sio muisilamu lakin walahi umenifunza kitu kikubwa Sana ALLAH akupe maisha malefu.
Aamin yaarab
Ni kama Mimi kk amenifunza mnooo
Mashaallah Rais wa Kenya 🇰🇪 Allah akusimamie ktk kazi zako na safari zako za kikazi tunakupenda sana Tanzania 🇹🇿karibu sana 🙏🙏❤️
MashaAllah Tabarakallah you made us proud Mr. President 😊
Mashaallah mungu amuongoze njia ya haki inshaallah rais wetu wa kenya
Subhana Allh: kumekuwa kimya hadi unachosikia ni Adhana na sauti za ndege tunamuomba Allah amuongoze na amfishe haliyakuwa mwisilamu inshaallah
Allah amfanyie wepesi inshallah aweze kuslim
Amiin yarabil allamiin rabi atakabali dua in shaa allah amiin👐
Amiin
Na hao ndege walikuwa wakifuatisha adhana....hakika Allah ni mkubwa
@@ommyakili552 amiin
Wlhi nimejikuta nalia ametuonyesha heshima alionao kwa dini yetu ya ki Islam mungu amuongoze yey pia aweze kujiunga na dini amiin😍
Allahuumma Ameen
Mola amuongoze raisi kenyatta.
Awe muislam
@@didaamohsin6594 Aamiin thuma aamiin yarabby 🤲
Ameen ya Rabby
Rais kinyata kavunya rekodi ya dunia
Yaarabi mjaalie rais kenyata kwenye iiman kamilii🤲🤲🤲
Amiin
Yaarab mjalie rais kenyata iman kamili
AMIN THUMMA AMIN
Ameen ya Allah
Amin
MashaAllah Rais wa Kenya Uhuru Allah akupe mwisho mwema InshaAllah
Ameen
mashAllah Mr President uhuru Kenyatta for respect of Muslim athan
Kama mnafurahi kwasababu Uhuru amehemu amemweshimu Mungu au kwakuwa amewaeshimm dini
Ameen yarab🇰🇪
Amiin kwa sote
Allahu akbar, so beautifull and may you be on the right path, wish you all the best.
Raisi kenyata inshallah ataipata shahada
Maasha -Allah
Thank u hon Uhuru kenyatt for respecting our deen Islam May Allah guide u to the straight path
MaashaaAllah kenyata umetupa heshma kubwa umma wa kiisilamu Jazakallahu Allah ajaalie ue muisilamu kaamil ALLAHUMMA aamiin🙏
Waalaykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh.
Masha Allah.
Subhana Allah
Allahu Akbar.
Alhamdulillah
♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️
Ma Shaa Allah
Ma Shaa Allah
Ma Shaa Allah
Allah Akuzidishie Iman Zaidi Na Zaidi ❤️
GOD ampee umri mrefu sisi wa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tutamkumbuka kwa fursa ya uhuru wa kuongea mbila uonga .Ameen
Hilo nalo atakumbukwa sana na watu kufanya mzaha bila uoga
Rais wetu ni mtu mwenye heshima tunampeda sana.hongera rais👋👋 wetu
Ni kweli
Aamiyn...Dua ya Mtoto alojaaliwa kipaji huenda Allah akaijibu. ...
Aamiin Allah ampe hidaya ya uislaam kabla mauti na ampe shahada
Aamin, inshaa allah.
ماشاءاللہ
Allah akbar allah amuongoze afe akiwa na shahad insh'allah 👏👏🤗🤗🤗
InshaAllah ya Rabbii
Tumuombee Asilim kwanza Insha'Allah bila kusilim hata kufa na shahada
@@salehpirlo398 tumuombee, hata yule mtoto kama mnamkumbuka alisema namuombea mungu awe muislaam. Inshaa الله.
@saleh pirlo.....weeee.....acha "kutuibia mkatoleki wetu"😊😊😊
Mbona unamuombea kifo Rais wetu? Achaneni na Jayden wetu pls.
Tumekupenda, tutakupenda, hatuna chakukupa kiongozi wetu zaidi ya kukuombea duaa kwa mola wetu akupe Elimu na Hekima zaidi! Uwe ni taa kwe wengine Afrika na Dunian.
Ameen
Mashaallah may Allah bless Allahu Akbar alhamdullilah very nice god bless
I don't know when this last happen for a prominent leader to stop his or her speech to listen to Adhana.Indeed death teaches us alot, Salut my president.
Mashaallah,mashaallah my prezzo baada ya furaha natokwa na machozi....jazka Allah kher mungu akupe mwisho mwema 🙏🇰🇪
Jazakaallahu khairan inshaallah mashaallah tabarrakaallah sheikh kishk
Mungu akupe ilmu zaydi noor din
That's my president.....💪💪💪! Am KENYAN watching all the way frm Seattle Washington...USA...salute !!
*Masha Allah sheikha kishki
nakupenda shekh kishki kwa ajili ya Allah
Subhanallah Jamani mpaka mwili unanisisimka kwa Jambo lilotokea. Yarabi wewe ni mjuzi wa kilichombele yetu, Mimi Nina Imani siku moja rais Kenyatta atasilimu. Naomba iwe hivyo. Amiin.
Aameen Yaa Rabb
Hahaa, aliombewa hivyo hivyo na mtoto mdogo kule Mombasa wakati wa campaign zake na huyo mtoto akakutana naye ikulu na kumuombea apite na siku moja akuwe muislamu
Unauhakika na hilo kaheshimu mwenyezi MUNGU sio dini mbona mnaubaguzi kwani ukristo sio dini yeye kafanya kwa nafasi yake inatakiwa watu tiige mfano MUNGU ni mmoja na wala sio dini.
@@hollocolletha6519 yeah ukristo sio dini kabisa. Kama wapinga nipe aya kwenye biblia isemayo ukristo ni dini ya Mungu ama tu ukristo ni dini baas! La pili,wakristo hawana Mungu,kwa sababu wanamuabudu yesu mtume wa Mungu,na waislamu tunamuabudu Mungu mmoja. Rais Kenyatta atasilimu in shaa Allah, atoke kwenye giza aje kwenye Nuru ya Allah,dini ya uislamu ndio dini ya haki pekee mbele za Mwenyezi Mungu..
Hujui na hutajua kamwe kaa hivyo hivyo unaishi kwa kukalili vitu nikibishana nawe nitafanana na wewe akili.
Maa shaa Allah tabaraka Allah jazakallah kheyr ALLAH AWAONGOZE WOTE WASIOKUWA WAISLAMU KTK NJIA YA HAKHI.
Maashallah tabarakallah👍
MashaAllah Tabaarakallah. Allah atuongoze na amuongoze Rais wetu na amtie Imani ya dini hii awe muislam
Mansha Allah, Allah amlipe ujira kwa hilo
Kitu kinachonifurahisha zaidi nchi nyingi Africa tumemueka Mungu mbele basi tunamuomba Mungu atuongeze kumuabudu yeye katika kila Iman.
Allahuma Ameen
Amen
Nakupenda kishki kwa ajili ya Allah
SubhanaAllah... Takbiiir!... Allah Barik fiik y prezzo 🇰🇪🇧🇭🇧🇭
Mashallah tabarakallah shehk unakumbuka mtoto omary alivyomuombea aslimu na in sha Allah Allah amuongoze uhuru aione haki
Yani mtoto omar akiona hiyo ya uhuru ilivoenea ataskia raha atakumbuka maneno yake, ,Silimu ukisilimu utapendeza . Allah amuongoze aijue haki zaidi
Amiin In sha Allah
Najikuta nikilia kila nikituzama hi neema ya uislam ni kubwa sana
Amiin ya Rabbil Allamin
Subbhanna llah, yaa Allah tupe mwisho mwema yaa rabby
MA'ASHALLAH RAISI WETU UHURU MUIGAI KENYATTA. ALLAH AIBARIKI HOTUBA YAKO.
Mashaa allah jazaka allah lkheri mungu atupe akauli thabiti kwasote kwani sote tunapenda kheri itufikie amiin.
Mashallah Nimejikuta nalia kwa furaha😭😭😭Allah amjaalie aingie katika uislam👐👐👐👐
Allahumma Amiyn
Amin
Pia mm wallai nimejikuta nalia 😭😭😭😭😭😭😭mungu ampe moyo ili ailimu🤲🤲🤲🤲
@@saumrajabpalomar9569 Ammin yarab
Usiwe na udini popote ulipo jifunze kumuheshimu Mungu wako si kuona huyu anasali unaona hana Mungu haipendezi tunajuwa Mungu yupo
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh. MASHAA ALLAH TABARAKA ALLAH
Ma sha allah
Ni kweli hao viongozi wengine waige mfano wa mwenzao
MASHAALLAH, UHURU KENYA ALLAH AKUONYESHE NJIA YA HAKI
😳🙄🙄🙄🙄
Aaamin YaaaRabalaAllamin 🤲🏻
Allah Akbar Subhanallah 😭🙏
Mashaallah mashaallah mashaallah
Masha Allah tabarakaAllah mwenyezi mungu Amfanyie weps ktk kila jambo insha Allah na tunamuombea mungu aingie ktk uislam
Ameen yaa rwabby
Allah akuongezee hekima Rais mh Uhuru Kenyatta
INSHA ALLAH
Naam sheikh , masha Allah jazakallahu kheir
Allah amuongoe Mh kenyata
Mungu amjaalie awe muislaam
@@TheFire_Gamer Amiin
@@TheFire_Gamer ukristo ndio umemfanya umpende
@@josephwilliam5813 lakin amepotea huko, na wew karbu silimu usalimike
@@josephwilliam5813 lakin amepotea huko, na wew karbu silimu usalimike
Mashaallah thanks my prezo
Allah amjaalie Rais Uhuru Kenyata awe muislamu
Aamiin
Aamin
Ameen yarabi......kutoka ndani ya roho yangu Allah nakuomba omuwekia wepesi uhuru kenyatta na familia yake wangiye wisislamu kabla mauti.
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Amin
Masha Allah Masha Allah Masha Allah
Mashaallah Rais wa Kenya mungu akuongoze na akujaalie mwisho mwem na umr mref na uzi kufanya hivyo ishaallah njoo katika uwislam Rais wa Kenya tunakupenda
Mungu amtangulie katika Mambo yake yote, kwa heshima aliyoyoitoa najua si kwa kueafurahisha wanadam ila kwa kumuogopa Mwenyezi Mungu.
MashaaAllah happy for this.. Asante sana Raisi wetu❤️❤️ Allahu Akbar
Yaa Rabb Allah Aitakabbal Dua ya Waislamu kwa Mpenzi wetu Rais Uhuru Muigai Kenyatta ,,,,,Kenya 🇰🇪 Allahumma Aameen
Dope it's crazy ! Love the way u treated Calling Prayer let God gives u long life Mr President Kenyata !!
ما شاء الله تبارك الله نحبك يا شيخنا نورالدين محمد (كشك) الله يحفظك من كل أعدائك .
Allaahumma Aamiyn 🤲 kwa sote
Amazing.. Masha*Allah... Cause this happens mostly in Islamic countries....
Music in shops, cars, is stopped too during Aadhaan time.... Alhamdulillah....
Way to go Mr. President Uhuru...
Proud Kenyan here.... 👋👋
Muheshimiwa Rais Uhuru Kenyatta mimi nimkongomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩nakuombea kwa Allah asikufishe mpaka Uwe Muislamu Aamiin yaa Rabbil Aamiin 🤲 waislamu semeni Aamiin 🤲
اللهم امين يارب العالمين إنك أنت السميع البصير ياالله
@@ismaillesurmoile5943 شكرا جزيلا
Ameen
لك بالمثل أخي الكريم
Aamin
Mashaa llah allah azidi kumtia imani ya dini amjalie kher kwa heshma kubwa mbele ya allah
MashaAllah TabarakaAllah hata mm Wallahi nlipomuona kasita nlijiuliza kapisha adhana na nlipoona haendelei nkasema kweli kaipa heshima adhana ilinigusa sana ..... Hongera raisi wangu ALLAH akupe hidaya uione haki
Mungu akulinde raisi wetu wa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kwa kueshimu dini ya kislim najipata nikilia
Masha Allah Allah akuingoze Raisi wangu akupe uongofu dhabiti utongoze kwa njia ilio sahihi
Mashaallah rais kenyata mungu akupe mwisho mwema
Allahuakbar..Maa shaa Allah
Mwenyezi Mungu azidi kukupa hekima mh rais Uhuru Kinyata 🇰🇪
Hii si mara ya kwanza ashawahi kufanya hivo alipokuwa Mombasa aliweka heshma hiyo mbele ya umati Mungu amuongoze inshallah.
Masha alla kinyatta umeonyesha hekima kubwa mungu akulinde na madui na kama utapenda karibu katika dini ya kislam wel come
MashaAllah
MaaashaAllah Mashallah . Allah akuongoze palipo na wema . Mheshimiwa Uhuru Kenyatta
Allahuakbar ❤️❤️ I really appreciate you Our president for ur respect to Allah
manshaallah manshaallah manshaalla🤝🤝🤝kikubwa dua allah akujalie kwenye uwongozi wako
ALLAHMDULILAHI am proud to be a Muslim 🤲
Mashaalah shekh wetu, na karibu rais wa Kenya katika uislam
Maa sha Allah
Allah ampe hikma na amfishe hali ya kua muislam
Ameen rabbilah alaameen
Ameen
Si mpaka awe mwislam anawezakumweshimu Mungu popote huko alipo LA msingi kaeshimu hilotukio LA hadhana
Mashallah Ya Allah amjalie Rais Kenyatta maisha marefu na yenye wepesi. Barakalahu fiikum
Rais wa Kenya kwa ulichokifanya no historian ambayo haitafutika mbele ya Allah Hadi kiama 🙏🙏🙏✔️
Mbele ya الله na ameacha historia kwa watanzania wote.
Dah historia hii nikweli haifutiki abadan
Amiin inshallah
zainab rashid una uhakika gn kuwa haitofutika vp mbele ya Allah ili hali yy uhuru ashakufuru. ama malaika ijbril alikuteremshia wahyi useme hivyo. kwa hivyo usijoropokee maneno kwa matamanio yako.
@@hawaramadhani4435 haitofutika vp na ilhali yy ni kafiri.kafiri atende wema wake atakavyo tenda. lakini Allah humlipa kafiri hapa hapa duniani akaampa mali na watoto. lakini akhera ikawa ni kipigo na adhabu ya milele motoni.
Mashaallah Mashaallah
Masha Allah kwako uhuru Kenyatta Allah akuhifadhi leo na kesho akhera😭😭🙏
Amin Amin Amin ya Rabb
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
Masha Allah namuombea raisi wetu mungu amuingize katika dini ya haki
Rais kenyatta kwa kweli ni Rais ambaye habagui dini.Rais wa heshima.mungu akubariki Rais wetu.we love you.
Allahu akbar kabira, wa alhamdulillahi kathiraa...
Mashallah mwenyezi mungu am bariki kwakutambua wito wa Allah
Allah akbar mashaallah rahisi uhuru 🙏🙏🇰🇪🇰🇪😘😘
May Allah Grant you more wisdom and good health Pres Kimyata.
Mashaallah mashaallah Allah amuongoze ktk njia iliyonyooka
MashAllah