USHUHUDA WANGU-Breaking Point 🌟

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Ujumbe huu ni kwa ajili ya watu ambao wapo katika wakati mgumu kwenye maisha yao, wakibakiwa na machaguo mawili tu: Kuendelea kushikilia maisha waliyoyazoea ambayo yameharibu utu na hatima zao; au kuachilia walivyovizoea na kuingia katika ulimwengu wasioujua ili kuvumbua nguvu zilizofichika ndani yao.
    Malengo ya Channel hii ni kuwasaidia waathirika wa Abuse (manyanyaso) hasa Narcissistic abuse.
    Kutoa elimu kwa Jamii ya wa Tanzania na watu wanaoongea Kiswahili ili wapate uelewa wa kutosha kuhusu tatizo hili.
    Tafadhali unaweza kusaidia channel hii ikawafikia wengi zaidi kwa njia yotote utakayoweza.
    Ukihitaji msaada zaidi, unaweza ukafanya appointment ya kupata session na mimi.
    Kupitia email:
    Awakenedgiant1@gmail.com

ความคิดเห็น • 1

  • @eltonmika2797
    @eltonmika2797 20 วันที่ผ่านมา

    Chakula Cha ubongo🎉🎉