ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kwa neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, Atukuzwe Mungu Baba kwakuwa anayo Rehema. Kama angetuhesabia makosa hakuna ambaye angeweza kusimama.
Pole dia Kwa masaibu yaliyokupata
acheni haraka tuwe na subra
Dada anajua kuelezea 🥳
hii story ikifika kwenye kichwa cha habar nishtueni ase
Mbona kichwa cha story ni tofauti na story yenyewe, au huo Ukiongozi wa Freemason atauanza baada ya wokovu?
Mh 🤔 swali zuli sana
Nashkur kupata mwenzangu ambae tunajiuliza swala moja
Story badoo haijaanza tuvumilie tu
At mie nimechoka sasa
Tafadhali zingatia umakini na sheria za upasha Habari...bona ujumbe hauambatani na kichwa cha Habari???? Twapenda kazi yako nzuri lakini usihadae ili uvutie macho juu tukikuzoea kubadirisha ujumbe wa habari tutakuchoka...salute from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mungu ni mwaminifu sana
Mbona sielewi jmn,topic na story ya huyu dada haziambatani kabisaaa!🤷
He is a miracle working God
Kwanini umeficha sura yako nasisi tunaitaji kuona sura yako ndo vizuri kuonyesha umebadirika
Uo uongo we dada kazi gani ya mziki bongo wanatoa raki 2 au 3 kwa shoo😂😂😂 walishe watu matango poli iyo raki 2 maybe par moth
Pole sana
Nmekuwamooo wakwanza mmnipemoo like zangu
Asifiwe yesu kristo 🙏
Leo tuko church
Kwa neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, Atukuzwe Mungu Baba kwakuwa anayo Rehema.
Kama angetuhesabia makosa hakuna ambaye angeweza kusimama.